Haya ndiyo Maoni ya gazeti la Rai

Haya ndiyo Maoni ya gazeti la Rai

Alikuwa ameyanunua magazeti siku nyingi sana kwa kuwalipa pembeni pembeni, ikawa mtandao mtandao, mwisho akaamua kuyanunua kabisa,

Halafu recently, alianzisha mchezo gazeti likiwa na habari nzito za ukweli on ufisadi, anayanunua yote usiku, kwa hiyo kesho yake yanakuwa hayapo kwenye market, sasa naona ameona analiwa hela tu, kwa hiyo ameamua kujificha nyuma ya RAI what a shame!
 
Wanatoa matongotongo ili wajikongoje kutoka kwenye vikona vya giza waje nuruni wajiunge kwenye jamvi letu.

Lakini kama mwendo wenyewe ndo huo, wa kusifia visivyosifika na kupaka Rangi bodi bila kushughurikia Ingini!
Hilo gazeti la Rai atasoma Kingunge, Lowassa Rostamu Kikwete Chenge na msululu mzima wa Mafisadi.

Kwa nini nisome Rai wakati Mimi ni Raiamwema na Magazeti yenye akili yako yamejaa tele?

Kwa nini nisome Rai?

Radha ya Rai iliondoka na Ulimwengu.
 
Niliweka nadhiri baada ya kugundua kuwa Rai ni ROstam Aziz International kuwa sitalinunua tena wala sitajaribu kulitafuta kwenye mtandao, maana nitakuwa napoteza muda wangu bure kukutana na tahariri kama ya jana.
 
mtanzania,
Mbona umemdharau namna hiyo RAI? ukitaka kujua makali yake waulize wapambe wa BWM, huyu jamaa baada yakuona BWM anataka kumfanyia mizengwe Muungwana alimfata na kumwambia, tunajua uchafu wako wote kama huyu jamaa hapiti basi tunakuanika. BWM alifyata mkia, sasa ndo hayo tuinaanza kuyaona kama huyu jamaa unamuona hamna kitu ilikuwaje amkoromee BWM?
 
Pengine inabidi tujiulize anapata wapi kiburi hiki kama Mengi alivyouliza kwa mara ya pili, Manji anapata wapi kiburi cha aina hiyo. Nafikiri sasa umefika wakati wa kutafuta huyubwana na yeye anapata wapi kiburi hiki.
 
Duh! hii ni tahariri au ni makala ndani ya gazeti la Rai? Kama ni tahariri, basi safari bado ni ndefu kweli kweli. Ingawa habari Corp. ilinunuliwa na Rostam, hivi hakuna mianya ya kisheria ya kumlazimisha mmiliki mpya wa Habari Corp. (Rostam), abadili jina la gazeti la Rai? Pamoja na ukweli kuwa waasisi wa gazeti la Rai wanamiliki gazeti lingine, lakini jina la Rai lilijengwa kwa heshima na taadhima itokanayo na nguvu ya hoja.

Ni kweli, kila kitu kina mwanzo na mwisho wake. Hata mpanda ngazi hushuka. Hata dola ya Warumi ilianguka puh kama embe kutoka mtini. Hata uwe mtu maarufu kiasi gani, kifo kinakungoja, kwa sababu ni mipango ya Mungu. Jamani, lakini Rai haikujengwa hovyo hovyo, bali ilijengwa kwa heshima. Ingekuwa vizuri ikazikwa kwa heshima, hata kama kifo chake kilikuwa hakihepukiki.

Kifo ni kifo. Mwalimu Nyerere alikufa akazikwa kwa heshima zote kwa sababu ya jinsi alivyoishi na kuendesha maisha yake. Mobutu Seseseko alikufa kifo kitokanacho na ugonjwa wa kibinadamu kama alivyokufa Nyerere, lakini alizikwa kwa aibu, kwa sababu ya jinsi alivyoishi maisha yake. Nasema alizikwa kwa aibu kwa sababu hata mamilioni ya watu aliowaongoza kwa miaka yote hawakuona jeneza lake. Na wala hakuzikwa kwenye ardhi ya nchi aliyoiongoza kwa miaka nenda rudi.

Inajulikana wazi kuwa gazeti la Rai limekwisha kufa, lakini sikubaliani na jinsi linavyozikwa. Binafsi ningependelea kuona huyu marehemu wetu Rai anazikwa kwa heshima. Hii ni aibu kupita hata jinsi walivyozikwa watu wa Sodoma na Gomoro. Adam Lusekelo ni mwandishi wa habari aliyebobea. Nadhani makala yake iliyoandikwa kabla ya haya maoni, inaweza kutoa mwanga wa nini kinaendelea kwenye vyombo vingi vya habari.

Nimeiambatanisha chini:

Yesterday I went to my favourite watering hole and started dreaming - what will I do with a million bucks (1.2 billion Tshillings) after I have successfully stolen from the people of Tanzania? I will first start by buying a shangingi. It will be custom made, with a bedroom which vibrates, bar and things. Naturally it will have air-conditioning
automatic deodorants which emit scents after reading my mood.

Like any normal man, with all that offshore dosh at my disposal I will get myself an offshore chick or two, or three. Or even four! I will also get a year's supply of "Viagra" or "Cialis" to rev up my system up. What's wrong with four offshore chicks eating from my hands. I will buy all of them a Rav-4, or a Merc each or even a shangingi if they demand one.

If one of my concubines dares as gets a pimple on the nose, I will insist that she sees a acne expert in London, Paris or New York. Tanzanian doctors don't have the expertise to pinch pimples because these are not normal pimples they are offshore pimples!

I will have a public relations office to buy some trash calling themselves "journalists". They go for a song and their job will be to make me look great in some trashy papers. Thankfully as a Tanzanian politician I will know that and take appropriate measures.

It's a year and a half before the farce we call elections starts. So I will have my media goons on the ready. I will even approach some musicians who will bay out and extol, not my thieves skills, but my virtues of goodness. Needless to say that I will be buddies with the inspector- general of police and director of the Anti-Corruption squad. Very useful guys to know, if you get my drift. My financial sums could go a bit
awry and so I will need have some back up to boost my offshore accounts.

I could start a project to call investors to start making a rain making project. The idea is that the rain should fall into the Mtera dam - spot on. Everyday. Naturally I will have the majority shares in this enterprise. Then I could go to Rome to say "hi"
to the Pope. One needs to thank the Almighty for a good fortune. Some malicious people call it stealing, while I call it being clever with a pen. Wivu tu!

A loud bang and I was woken up from my dream. The waiter wanted his money. I rummaged through my pockets and realised that I had left my "fortune" at home. I
lied to the bar owner that I will pay the next day. I have not been seen in that part of Dar for a week!
Mbwene2@yahoo.com

Source: Daily News
 
Kyoma,

Kila mtu siku hizi anajifanya Ruppert Murdoch au Silvio Berlusconi!
 
Kyoma,

Kila mtu siku hizi anajifanya Ruppert Murdoch au Silvio Berlusconi!

Mzee Kishoka, heshima yako!

Ni kweli Kishoka. Nakumbuka in 1997, Tony Blair traveled to Australia to seek the support of Ruppert Murdoch, the international media magnate who controls several national newspapers in Britain and USA. Safari ya Blair ilizaa matunda haswa!

Lakini yote tisa, how can you explain the imperial wizard of the Italian people to elect Silvio Berlusconi as their prime minister (in 1994 and again in 2001), a man whose only qualification for the job was that he was the wealthiest man in the country and controlled all the private television network?

Kwa mtindo huu wa gazeti la Rai na vyombo vingine, inawezekana hatuko mbali kuwaingiza wamiliki wa vyombo vya habari Ikulu. Kikwete aliingia kwa mtindo wa Blair ingawa malengo ya Blair yalikuwa tofauti na malengo ya Kikwete.

Sasa tunamsubili atakayeingia Ikulu kama Silvio Berlusconi. Hata siku moja usiwadharau wamiliki wa vyombo vya habari. The stranglehold which mafisadi have thus gained over the political process in our country is of course reinforced by their effective control of the press and other mass media.

Kwa sababu labda ya Jambo Forums, Rostam hawezi kuwa Rais wa Tanzania, lakini believe it or not, kwa mtindo wa tahariri za namna hii, tutakuja kumpata mtu anayefanana na Rostam Azizi ndani ya Ikulu yetu. Njia pekee ya kuhepuka hiki kikombe, ni kuendelea kumkoma Nyani Giledi!
 
By the way, nasikia Berlusconi kaukwaa Uwaziri mkuu kwa mara nyingine!
 
Sasa tunamsubili atakayeingia Ikulu kama Silvio Berlusconi. Hata siku moja usiwadharau wamiliki wa vyombo vya habari. The stranglehold which mafisadi have thus gained over the political process in our country is of course reinforced by their effective control of the press and other mass media.

Kwa sababu labda ya Jambo Forums, Rostam hawezi kuwa Rais wa Tanzania, lakini believe it or not, kwa mtindo wa tahariri za namna hii, tutakuja kumpata mtu anayefanana na Rostam Azizi ndani ya Ikulu yetu. Njia pekee ya kuhepuka hiki kikombe, ni kuendelea kumkoma Nyani Giledi!

Mzee Kyoma,

Mwaka 1994, nilipewa nondo kuwa Mengi alikuwa mshikaji wa karibu na Berlusconi. Hii ilikuwa mapema 1994 wakati watu wameanza fikiria nani atachukua kutoka kwa Mwinyi!
 
Jamco Za,

Huyu RA, ni jirani ya mstaafu sasa aliweza kumuingia jamaa na kuwa rafiki wa karibu. Sasa mjinga ni nanai? ni sisi wazawa yaani jamaa aliweza ku penetrate kwe system na sisi na tuko usingizi matokeo yake sasa tunayaona. Msaaafu(jama wa Mbozi) katuachia kadhia nyingi. Natumaini Mzee ES kaeleza pale ni uchafu mtupu.
 
Mzee Kyoma,

Mwaka 1994, nilipewa nondo kuwa Mengi alikuwa mshikaji wa karibu na Berlusconi. Hii ilikuwa mapema 1994 wakati watu wameanza fikiria nani atachukua kutoka kwa Mwinyi!

Habari za ushikaji wa Mengi na Berlusconi ndo kwanza nazisikia leo. Hata hivyo, zilikuwapo tetesi kwamba Mengi alitaka kugombea Urais baada ya Mwinyi. Nakumbuka miaka ya tisini ilikuwapo mechi kali kati ya IPP Media na Habari Corporation. In fact, mara tu Mkapa alipoingia madarakani, gazeti la Rai liliandika habari kuhusu ufisadi uliokuwa unaendelea wakati wa utawala wa Mwinyi.

Rai iliorodhesha majina ya wafanya biashara waliokopa fedha NBC na walikuwa hawataki kuzirudisha. Mmoja wa wafanya biashara hao alikuwa Mengi. IPP Media walijaribu kujibu mapigo kwa kuishambulia Rai. Hata hivyo, Rai walitoa habari nyingine kuwa Serikali ya Mwinyi na Mengi walianzisha kampuni na kuchota fedha kama mkopo (staili ya EPA haikuanza leo). Magazeti ya Mengi yalijibu kuwa ni kweli kampuni hiyo (sikumbuki jina la kampuni) ilianzishwa kwa makubaliano kati ya Serikali na Mengi, lakini Mengi alilipa sehemu yake ya deni walilokopa, ila Serikali ya Mwinyi ndio haikulipa.

Swali kubwa lilikuwa, Serikali ya Mwinyi ilikuwa na biashara gani? Kumbuka kwa wakati huo, mechi ilikuwa ni mapambano ya fikra (watoto wa mjini, ambao gazeti lao halikujengwa na mtaji), na mapambano ya fedha (kwani IPP Media ilianza kwa mitaji mikubwa). Ilifikia mahala ambapo gazeti la Rai lilitoa habari kuwa jana yake Mengi aliitisha waadishi wa habari wa magazeti mengine kama Heko, Shaba, etc. ili yamkingie kifua katika sakata lake na Habari Corp. Rai walionya kuwa magazeti yote tunayafahamu, na atakaye thubutu kutufuata fuata, tutakwenda hata chini ya mkanda.

Aibu ilikuwa kwamba, wakati gazeti la Rai linatoka na hiyo habari ya waadishi wa magazeti mengine waliopewa rupia na Mengi, baadhi ya magazeti yaliyotajwa kwenye habari ya Rai, yalitoka siku hiyo hiyo, yakiwa na habari za kumtukuza Mengi kama mzawa. Gazeti la Rai lilitoa dondoo kuwa lingegusia na fedha zilizochotwa kutoka Benki ya Nyumba, ndipo Mengi alisalimu amri. Hapo ndipo tetesi zilitapakaa mitaani kuwa alikuwa na mpango wa kugombea urais.

Hata hivyo, nilichojifunza katika mechi baina ya IPP Media na Habari Corp. ni kwamba fedha ni muhimu na zina kazi yake. Watu wengine wanasema hakuna linaloshindikana kwa fedha. Lakini nakuhakikishia, fikra ni kitu muhimu sana. Fedha haifui dafu kwa fikra. In fact, fikra huzaa fedha. Kumbuka Mengi alikuwa anatisha, hagusiki. Alipokuwa anadeka watu wanakamatwa jela. Wakati ule, kila mwandishi wa habari aliyemtaka kutoka katika chombo chochote cha habari alimpata.

Ndio maana naona ni vigumu hata kuijadili tahariri ya leo ya gazeti la Rai. Utaanzia wapi? yaani Mhariri asiyejua uhusiano kati ya rushwa na kukua kwa uchumi utaanzaje kujadili maandishi yake? Majuzi tu, makamu wa Rais anakwenda Uingereza katika mkutano wa kuhamasisha watanzania wanaoishi nje wawekeze Tanzania. Rais anashinda nchi za nje, kila kukicha kigulu na njia, akitafuta wawekezaji katika soko la hisa la Dar. Anapoteza mamilioni ya fedha za walipa kodi.

Ajabu ni kwamba, Rais na Makamu wake hawaoni umuhimu wa kukaa na Mawaziri wao kwanza, kabla ya kukaa na watu wa nje, ili kuwashawishi hao Mawaziri kurudisha fedha walizonazo nje ili kukuza uchumi wa Tanzania. Watanzania wanaoishi Uingereza wana fedha kiasi gani zinazoweza kufua dafu mbele ya fedha walizonazo hawa Waheshimiwa viongozi wetu?
 
Habari za ushikaji wa Mengi na Berlusconi ndo kwanza nazisikia leo. Hata hivyo, zilikuwapo tetesi kwamba Mengi alitaka kugombea Urais baada ya Mwinyi. Nakumbuka miaka ya tisini ilikuwapo mechi kali kati ya IPP Media na Habari Corporation. In fact, mara tu Mkapa alipoingia madarakani, gazeti la Rai liliandika habari kuhusu ufisadi uliokuwa unaendelea wakati wa utawala wa Mwinyi.

Rai iliorodhesha majina ya wafanya biashara waliokopa fedha NBC na walikuwa hawataki kuzirudisha. Mmoja wa wafanya biashara hao alikuwa Mengi. IPP Media walijaribu kujibu mapigo kwa kuishambulia Rai. Hata hivyo, Rai walitoa habari nyingine kuwa Serikali ya Mwinyi na Mengi walianzisha kampuni na kuchota fedha kama mkopo (staili ya EPA haikuanza leo). Magazeti ya Mengi yalijibu kuwa ni kweli kampuni hiyo (sikumbuki jina la kampuni) ilianzishwa kwa makubaliano kati ya Serikali na Mengi, lakini Mengi alilipa sehemu yake ya deni walilokopa, ila Serikali ya Mwinyi ndio haikulipa.

Swali kubwa lilikuwa, Serikali ya Mwinyi ilikuwa na biashara gani?

Kyoma,

Mengi sijui alikuwa na biashara gani na Mwinyi, lakini utagundua wazi uhasimu wake na Rai ni nini. Rai walikuwa wapambe wa Mkapa kabla ya Mkapa kuwageuka wakati Jenerali alipohoji mambo ya uongozi, uadilifu na Utendaji na kuitwa Banyamulyenge!

Mkapa na Mengi hawaivi na ugomvi au kidonda chao kamwe hakitapona. Ndio maana tangu mwaka jana Mengi amekuwa akimshikia Bango Mkapa left and right kupitia This Day.

Mengi ni kweli alikopa pesa za CIS pale BOT, sijui kama kesharudisha zote au bado analipa deni.

Mengi anaendelea kujenga maadui wengine zaidi ya Mkapa. Hawa Ajenda 21 wanamkalia kooni, lakini anawapiku. Hivyo mpira bado advantage Mengi.

Sijui uhusiano wa Mengi na jenerali ukoje sasa hivi, lakini wote wawili saa adui yao ni mmoja, Mkapa!
 
Kyoma,

Mengi sijui alikuwa na biashara gani na Mwinyi, lakini utagundua wazi uhasimu wake na Rai ni nini. Rai walikuwa wapambe wa Mkapa kabla ya Mkapa kuwageuka wakati Jenerali alipohoji mambo ya uongozi, uadilifu na Utendaji na kuitwa Banyamulyenge!

Mkapa na Mengi hawaivi na ugomvi au kidonda chao kamwe hakitapona. Ndio maana tangu mwaka jana Mengi amekuwa akimshikia Bango Mkapa left and right kupitia This Day. Mengi ni kweli alikopa pesa za CIS pale BOT, sijui kama kesharudisha zote au bado analipa deni. Mengi anaendelea kujenga maadui wengine zaidi ya Mkapa. Hawa Ajenda 21 wanamkalia kooni, lakini anawapiku. Hivyo mpira bado advantage Mengi.

Sijui uhusiano wa Mengi na jenerali ukoje sasa hivi, lakini wote wawili saa adui yao ni mmoja, Mkapa!

Kishoka

Kusema ukweli, hata mimi undani haswa wa mahusiano kati ya Mengi na Ulimwengu, au Mengi na Mkapa, au Mkapa na Ulimwengu siufahamu. Ninachofahamu ni kuwa Mengi ni Mfanya biashara. Mfanya biashara yeyote lengo lake ni kupata faida. Njia inayotumika kupata faida, inatofautiana kutokana na asili au maadili ya Mfanyabiashara mwenyewe. Wengine wanaiba, wanafanya biashara haramu, na wengine biashara halali, nakadhalika ilimradi wanapata faida. Sijuhi Mengi yuko katika kundi gani, ila nijuacho ni kuwa, Mfanya biashara yeyote anapoingiliwa katika mkondo wa kupata faida, lazima ajibu mapigo.

Mkapa ni Mwanasiasa. Kama ilivyo kwa Mfanya biashara, Mwanasiasa yeyote lengo lake kuu ni kupata madaraka. Wengine wanaiba kura, wanatumia mtutu wa Bunduki, wanatembeza rupia, au ubabe, au kujipendekeza na kujidhalilisha utu wao, ili wapate madaraka. Na wengine (wachache, kama wapo) wanapata madaraka kwa njia halali. Unaweza kumuweka Mkapa katika kundi utakalo, lakini kinachojulikana ni kuwa, mwanasiasa yeyote anapoingiliwa au kutekenywa wakati anapotafuta au akiwa madarakani, lazima ajibu mapigo.

Ingawa aliwahi kushika nyazifa mbali mbali, Kwa maoni yangu, nadhani Ulimwengu ni Mwandishi wa habari zaidi kuzidi alivyo Mwanasiasa. Waandishi wa habari wana kazi kubwa na pana katika jamii, lakini moja wapo, ambayo binafsi nadhani ni kubwa, ni kuwahabarisha wanajamii. Hapo ndipo jamii inapata habari za uongo, kutunga, umbea, kuchochea, kuchokoza, udaku, na za kujidhalilisha kama hii tahariri ya Rai. Wakati mwingine, jamii inapata habari za ukweli kutegemeana na uadilifu wa mwandishi au chombo cha habari husika.

Kwa maoni yangu, nadhani vyombo vya habari vya IPP vinaweza kuwa haviendeshwi kwa faida, lakini viko kwa ajili ya kulinda na kuingiza faida katika biashara ya Mengi. Baadhi ya wadau walivilalamikia sana, humu humu Jambo Forums, wakati wa kampeni za Kikwete. Sasa hivi ametulia anamsakama Mkapa kweli kweli. Hii ina uzuri na ubaya wake. Ubaya ni kwamba, mnaweza kumpata Rais anayetaka kupambana na mafisadi na kuwasambalatisha. Lakini anapomaliza muda wake, wanamuandama kwa kutumia vyombo vyao vya habari.

Uzuri ni kwamba, hata kama ni kweli Rais alipambana na baadhi ya michezo michafu ya Wafanyabiashara, lakini na yeye akaendekeza ufisadi, akimaliza muda wake, wanampiga makonzi kama wanavyomfanya Mkapa sasa hivi. Si unajua tena, vita ya Panzi furaha ya Kunguru. Joseph Mihangwa, mwandishi wa makala Raia Mwema, anasema ni "kunyukana". Ukiangalia utaona kuwa, katika nchi zilizoendelea kama Marekani, viongozi wengi wanaotumikia vifungo jela, ni matokeo ya "minyukano" ya mafisadi.

Ingekuwa Marekani, kiongozi kama Andrew Chenge angekwisha sogelewa na Wazee wa kazi, na kumwambia tutakupunguzia kifungo (badala ya miaka 50, utalamba 5), twambie ni hakina nani ulishirikiana nao na fedha zao ziko wapi? Hivi ndivyo aliyekuwa Spika wa Bunge la Marekani, Tom Delay anavyonyemelewa na Wazee wa Federal Gov. Wamesitisha kifungo cha Jack Abramoff, gwiji la kuhonga viongozi, ili waangalie kama wanaweza kumtia hatiani Tom Delay (wananyukana).

Habari nzuri kwa Marekani ni kuwa, wana utaratibu mzuri wa kuwalinda viongozi wao na raia wema wasio na hatia. Siyo rahisi chombo chochote cha habari kumpaka raia au kiongozi yeyote matope bila kulipia gharama zake. Habari mbaya kwa Tanzania ni kuwa, sasa hivi tunafurahi jinsi Mengi anavyoibua ufisadi wa Mkapa, lakini siku akitokea kiongozi mzuri akapakwa matope na wamiliki wa vyombo vya habari, kwa sababu tu, aliingilia mkondo wao wa kupata faida, Tanzania hatuna utaratibu wowote wa kumlinda.

Hii ni changamoto ambayo inabidi tuifanyie kazi kama taifa. Binafsi siamini kama Mengi anasukumwa na dhamiri ya kuchukia ufisadi. Mbona anashangilia utawala wa Kikwete? Zaidi ya yote, binafsi siko moyoni mwa Mkapa, Mengi, au Ulimwengu, lakini naweza kuwahukumu kutokana na matendo yao. Kimatendo, nadhani Mengi na Mkapa wanabadilika kutokana na nyakati, pamoja na mazingira. Nadhani ni kwa sababu ya dhana ya faida na madaraka.

Nilisoma makala za Ulimwengu wakati wa kampeni ya 1995, jinsi alivyokuwa akimkampenia Mkapa. Nilisoma makala za Ulimwengu wakati Mkapa yuko madarakani. Nazisoma makala za Ulimwengu sasa hivi. Sijaona kilichobadilika katika maandishi. Nakumbuka makala moja iliyoandikwa na Ulimwengu 1995 ikijibu hoja za wapinzani kuwa Mkapa hajulikani. Ulimwengu alijenga hoja za kwa nini aliamini Mkapa ndiye aliyefaa miongoni mwa wale waliojitokeza.

Mkapa aliposhinda, Ulimwengu aliendeleza taaluma yake pamoja na makala zake, na baadae kipindi chake cha TV, kuihabarisha jamii na kumkumbusha Mkapa kutimiza ahadi yake kwa wananchi. Nilisoma makala za Ulimwengu baada ya kuzama kwa MV Bukoba jinsi alivyokuwa na imani na Serikali, na nilisoma makala ya Ulimwengu iliyokuwa na kichwa cha habari "simuogopi Nzwanzugwanko". Kwa kifupi, Ulimwengu alikataa kata kata kujidhalilisha, na akaamua kusimamia hoja zake alizozijenga wakati anampigia kampeni Mkapa.

Sijuhi mahusiano ya Mkapa na Ulimwengu sasa hivi, lakini nakuhakikishia kuwa, kama Ulimwengu angekuwa mwandishi mithili ya huyo aliyeandika tahariri hii ya Rai, wangekuwa maswahiba wakubwa na Mkapa mpaka leo. Si unakumbuka makala iliyoandikwa na Salva Rweyemamu kuhusu Kikwete, alafu ikaletwa hapa Jambo Forums, mpaka baadhi ya wadau wakawa wanauliza maswali kama aliyeandika ni Salva wanayemfahamu. Lakini sasa hivi si tunajua kwa nini Salva alikuwa anaandika makala kama zile.

Hawa akina Chenge na Lowasa wangeweza kuwashawishi waadishi wa habari wenye vipaji mithili ya Ulimwengu, nadhani wangekula kuku kwa mlija. Lakini utamlipa nini, au utampa cheo gani mtu kama Ulimwengu zaidi ya chakula cha ubongo? Si unaona Marekani, waandishi wa habari uchwara na "talk show hosts" ni matajiri wa kupindukia!
 
Inabidi tufikiri kwa makini sana hawa watu wanamaanisha nini wanaposema "kubadilishwa na upepo tusioujua' Jee huu ni mtikisiko wa ndani kwa ndani wa nafsi zao kuona mwelekeo unavyokwenda?

lengo lao ni nini? kama walitaka kumwambia JK kwamba awazibe midomo wanaochokonoa mambo yao si wangemwambia wakiwa Ikulu,sas kwani waweke maoni yao yasomwe na watu wengi. Hapa kuna jambo tunaomba tufikiri kwa bidii sana
Inawezekana wamepanga serikali ichukue hatua dhidi ya vyombo vya habari vinavyoipinga kwa kisingizio kwamba wamechkua maoni ya gazeti "makini" kwa manufaa ya Umma! Tafakari
 
Duh! hii ni tahariri au ni makala ndani ya gazeti la Rai? Kama ni tahariri, basi safari bado ni ndefu kweli kweli. Ingawa habari Corp. ilinunuliwa na Rostam, hivi hakuna mianya ya kisheria ya kumlazimisha mmiliki mpya wa Habari Corp. (Rostam), abadili jina la gazeti la Rai? Pamoja na ukweli kuwa waasisi wa gazeti la Rai wanamiliki gazeti lingine, lakini jina la Rai lilijengwa kwa heshima na taadhima itokanayo na nguvu ya hoja.

Ni kweli, kila kitu kina mwanzo na mwisho wake. Hata mpanda ngazi hushuka. Hata dola ya Warumi ilianguka puh kama embe kutoka mtini. Hata uwe mtu maarufu kiasi gani, kifo kinakungoja, kwa sababu ni mipango ya Mungu. Jamani, lakini Rai haikujengwa hovyo hovyo, bali ilijengwa kwa heshima. Ingekuwa vizuri ikazikwa kwa heshima, hata kama kifo chake kilikuwa hakihepukiki.

Kifo ni kifo. Mwalimu Nyerere alikufa akazikwa kwa heshima zote kwa sababu ya jinsi alivyoishi na kuendesha maisha yake. Mobutu Seseseko alikufa kifo kitokanacho na ugonjwa wa kibinadamu kama alivyokufa Nyerere, lakini alizikwa kwa aibu, kwa sababu ya jinsi alivyoishi maisha yake. Nasema alizikwa kwa aibu kwa sababu hata mamilioni ya watu aliowaongoza kwa miaka yote hawakuona jeneza lake. Na wala hakuzikwa kwenye ardhi ya nchi aliyoiongoza kwa miaka nenda rudi.

Inajulikana wazi kuwa gazeti la Rai limekwisha kufa, lakini sikubaliani na jinsi linavyozikwa. Binafsi ningependelea kuona huyu marehemu wetu Rai anazikwa kwa heshima. Hii ni aibu kupita hata jinsi walivyozikwa watu wa Sodoma na Gomoro. Adam Lusekelo ni mwandishi wa habari aliyebobea. Nadhani makala yake iliyoandikwa kabla ya haya maoni, inaweza kutoa mwanga wa nini kinaendelea kwenye vyombo vingi vya habari.

Nimeiambatanisha chini:

Yesterday I went to my favourite watering hole and started dreaming - what will I do with a million bucks (1.2 billion Tshillings) after I have successfully stolen from the people of Tanzania? I will first start by buying a shangingi. It will be custom made, with a bedroom which vibrates, bar and things. Naturally it will have air-conditioning
automatic deodorants which emit scents after reading my mood.

Like any normal man, with all that offshore dosh at my disposal I will get myself an offshore chick or two, or three. Or even four! I will also get a year's supply of "Viagra" or "Cialis" to rev up my system up. What's wrong with four offshore chicks eating from my hands. I will buy all of them a Rav-4, or a Merc each or even a shangingi if they demand one.

If one of my concubines dares as gets a pimple on the nose, I will insist that she sees a acne expert in London, Paris or New York. Tanzanian doctors don't have the expertise to pinch pimples because these are not normal pimples they are offshore pimples!

I will have a public relations office to buy some trash calling themselves "journalists". They go for a song and their job will be to make me look great in some trashy papers. Thankfully as a Tanzanian politician I will know that and take appropriate measures.

It's a year and a half before the farce we call elections starts. So I will have my media goons on the ready. I will even approach some musicians who will bay out and extol, not my thieves skills, but my virtues of goodness. Needless to say that I will be buddies with the inspector- general of police and director of the Anti-Corruption squad. Very useful guys to know, if you get my drift. My financial sums could go a bit
awry and so I will need have some back up to boost my offshore accounts.

I could start a project to call investors to start making a rain making project. The idea is that the rain should fall into the Mtera dam - spot on. Everyday. Naturally I will have the majority shares in this enterprise. Then I could go to Rome to say "hi"
to the Pope. One needs to thank the Almighty for a good fortune. Some malicious people call it stealing, while I call it being clever with a pen. Wivu tu!

A loud bang and I was woken up from my dream. The waiter wanted his money. I rummaged through my pockets and realised that I had left my "fortune" at home. I
lied to the bar owner that I will pay the next day. I have not been seen in that part of Dar for a week!
Mbwene2@yahoo.com

Source: Daily News

Duh:

Jamaa amemwandika Lowassa kabisa! Ingawa amedokeza pia na vitabia vichache vye Chenge na Che-Mkapa!

Asha
 
Hivi huyu Rostam aliwezaje kutufunga magoli huko nyuma? naona kama sio
sio mkali kabisa.

Hizo SPINS zake ni rahis mno kuziona na kumshutukia.

Hao wabunge wa CCM waliokuwa wanampigia magoti nafaikiri sababu ya pesa za EPA tu.

Nimemsoma Rostam siku za karibuni, sioni kama ana uwezo mkubwa zaidi ya kuwa mwizi wa fedha za umma.

Nahisi kama mwisho wake unakaribia.
 
Back
Top Bottom