Pre GE2025 Haya ndiyo makosa ambayo BASATA wanamtuhumu Nay wa Mitego kutokana na wimbo wake wa "Nitasema"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Wakati wa hafla ya utiaji sahihi kukabidhi bandari zetu kwa DP World ikulu walialikwa watu mbalimbali akiwemo Dr Kitiima wa TEC; msanii Mrisho Mpoto alitumia nafasi hiyo kuimba mashairi ya kashfa dhidi ya Dr Kitima kuwa wengine walipinga mkataba huo wa DP World lakini leo wanakula nao ubwabwa" swali: je hayo mashairi yalipitishwa na BASATA? Mbona BASATA hawakumuita huyo Mrisho kwa kuwakashifu akina Kitima kupitia mashairi ambayo bado hayajapitishwq na BASATA? Yaani BASATA wana uchungu na Rwanda kuliko kina Kitima waliokashifiwa?

Ney ahamie Kenya awe anafanya shughuli zake za usanii tokea huko kwa sababu wajibu wake utakuwa kufuata sheria za mahali anapoishi.
 
Hii kesi Ney wa mitego anaachiwa mwenyewe!ndo atajua watanzania ni wanafki kiasi gani, walikua wanamsifia alivyotoa wimbo sasa kwenye kesi atabaki mwenyewee!!
 
ney ni mpumbavu wenzie wanatafuta hela yeye anaangaika uhanaharakati uchwara, kaingia kwenye kumi na nane za maria sarungi yule mwanamke ni nyoka
Akiliyako inawaza komasavaa tuu... Nchi imejaa maji ngaa
 
Kutoa wimbo ni mpaka BASATA waupitishe? Na wanadai Tsh ngapi kupitia wimbo wako
 
Kwanini ajiite wa mitego na ni wakiume
 
NITASEMA
 
 
Uanaharakati sio kitu kinachosomewa bali ni kitu ambacho Mtu anazaliwa nacho !

Kwa mwanaharakati pesa sio mali kitu sana !!

Mwanaharakati huitetea Haki zaidi !
 
Mwenye wimbo naomba aupandishe hapa
 
Hii kesi Ney wa mitego anaachiwa mwenyewe!ndo atajua watanzania ni wanafki kiasi gani, walikua wanamsifia alivyotoa wimbo sasa kwenye kesi atabaki mwenyewee!!
Kwani kesi Yako unabaki na nani jibu si mwenyewe!yetu tunabaki wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…