Haya ndiyo majina ya aina yake ndani ya JF

Hahah!!

Umenikumbusha mtu wangu wa nguvu huyo jinalake naliangaliaga tu sidhani ata kama nimewahi kulisoma...
Hahahaaa. Mie pia namkubali sana aiseee. Hana maneno mengi kamwe.

Basi tuko sawa rafiki. Mie najuaga Mndali tu hilo lingine sinaga habari nalo kabisaaa. [emoji85].

Ila ukalisome bwana halafu uje kunifundisha namna ya kulitamka. [emoji12]
 
Mie naonaga uvivu kulisoma lote rafiki naona kama siliwezi vile, ila nitalipitia kwa umakini zaidi

Avater yake eti mtu anapika kwa kutumia gesi ya kuungia vyuma
 
Hahahaa. Wacha uvivu bwana na wewe. [emoji12] [emoji12]

Siku ya kwanza kuiona nilicheka sana ujue. Sababu pale sijui kama chakula chaweza iva rafiki.

Basi najipa kazi mie nitalisoma halafu nitakufundisha wewe. Hahahaaaa.
 
Enzi za sani
Enzi za sani
Acha tu ndugu
Screenshot_2018-04-11-09-43-40.png
 
Back
Top Bottom