Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nchi hizi sasa zina usalama?Rwanda na nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa kudai kwamba nchi hizo hazina usalama
Wakuu,
Ndio walikuwa wanajitapa na uhuru wa kutoa maoni kuongezeka. Kauli za kichochezi inatakiwa kutolewa maana. Huku ni kutufanya mabubu wazi wazi.
======
HATI YA MAKOSA
KOSA LA KWANZA
Kutoa wimbo kwa walaji bila kibali, kinyume na Kanuni ya 25(1) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa, 2018.
MAELEZO YA KOSA
Msanii Emmanuel Elibariki Nay wa Mitego mnamo tarehe 24/09/2024, huku ukijua kwamba ni kinyume na Kanuni, ulitoa wimbo unaoitwa NITASEMA kwa walaji kabla ya kupewa kibali cha kuthibitisha kuwa maudhui yake yamezingatia maadili.
KOSA LA PILI
Kutoa wimbo ambao maudhui yake yanahamasisha uchochezi kinyume na Kanuni 25(6)(d) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa, 2018.
MAELEZO YA KOSA
Msanii Emmanuel Elibariki Nay wa Mitego mnamo tarehe 24/09/2024, huku ukijua kwamba ni kinyume na Kanuni, ulitoa wimbo unaoitwa NITASEMA ambao baadhi ya mashairi yake yanahamasisha vitendo vya uchochezi dhidi ya Serikali kwa madai kwamba Serikali inahusika katika kufanya vitendo vya utekaji na mauaji ya watu.
KOSA LA TATU
Kutoa wimbo ambao maudhui yake yanapotosha jamii, kinyume na Kanuni 25(6)(b) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa, 2018.
MAELEZO YA KOSA
Msanii Emmanuel Elibariki Nay wa Mitego mnamo tarehe 24/09/2024, huku ukijua kwamba ni kinyume na Kanuni ya 25(6)(b), ulitoa wimbo unaoitwa NITASEMA ambao baadhi ya mashairi yake yanapotosha jamii kwa kuiaminisha kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameshindwa kutekeleza majukumu yake hivyo nchi inazama, na kwamba miradi ya maendeleo ilioachwa na mtangulizi wake imetelekezwa.
KOSA LA NNE
Kutoa wimbo ambao maudhui yake ni kukashifu mataifa mengine kinyume na Kanuni 25(6)(h) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa, 2018.
MAELEZO YA KOSA
Msanii Emmanuel Elibariki Nay wa Mitego mnamo tarehe 24/09/2024, huku ukijua kwamba ni kinyume na Kanuni ya 25(6)(h), ulitoa wimbo unaoitwa NITASEMA ambao baadhi ya mashairi yake yanakashifu nchi ya Rwanda na nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa kudai kwamba nchi hizo hazina usalama, jambo ambalo linaweza kusababisha nchi ya Tanzania kuingia kwenye mgogoro wa kidiplomasia na nchi hizo.
E.E. Buganga
Kny: KATIBU MTENDAJI
27/09/2024
Nakala: Katibu Mtendaji aione kwenye Jalada
View attachment 3108238View attachment 3108237
Wakati wa hafla ya utiaji sahihi kukabidhi bandari zetu kwa DP World ikulu walialikwa watu mbalimbali akiwemo Dr Kitiima wa TEC; msanii Mrisho Mpoto alitumia nafasi hiyo kuimba mashairi ya kashfa dhidi ya Dr Kitima kuwa wengine walipinga mkataba huo wa DP World lakini leo wanakula nao ubwabwa" swali: je hayo mashairi yalipitishwa na BASATA? Mbona BASATA hawakumuita huyo Mrisho kwa kuwakashifu akina Kitima kupitia mashairi ambayo bado hayajapitishwq na BASATA? Yaani BASATA wana uchungu na Rwanda kuliko kina Kitima waliokashifiwa?Wakuu,
Ndio walikuwa wanajitapa na uhuru wa kutoa maoni kuongezeka. Kauli za kichochezi inatakiwa kutolewa maana. Huku ni kutufanya mabubu wazi wazi.
======
HATI YA MAKOSA
KOSA LA KWANZA
Kutoa wimbo kwa walaji bila kibali, kinyume na Kanuni ya 25(1) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa, 2018.
MAELEZO YA KOSA
Msanii Emmanuel Elibariki Nay wa Mitego mnamo tarehe 24/09/2024, huku ukijua kwamba ni kinyume na Kanuni, ulitoa wimbo unaoitwa NITASEMA kwa walaji kabla ya kupewa kibali cha kuthibitisha kuwa maudhui yake yamezingatia maadili.
KOSA LA PILI
Kutoa wimbo ambao maudhui yake yanahamasisha uchochezi kinyume na Kanuni 25(6)(d) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa, 2018.
MAELEZO YA KOSA
Msanii Emmanuel Elibariki Nay wa Mitego mnamo tarehe 24/09/2024, huku ukijua kwamba ni kinyume na Kanuni, ulitoa wimbo unaoitwa NITASEMA ambao baadhi ya mashairi yake yanahamasisha vitendo vya uchochezi dhidi ya Serikali kwa madai kwamba Serikali inahusika katika kufanya vitendo vya utekaji na mauaji ya watu.
KOSA LA TATU
Kutoa wimbo ambao maudhui yake yanapotosha jamii, kinyume na Kanuni 25(6)(b) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa, 2018.
MAELEZO YA KOSA
Msanii Emmanuel Elibariki Nay wa Mitego mnamo tarehe 24/09/2024, huku ukijua kwamba ni kinyume na Kanuni ya 25(6)(b), ulitoa wimbo unaoitwa NITASEMA ambao baadhi ya mashairi yake yanapotosha jamii kwa kuiaminisha kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameshindwa kutekeleza majukumu yake hivyo nchi inazama, na kwamba miradi ya maendeleo ilioachwa na mtangulizi wake imetelekezwa.
KOSA LA NNE
Kutoa wimbo ambao maudhui yake ni kukashifu mataifa mengine kinyume na Kanuni 25(6)(h) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa, 2018.
MAELEZO YA KOSA
Msanii Emmanuel Elibariki Nay wa Mitego mnamo tarehe 24/09/2024, huku ukijua kwamba ni kinyume na Kanuni ya 25(6)(h), ulitoa wimbo unaoitwa NITASEMA ambao baadhi ya mashairi yake yanakashifu nchi ya Rwanda na nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa kudai kwamba nchi hizo hazina usalama, jambo ambalo linaweza kusababisha nchi ya Tanzania kuingia kwenye mgogoro wa kidiplomasia na nchi hizo.
E.E. Buganga
Kny: KATIBU MTENDAJI
27/09/2024
Nakala: Katibu Mtendaji aione kwenye Jalada
View attachment 3108238View attachment 3108237
Hii kesi Ney wa mitego anaachiwa mwenyewe!ndo atajua watanzania ni wanafki kiasi gani, walikua wanamsifia alivyotoa wimbo sasa kwenye kesi atabaki mwenyewee!!Wakuu,

Kuna siku utagundua kuwa kutafuta fedha bila uana-harakati ni bure.ney ni mpumbavu wenzie wanatafuta hela yeye anaangaika uhanaharakati uchwara, kaingia kwenye kumi na nane za maria sarungi yule mwanamke ni nyoka
Hela kwa kuuza utu,mko tayari kulana marindney ni mpumbavu wenzie wanatafuta hela yeye anaangaika uhanaharakati uchwara, kaingia kwenye kumi na nane za maria sarungi yule mwanamke ni nyoka
Hao wanataka wote waimbe miziki ya kuhamasisha ushg kupakana mafuta,sijui inamaKuna siku utagundua kuwa kutafuta fedha bila uana-harakati ni bure.
Akiliyako inawaza komasavaa tuu... Nchi imejaa maji ngaaney ni mpumbavu wenzie wanatafuta hela yeye anaangaika uhanaharakati uchwara, kaingia kwenye kumi na nane za maria sarungi yule mwanamke ni nyoka
Kanuni zao akina nani?Hajavunja sheria ya nchi isipokuwa kanuni zao
Kwanini ajiite wa mitego na ni wakiumeNeh, ney,kihindi ni kukataa au kutokukubali Jambo.
Ney alikuaga na mpenzi wake muhindi Mara nyingi alimkatalia baadhi ya mambo mpaka yule akawa anasema usiseme NEH.
Hio Ndio ulikuaga mwanzo wa iyo nickname ya nei mengineyo naona nei yupo sawa sawa kuhusu kum tuhumu kutokujua kuimba naona inabakia kua SYNONYM.
Beauty is always biased 😀
Asylam alycum LUCHA.
Hivi Nay yuko Tanzania?
mbona wasanii wengi hasa wakwanya wanashuti na kutoa nyimbo kila wakati hivi nawao wanapitishwaga na basata ipiKutoa wimbo ni mpaka BASATA waupitishe? Na wanadai Tsh ngapi kupitia wimbo wako
Ona huyu!AFUNGIWE MIAKA 60 tuone atamtega nani
NITASEMAWakuu,
Ndio walikuwa wanajitapa na uhuru wa kutoa maoni kuongezeka. Kauli za kichochezi inatakiwa kutolewa maana. Huku ni kutufanya mabubu wazi wazi.
======
HATI YA MAKOSA
KOSA LA KWANZA
Kutoa wimbo kwa walaji bila kibali, kinyume na Kanuni ya 25(1) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa, 2018.
MAELEZO YA KOSA
Msanii Emmanuel Elibariki Nay wa Mitego mnamo tarehe 24/09/2024, huku ukijua kwamba ni kinyume na Kanuni, ulitoa wimbo unaoitwa NITASEMA kwa walaji kabla ya kupewa kibali cha kuthibitisha kuwa maudhui yake yamezingatia maadili.
KOSA LA PILI
Kutoa wimbo ambao maudhui yake yanahamasisha uchochezi kinyume na Kanuni 25(6)(d) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa, 2018.
MAELEZO YA KOSA
Msanii Emmanuel Elibariki Nay wa Mitego mnamo tarehe 24/09/2024, huku ukijua kwamba ni kinyume na Kanuni, ulitoa wimbo unaoitwa NITASEMA ambao baadhi ya mashairi yake yanahamasisha vitendo vya uchochezi dhidi ya Serikali kwa madai kwamba Serikali inahusika katika kufanya vitendo vya utekaji na mauaji ya watu.
KOSA LA TATU
Kutoa wimbo ambao maudhui yake yanapotosha jamii, kinyume na Kanuni 25(6)(b) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa, 2018.
MAELEZO YA KOSA
Msanii Emmanuel Elibariki Nay wa Mitego mnamo tarehe 24/09/2024, huku ukijua kwamba ni kinyume na Kanuni ya 25(6)(b), ulitoa wimbo unaoitwa NITASEMA ambao baadhi ya mashairi yake yanapotosha jamii kwa kuiaminisha kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameshindwa kutekeleza majukumu yake hivyo nchi inazama, na kwamba miradi ya maendeleo ilioachwa na mtangulizi wake imetelekezwa.
KOSA LA NNE
Kutoa wimbo ambao maudhui yake ni kukashifu mataifa mengine kinyume na Kanuni 25(6)(h) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa, 2018.
MAELEZO YA KOSA
Msanii Emmanuel Elibariki Nay wa Mitego mnamo tarehe 24/09/2024, huku ukijua kwamba ni kinyume na Kanuni ya 25(6)(h), ulitoa wimbo unaoitwa NITASEMA ambao baadhi ya mashairi yake yanakashifu nchi ya Rwanda na nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa kudai kwamba nchi hizo hazina usalama, jambo ambalo linaweza kusababisha nchi ya Tanzania kuingia kwenye mgogoro wa kidiplomasia na nchi hizo.
E.E. Buganga
Kny: KATIBU MTENDAJI
27/09/2024
Nakala: Katibu Mtendaji aione kwenye Jalada
View attachment 3108238View attachment 3108237
Nimesoma sana mashtaka hayo ila nimeshindwa kujua kusema kuwa Kongo Haina amani inaweza kusababisha mgogoro wa kidiplomasia?? Hilo Baraza liko na wasomi kweli???
Kila Aya mnaweka neno baadhi ya mashairi without evidence vividly mpo serious kweli nyie??
Hiyo ni hati ya mashitaka au kijarida Cha fema??
Nakuja hapo chini kujibu mashitaka yote kwaniaba ya Nay ngoja nije
Kwa mtazamo wangu basata apa wamezingua, kuna wasanii wanaimba maudhui ya matusi na wala hawaangaiki nao.Nimesoma sana mashtaka hayo ila nimeshindwa kujua kusema kuwa Kongo Haina amani inaweza kusababisha mgogoro wa kidiplomasia?? Hilo Baraza liko na wasomi kweli???
Kila Aya mnaweka neno baadhi ya mashairi without evidence vividly mpo serious kweli nyie??
Hiyo ni hati ya mashitaka au kijarida Cha fema??
Nakuja hapo chini kujibu mashitaka yote kwaniaba ya Nay ngoja nije
Diamond naye ameitwa ajieleze alifata nini kwa Pdidy 🐼Tofauti ya BASATA na UVCCM ni nini?
Kwani kesi Yako unabaki na nani jibu si mwenyewe!yetu tunabaki wenyeweHii kesi Ney wa mitego anaachiwa mwenyewe!ndo atajua watanzania ni wanafki kiasi gani, walikua wanamsifia alivyotoa wimbo sasa kwenye kesi atabaki mwenyewee!!