Haya ndiyo majina ya aina yake ndani ya JF

Haya ndiyo majina ya aina yake ndani ya JF

1. Ufyudhi (angalia avator yake ucheke mpaka uanguke)
2. Nichumu nibebike
3. Kibanga ampinga mkoloni
4. Mlinzi mfu
5. Pilipili kichaa
6. 900 inapendeza zaidi
7. Mgeni wa MUNGU

TUPIA MENGINE
Fisi Wa dar.. Utakuta in kabinti kazuuuuri maskini
 
Back
Top Bottom