mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Neh, ney,kihindi ni kukataa au kutokukubali Jambo.Katika watu hawajui kuimba ni huyo Ney wa mitego alikosea kila kitu kwanzia kuchagua jina lake la sanaa mwanaume unajiitaje Ney alaf wa mitego!
Aachwe asifungiwe
Kila mtu ana priority zake, hatuwezi wote kuwa wanaharakati hatuwez wote kuwa raia wanatafuta pesa tu .ney ni mpumbavu wenzie wanatafuta hela yeye anaangaika uhanaharakati uchwara, kaingia kwenye kumi na nane za maria sarungi yule mwanamke ni nyoka
Mtoto wa kiume acha kufuatilia maisha ya mwanaume mwenzako, tatizo la Watanzania tunapenda sana unafiki, kutegemea hisani ya watu. Ameimba kile anachokiamini. Enzi za Magufuli mbona alitoa ngoma kali zaidi ya hii na hakufanywa kitu?ney ni mpumbavu wenzie wanatafuta hela yeye anaangaika uhanaharakati uchwara, kaingia kwenye kumi na nane za maria sarungi yule mwanamke ni nyoka
Akifungwa maisha wewe itakusaidia niniAkibainika ni kweli afungwe maisha
USSR
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuhaAkifungwa maisha wewe itakusaidia nini
Kwa jinsi tulivyo huyu itakua imekula kwake mkuu.Some Grand Inquisitor shit.
Tunamsaidiaje huyu msanii?
Wabongo wanapiga kelele sana wasanii hawajitokezi mbele, huyu kajitokeza sasa, tunakwenda naye vipi pamoja?
Muziki ni kama CHAKULA Kaka!! Mpishi ndo anajua apike chakula Gani ili watu wafurahie.ney ni mpumbavu wenzie wanatafuta hela yeye anaangaika uhanaharakati uchwara, kaingia kwenye kumi na nane za maria sarungi yule mwanamke ni nyoka
Utafaidika na nini?AFUNGIWE MIAKA 60 tuone atamtega nani
kwahiyo akifungwa 60 wewe utapumua usiendelee kupakwa mafutaAFUNGIWE MIAKA 60 tuone atamtega nani
Wako wanaume wa hivyo.