Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
AfricaUnaongelea uhuru wa walibya ukiwa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AfricaUnaongelea uhuru wa walibya ukiwa wapi?
Marekani anahusikaje kwenye huu mjadala??!Kwahiyo sasa wana vile alivyowapa Gaddafi na pia marekani kawaongezea na Uhuru na demokrasia.
Sasa walibya wana kila kitu!
Labda tunatofautiana tafsiri ya maendeleo nimeona hyo ulivyoitaja sauz Africa.Uganda, Equatorial Guinea, Lesotho, Cameron, Gabon, Chad na Togo zimekuwa zikiongozwa na familia moja.
Africa Kusini, Botswana, Mauritius na Seychelles hazijaongozwa na familia moja.
Udini wake ulivuka mipaka ya nchi yake na kutaka kuusambaza nchi nyingine! Nimekupa mfano Idd Amini dhidi ya Tanzania kwasababu ya Dini!Kwani Libya asilimia kubwa ya watu wake ni dini gani yaani ni sawa umwambie kiongozi wa Italy ni mdini wakati raia wake wengi ni wakristo.
Tafuta historia mkuu katika vitu ambavyo Tanzania tunafichwa na kupotosha ni harakati za uhuru ukweli wake na vita vya Uganda tafuta thread zake ziko hapa jamiiforums ili upate mwangaza usifiche kwenye kivuli cha dini.Udini wake ulivuka mipaka ya nchi yake na kutaka kuusambaza nchi nyingine! Nimekupa mfano Idd Amini dhidi ya Tanzania kwasababu ya Dini!
Kweli kabisa mkuu katika kitu ambacho wametuweza kwasababu juma na swaleh hawampendi wile na charle wakati wanafanana rangi ya ngozi mpaka nywele yaani muislamu anaona ndugu zake ni wa misri na saudia na wakristo wanaona ndugu zao wapo Vatican ni rahisi kusema pray for Palestine or pray for Israel ila sio pray for congo tuna safari ndefu sana dini zimetukamata.Waafrica jambo lolote lile wanalijadili kwa mtazamo wa kidini, post kama hii unakuta wakristo wanasapoti kuondolewa Kwa Ghadafi na waislam wanapinga
Kiufupi tumepoteza uwezo wetu wa kureason kwa sababu ya hizi dini. Naihurumia sana Africa yangu, sijui lini tutatoka kwenye huu utumwa [emoji22]
💯 %Kweli kabisa mkuu katika kitu ambacho wametuweza kwasababu juma na swaleh hawampendi wile na charle wakati wanafanana rangi ya ngozi mpaka nywele yaani muislamu anaona ndugu zake ni wa misri na saudia na wakristo wanaona ndugu zao wapo Vatican ni rahisi kusema pray for Palestine or pray for Israel ila sio pray for congo tuna safari ndefu sana dini zimetukamata.
Iondoe Sauz Africa jikite kwenye hizo nchi nyingine.Labda tunatofautiana tafsiri ya maendeleo nimeona hyo ulivyoitaja sauz Africa.
Hata kabla ya hapo watu weusi walikuwa wanazamia Ulaya kupitia Libya na Gaddafi alikuwa anatumia hili jambo kama turufu yake mojawapo katika mahusiano yake na Ulaya.Tokea auliwe gadafi watu weusi wanauzwa kama kuku wanavouzwa sokoni uko libya
Walipiga hesabu ndefu sana kabla ya kututawala kwasababu bila hivyo ingekuwa ngumu sana na wamefanikiwa 100% .[emoji817] %
Yaani huwa nashangaa kuna mtu anashangalia israel hawezi kumkamata hamas ila anafurahia watu more than180k wamekufa.
sasa kuna mtu anakuambia yule kijana aliyeenda israel alikuwa ni jasusi, unabaki unasikitika tu.
Dini ni ugonjwa ambao utachukua miaka mingi kupona hapa afirca.
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.hata kama Gaddafi alikuwa dikteta?NI kweli nchi za magaribi zilikuwa na upendo sana na walibya kuliko Gaddafi?Libya ya Leo na Libya ya Gaddafi IPI NI Bora?Halafu hiyo AU ilikua wapi kumsaidia jamaa?HV Leo hii kuna nchi au MUUNGANO WA kiafrika inaweza kuivamia nchi pale America au ulaya wakadai wanamuondoa gaidi alafu wakakenuliwa Meno Tu?Huelewi kitu mbumbumbu mkubwa. Leo Libya ndio wana demokrasia na uhuru?! Pathetic
Waliomuondoa Gaddafi ni wananchi wa Libya waliokuwa wakikandamizwa naye kwa kushirikiana na nchi za magharibi.Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.hata kama Gaddafi alikuwa dikteta?NI kweli nchi za magaribi zilikuwa na upendo sana na walibya kuliko Gaddafi?Libya ya Leo na Libya ya Gaddafi IPI NI Bora?Halafu hiyo AU ilikua wapi kumsaidia jamaa?HV Leo hii kuna nchi au MUUNGANO WA kiafrika inaweza kuivamia nchi pale America au ulaya wakadai wanamuondoa gaidi alafu wakakenuliwa Meno Tu?
Endelea kuamini hivyohivyo.sipingani na mawazo yako.ila amini kwamba hakuna kiongozi WA kiafrika atadumu madarakani kwa muda mrefu kama hataenda sawa na mabeberu.eti ujifanye unabana rasilimali za nchi yako kwa AJILI ya watu wako.mifano HAI iko tafuta hapa Afrika utaelewa.kupambana na bepari kunahitaji akili nyingi.Waliomuondoa Gaddafi ni wananchi wa Libya waliokuwa wakikandamizwa naye kwa kushirikiana na nchi za magharibi.
Inasikitisha mnoWaafrica jambo lolote lile wanalijadili kwa mtazamo wa kidini, post kama hii unakuta wakristo wanasapoti kuondolewa Kwa Ghadafi na waislam wanapinga
Kiufupi tumepoteza uwezo wetu wa kureason kwa sababu ya hizi dini. Naihurumia sana Africa yangu, sijui lini tutatoka kwenye huu utumwa [emoji22]
Mabeberu ni wimbo uliopitwa na wakatiEndelea kuamini hivyohivyo.sipingani na mawazo yako.ila amini kwamba hakuna kiongozi WA kiafrika atadumu madarakani kwa muda mrefu kama hataenda sawa na mabeberu.eti ujifanye unabana rasilimali za nchi yako kwa AJILI ya watu wako.mifano HAI iko tafuta hapa Afrika utaelewa.kupambana na bepari kunahitaji akili nyingi.
hakika. na hii ndio tafsiri rahisi kwa sisi tusioijua 'domoghasia' sijui demokorasia toka magharibiKwahiyo sasa wana vile alivyowapa Gaddafi na pia marekani kawaongezea na Uhuru na demokrasia.
Sasa walibya wana kila kitu!
Demokrasia kwako ni nini?Maisha bora ni mjumuiko wa afya bora, elimu bora, miondombinu bora n.k pamoja na uhuru wa kujiamulia namna ya kujitawala kidemokrasia na utawala wa sheria.
Kama huna hayo mambo bado hujapata maisha bora.
Pia Libya hawakupata demokrasia na uhuru baada ya Gaddafi kuondoka kwa sababu mara nyingi madikteta yakiondokoa au kuondolewa huacha vumbi kubwa la vurugu na ombwe la kiuongozi. Imetokea hivyo Libya, Misri, DRC, na kwingine kwingi.