Hivi issue ilishaje TRA walilibeba gari au walimwachia hapoHapo huyo Mbunge alidhani hiyo ishu ataweza kuchomoa, kumbe ishu nzito kidogo na Afisa naye ana composure...Mbunge ana inferiority complex. Nahisi Mbunge anapenda kujisifu na kuwaambia masela wake kuwa "wasiwe na wasiwasi wako na Mbunge" na Mbunge ana bahati Sana kuna vichwa vibovu hajakutana navyo.
Issue ni Deep gari ipo ofisini mpaka iwe cleared ndo itokeHivi issue ilishaje TRA walilibeba gari au walimwachia hapo
Ova
TRA hufanya kazi masaa 24Saa 9/10 usiku?, na polisi yupo kavaa kiraia!, hii michezo inapoteza sana raia mtaani.
Kwani kazuiwa kuongea na mwananchi wake ambaye naamini taarifa anazo. Asitafute umaarufu kupitia afisa wa TRA, serikali ikamate eneo langu we ukaikoromee serikali kisa ni mbunge ilihali hujakaa ukaniuliza mimi mwathirika sababu ni nini as if umekatazwa kuniuliza.Mleta Uzi nipo opposite na wewe .baba Revo yupo sahihi kwa asilimia mia Moja
Pamoja ana mapungufu yake
Nampa maua yake
Ipo hiv
Baba Revo yupo kwa ajili ya mwanainchi na mwanainchi ni ommy dimpozy
lini huwa wanakuja?Interpol wakijaga watu huwa
Wanayafungia magari ndani
Ova
Wanashtukizaga tulini huwa wanakuja?
TRA hufanya kazi masaa 24
Kuna vitengo maalum,
Mfano wale wa doria na ukamataji wa bidhaa za magendo
Ndomana hata bandarini TRA Wako masaa 24
Ova
Mkuu unasema mahakama zipo ,ziko wapi ? Au hizi za maelekezozo?Huyo Baba Levo ni mjinga tu kama walivyo wajinga wengine. Yani ukiwa Mbunge ndo uzuie Maafisa wa serikali kufanya kazi zao? Ushaambiwa issue ni ya kisheria kama una malalamiko Mahakama zipo TRA wapo angeenda Ofsini kuulizia shida ni nini. Sasa kama kila kiongozi atakua anatunisha misuli hivi hii nchi itafanikiwa kweli? Yani ukiwa karibu na kiongozi flan unaruhusiww kuvunja sheria na taratibu za nchi? Mbunge Mbunge kitu gani bhanaa...yeye ndo alitakiwa kua mfano wa kuigwa maana hizo sheria wanatunga na kuzipitisha bungeni wao wenyewe halafu utekelezaji ndo uangalie nani yuko karibu na kiongozi gani? Nadhani in future ili uwe Mbunge lazima uwe umesoma angalau kuanzia diploma au hata degree kabsa na elimu kidogo ya mambo ya sheria na katiba ya nchi. Hawa viongozi wetu wengi hwako well informed hata na kile ambacho kinaendelea na kitakiwa kufanyika nchini mwao.
Mimi nimemsikiliza huyo baba levo,kwa misingi ya sheria hajakosea kitu,ameuliza kila kitu vizuri sana,na hata huyo ofisa wa wabyra amejibu vizuri tu.Kila mmoja alikuwa kwenye mipaka yake ya kazi.Huyu Baba Levo anafosi apewe sababu ya kukamatwa gari ya Ommy Dimpoz.
Afisa anamuambia hizo ni taarifa za siri kati ya TRA na mteja ambaye tayari tumeshaongea naye.
Cha ajabu mbunge na akili zake kisoda anaendelea kufosi apewe taarifa za kwa nn gari inakamatwa!
View attachment 3678393
View attachment 3678648
Yuko sawa na waliomchaguaHuyu Baba Levo anafosi apewe sababu ya kukamatwa gari ya Ommy Dimpoz.
Afisa anamuambia hizo ni taarifa za siri kati ya TRA na mteja ambaye tayari tumeshaongea naye.
Cha ajabu mbunge na akili zake kisoda anaendelea kufosi apewe taarifa za kwa nn gari inakamatwa!
View attachment 3678393
View attachment 3678648
Bunge limejaa watu wajinga wasioelewa chochote wajibu wao na mipaka yao. Bunge la Tanzania ni tawi tu la serikali ya CCM, hata upatikanaji wao wabunge ni magumashi tu, hakuna merits wala uchaguzi.kuna shida kubwa sana, wabunge na madiwani kujihisi wao ni sehemu ya serikali.
hataile clip ya msukuma akibishana na muwekezaji mzawa, alikua anamwambia yule muwekezaji kwanini hamuheshimu yeye(serikali)
Katiba inaruhusu, ukijua tu kusoma na kuandika unaingia bungeni.Ingawa hatujui kwa undani Sana wa jambo hili, ni vema watoa huduma au maafisa wanatoa huduma kuwa na utamaduni wa kuwasiliana vizuri.
Kama jambo ni la Siri bado unaweza kumweleza Mteja kwa kiufui Tu bila details.
Ommy Dimpoz ni Mwanannchi wa Baba levo
mfumo ushaharibika , wabunge/madiwani wanakua kama wameteuliwa na mwenyekiti wao. na wanafikiri kazi yao ni kuitetea serikali.Bunge limejaa watu wajinga wasioelewa chochote wajibu wao na mipaka yao. Bunge la Tanzania ni tawi tu la serikali ya CCM, hata upatikanaji wao wabunge ni magumashi tu, hakuna merits wala uchaguzi.
Dimpozi ni mtoto wa Kizimkazi, hakuna anayeweza kumteka.Kwanza watekaji Wana vitambulisho zaid ya viwili ,Kuna mda mwalimu wa primary ,kuna mda ni Ofisi ya rais Kaz maalum.tunajadili ujinga wa CCM.leteni ushahid kwamba alikuwa afisa wa tra
Kama Chipando anatetea wananchi akamuulize Katambi bungeni Humphrey Polepole yuko wapi.Ndiyo maana polisi wanakamata raia hovyo hovyo na raia wanashindwa kuhoji sababu. Baba levo alitaka kujua sababu ya jambo hilo na sio taarifa za omy dimpozi. Afisa wa TRA angeweza kusema "kuna shida upande wa clearance". Jibu rahisi kabisa.
Kesho sisi raia tunataka viongozi wahoji kwanini polisi wanakamata raia mtaani, hapo kiongozi kahoji ila inaonekana ni kosa.
Kwa kifupi, sisi wananchi tunapenda kuona mtu wa CCM amekosea. Polisi wakikamata raia, wamekosea. Kiongozi kuhoji amekosea.
Matajiri,wale maboss wake wata clear tuIssue ni Deep gari ipo ofisini mpaka iwe cleared ndo itoke