G
Exactly 💯Wanajaribu tengeza fear kwa wananchi. Case ya Tanzania haiwezi kuwa na hayo matokeo. anyway, anaotowesha haki ya maisha ya watu na kuogopeka soon damu yake italmbwa na inzi 😎
Ni hadi wapate hiyo nafasi ya kuishi kama digi digi. Wanachopanda ndio wanachovunaExactly 💯
Najua hawaelewi kuwa nyakati ni mwamuzi wa mwisho
Na hawaamini kuwa yanayoenda kutokea wataishi km digidigi
HsswaaaUpuuzi mtupu
Democracy kupotea kwani sasa ndio bado ipo?
Burkina Faso wao wana utawala wa kijeshi mbona wanazidi kupiga hatua mbele kuliko sisi ambao tumejaza wezi tu?
Kwanza utawala wa kijeshi una faida kubwa sababu
Mambo ya uchaguzi na upuuzi mwengine kama huo wa wabunge kulipwa maposho kwenye mavikao ya bunge unakuwa haupo! Pesa zinapelekwq kwenye mambo mengine muhimu ya kijamii kwa wananchi..
Hizi hoja zenu tupu bila vitendo ndio zimefanya tumefikia hapa porojo bila vitendo
Hata kama ungesema Kila wiki watachinjwa watu Saba hadharani ni heri kuliko mtu kupotea hujui kama ameshakufa au yupo .Katika pitapita yangu huko kwenye social medias, ghafla nikajikuta Facebook ktk moja ya page ya wadau wanaojiita "TUJIFUNJE BIBLIA MADHEHEBU YOTE" na kukiwa na article hii yenye kichwa cha habari
"MADHARA YA KUPINDUA SERIKALI NA NCHI KUONGOZWA NA JESHI"
HOJA ZAO NI HIZI 👇🏻👇🏻👇🏻
Kama serikali ya kiraia itapinduliwa na Jeshi likachukua uongozi (kama baadhi ya watu wanavyotamani), haya ndiyo yatakayowakuta raia:*
1. Katiba Inasimamishwa
- Hakuna tena uhuru wa kikatiba.
- Sheria zote mpya zitatolewa kwa amri za kijeshi tu.
2. Bunge na Vyama vya Siasa Vinavunjwa
- Hakuna tena upinzani wala wabunge wa kuwawakilisha.
- Vyama vya siasa hupigwa marufuku mara moja.
3. Uchaguzi Unasitishwa
- Wananchi hawatopiga kura tena kwa miaka mingi hadi jeshi lieleze "hali imetulia".
4. Uhuru wa Habari Unapotea
- Mitandao ya kijamii kama WhatsApp, Facebook, X (Twitter), YouTube, TikTok na Telegram hufungwa
- Habari zote hutolewa na Jeshi pekee – hakuna uhuru wa kujieleza.
5. Kamatakamata Bila Sababu
- Raia wanaweza kufungwa bila kesi, kuteswa au kutoweka.
- Hakuna haki ya kuhoji – ukijaribu, unatafutwa.
6. Mahakama za Kijeshi Zinaongoza
- Hata raia wa kawaida hushitakiwa kwenye mahakama za kijeshi bila wakili.
- Haki inakuwa ya upendeleo, siyo ya sheria.
7. Uchumi Unayumba
- Wawekezaji hukimbia.- Ajira hupotea.
- Bei hupanda.
- Hali ya maisha kuwa mbaya kuliko mnavyofikiria sasa.
8. Udhibiti Mkubwa wa Digitali
- Mitandao hufungwa muda wowote bila taarifa.
- Kila unachoandika au kuposti kinadhibitiwa na serikali ya kijeshi
- Intaneti hupunguzwa kasi au kuzimwa kabisa kufuatilia mawasiliano ya raia.
TAFAKARI: Jeshi siyo suluhisho la matatizo ya kisiasa. Waliopitia hayo (Sudan, Guinea, Myanmar) wanajuta. Hatutaki kugeuka kama wao.
√ Siasa ni mjadala – siyo vita!
√ Badilishaneni hoja, siyo mapinduzi!
===============================================
Wewe mdau unasemaje?
Heri kutawaliwa na dikteta halafu mkawa mnatekwa, kupotezwa na kuuwawa au Jeshi ambalo litawanyima uhuru fulani fulani kwa muda mrefu lakini mkawa salama....?
Toa maoni..
Katika pitapita yangu huko kwenye social medias, ghafla nikajikuta Facebook ktk moja ya page ya wadau wanaojiita "TUJIFUNJE BIBLIA MADHEHEBU YOTE" na kukiwa na article hii yenye kichwa cha habari
"MADHARA YA KUPINDUA SERIKALI NA NCHI KUONGOZWA NA JESHI"
HOJA ZAO NI HIZI 👇🏻👇🏻👇🏻
Kama serikali ya kiraia itapinduliwa na Jeshi likachukua uongozi (kama baadhi ya watu wanavyotamani), haya ndiyo yatakayowakuta raia:*
1. Katiba Inasimamishwa
- Hakuna tena uhuru wa kikatiba.
- Sheria zote mpya zitatolewa kwa amri za kijeshi tu.
2. Bunge na Vyama vya Siasa Vinavunjwa
- Hakuna tena upinzani wala wabunge wa kuwawakilisha.
- Vyama vya siasa hupigwa marufuku mara moja.
3. Uchaguzi Unasitishwa
- Wananchi hawatopiga kura tena kwa miaka mingi hadi jeshi lieleze "hali imetulia".
4. Uhuru wa Habari Unapotea
- Mitandao ya kijamii kama WhatsApp, Facebook, X (Twitter), YouTube, TikTok na Telegram hufungwa
- Habari zote hutolewa na Jeshi pekee – hakuna uhuru wa kujieleza.
5. Kamatakamata Bila Sababu
- Raia wanaweza kufungwa bila kesi, kuteswa au kutoweka.
- Hakuna haki ya kuhoji – ukijaribu, unatafutwa.
6. Mahakama za Kijeshi Zinaongoza
- Hata raia wa kawaida hushitakiwa kwenye mahakama za kijeshi bila wakili.
- Haki inakuwa ya upendeleo, siyo ya sheria.
7. Uchumi Unayumba
- Wawekezaji hukimbia.- Ajira hupotea.
- Bei hupanda.
- Hali ya maisha kuwa mbaya kuliko mnavyofikiria sasa.
8. Udhibiti Mkubwa wa Digitali
- Mitandao hufungwa muda wowote bila taarifa.
- Kila unachoandika au kuposti kinadhibitiwa na serikali ya kijeshi
- Intaneti hupunguzwa kasi au kuzimwa kabisa kufuatilia mawasiliano ya raia.
TAFAKARI: Jeshi siyo suluhisho la matatizo ya kisiasa. Waliopitia hayo (Sudan, Guinea, Myanmar) wanajuta. Hatutaki kugeuka kama wao.
√ Siasa ni mjadala – siyo vita!
√ Badilishaneni hoja, siyo mapinduzi!
===============================================
Wewe mdau unasemaje?
Heri kutawaliwa na dikteta halafu mkawa mnatekwa, kupotezwa na kuuwawa au Jeshi ambalo litawanyima uhuru fulani fulani kwa muda mrefu lakini mkawa salama....?
Toa maoni..
Poa tu. Tuanza upya maana muelekeo haueleweki➡️MADHARA YA KUPINDUA SERIKALI NA
NCHI KUONGOZWA NA JESHI.
➡️WATAFAKARI KABLA HAMJASUKUMA NCHI
KWENYE MACHAFUKO!!
➡️ Kama serikali ya kiraia itapinduliwa na
Jeshi likachukua uongozi (kama baadhi ya
watu wanavyotamani), haya ndiyo
yatakayowakuta raia:
---
1️⃣. Katiba Inasimamishwa.
kijeshi tu.
- Hakuna tena uhuru wa kikatiba.
- Sheria zote mpya zitatolewa kwa amri za
2️⃣. Bunge na Vyama vya Siasa Vinavunjwa.
- Hakuna tena upinzani, wala wabunge wa
kuwawakilisha.
- Vyama vya siasa hupigwa marufuku mara
moja.
3️⃣. Uchaguzi Unasitishwa.
- Wananchi hawatopiga kura tena kwa miaka
mingi hadi jeshi lieleze "hali imetulia".
4️⃣. Uhuru wa Habari Unapotea
- Mitandao ya kijamii kama WhatsApp,
Facebook, X (Twitter), YouTube, TikTok na
Telegram hufungwa.
- Habari zote hutolewa na jeshi pekee –
hakuna uhuru wa kujieleza.
5️⃣. Kamatakamata Bila Sababu
- Raia wanaweza kufungwa bila kesi, kuteswa
au kutoweka.
- Hakuna haki ya kuhoji – ukijaribu, unatafutwa.
6️⃣. Mahakama za Kijeshi Zinaongoza.
- Hata raia wa kawaida hushitakiwa kwenye
mahakama za kijeshi bila wakili.
- Haki inakuwa ya upendeleo, siyo ya sheria.
7️⃣. Uchumi Unayumba.
mnavyofikiria sasa.
- Wawekezaji hukimbia.- Ajira hupotea.
- Bei hupanda.
- Hali ya maisha kuwa mbaya kuliko
8️⃣. Udhibiti Mkubwa wa Digitali.
-Mitandao hufungwa muda wowote bila
taarifa.
- Kila unachoandika au kuposti kinadhibitiwa
na serikali ya kijeshi.
- Intaneti hupunguzwa kasi au kuzimwa
kabisa, kufuatilia mawasiliano ya raia.
---
🛑 TAFAKARI:
Jeshi siyo suluhisho la
matatizo ya kisiasa. Waliopitia hayo (Sudan,
Guinea, Myanmar) wanajuta. Hatutaki kugeuka
kama wao.