mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Nimesoma sana mashtaka hayo ila nimeshindwa kujua kusema kuwa Kongo Haina amani inaweza kusababisha mgogoro wa kidiplomasia?? Hilo Baraza liko na wasomi kweli???
Kila Aya mnaweka neno baadhi ya mashairi without evidence vividly mpo serious kweli nyie??
Hiyo ni hati ya mashitaka au kijarida Cha fema??
Nakuja hapo chini kujibu mashitaka yote kwaniaba ya Nay ngoja nije