Pre GE2025 Haya ndiyo makosa ambayo BASATA wanamtuhumu Nay wa Mitego kutokana na wimbo wake wa "Nitasema"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tunaposema Mwafrika ni mtu lakini si binadamu tunaomba muelewe.
Kwahiyo TAASISI zote za umma ikiwemo BASATA ziko kwaajili ya kulinda kiti cha Rais?
Very stupid yani aise yan woote hadi wa pumbavuu rais akikosea hakosoelewii wanabaki kucheka cheka kama nini ndio mana wengine wamebanduliwa na p diddy kenge kabisa hawa, nakasirikaga sana
 
Ahahahahh 🀣 🀣 🀣 🀣
Anatokea kichaa mmoja aliyepewa kofia za kijani wakati wa uchaguzi 2020 anasema "tulifanya mambo mengi na Didy hayapaswi hata kupostiwa"
Very stupid yani aise yan woote hadi wa pumbavuu rais akikosea hakosoelewii wanabaki kucheka cheka kama nini ndio mana wengine wamebanduliwa na p diddy kenge kabisa hawa, nakasirikaga sana
 
Kama huu wimbo ukifungiwa, kwakutumia kanuni hizi, wakilimsomi kibatala aingilie kati kwa kuibuluza basata mahakamani. Ilikukomesha uchawa wa basata.
 
Katika watu hawajui kuimba ni huyo Ney wa mitego alikosea kila kitu kwanzia kuchagua jina lake la sanaa mwanaume unajiitaje Ney alaf wa mitego!
Aachwe asifungiwe
We dogo hunaga akili, kila siku nakwambia JF haikufai jiunge tiktok ukatikise makalio huko patakufaa zaidi.
 


Buganga kawa kugonga
 
Hapo sioni alicho kosea labda Kama kuongea ukweli Ni kosa Basi ata kuwa Ana kosa
 
Kuwahangaikia watanzania ni kujipotezea muda wako tu. Pole sana Ney, yo in the wrong nation.
 
Upuuzi mtupu
 
Ney angefanya kama Roma tu aombe hifadhi kwa mabeberu kwamba maisha yake Yako hatarini anawindwa na serikali ya Samia auwawe .
 
Hii taasisi meno yake huonekana wakati wa 'kufungia wanamuziki',hasa pale mabosi wake wanapoguswa.Maamuzi yake ni ya KINAFIKI,KUJIPENDEKEZA na KULINDA MKATE.Na katika sura za watawala madhalimu UKWELI huitwa UCHOCHEZI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…