Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Hahah!!Kuna ndugu yangu huyu Mndali ndanyelakakomu hili jina pasi kutumia Web siwezagi kulitag na hata kulisoma sijawahi limaliza naishia Mndali tu.
Umenikumbusha mtu wangu wa nguvu huyo jinalake naliangaliaga tu sidhani ata kama nimewahi kulisoma...