Haya ndiyo matokeo ya kupeleka wahuni bungeni. Wanajiona wana mamlaka kwenye kila jambo.

Haya ndiyo matokeo ya kupeleka wahuni bungeni. Wanajiona wana mamlaka kwenye kila jambo.

Umekamata gari, LA mwananchi, unashindwa, kujibu shida ni nini mbele ya mwakilishi wa, mwananchi, na mwananchi mwenyewe yupo hapo,!! Mbunge yupo sahihi, hii kenge ya TRA ilibidi ipigwe makofi, kumbukeni wale TRA walikamata gari LA mfanyabiashara wakakaa nalo mpaka JPM, alipoingilia Kati,
Ipo ndani ya taratibu zao, kama wanataka ziwe huru kwa kila mtu warudi bungeni kubadili sheria
 
Asante Troll JF kwa maelezo na reference, hata Mimi sijasema atoe Siri lakini anaweza kutoa Tu maelezo ya jumla jumla ya kwanini anazuia Gari, hii ni kupunguza tension ambayo Mteja anakuwa nayo wakati huo.

Mfano; huwezi kusema direct hii gari unadaiwa Kodi mil 2, badala yake uweza kusema tunaisimamisha Gari yako ili kuangalia au kuhakiki kama imekamilisha malipo ya Kodi kama inavyotakiwa. Hivyo Tu basi
Mteja hakuwa na shida na ukiangalia video zote mteja anamtuliza mbunge lkn mbunge ndio amechachamaa hataki kuelewa
 
Vedio inayojadiliwa humu ni kipande tuu ,
Full vedio inaonesha
Afisa alienda kati ya saa kumi na Moja alfajili na wakiwa wamevaa bila uniform.

Na ktk mazungumzo, baba Revo kakosoa hayo mambo mawili
Mjingan ni mjinga ila akifanya jema asiitwe.mjinga
Ameulizwa kitambulisho na akaonyesha na avevaa shingoni, police ameulizwa kitambulisho nae akasema hiki hapa ninacho.
 
Mambo hayako hivyo, Baba levo Yuko n Ommy hapo hapo.

Kuna tatizo l a communication kwa Watumishi wengi has Sisi waafrika.

Mfano angesema:

Gari hii tunaikamt kwa sababu tuna operesheni maalum ya kukagua magari

Tunaangalia kama imetimiza vigezo vyote vy usajiri na Kodi

Tunaangalia na kuthibitisha usajiri wake kama ulizingatia Sheria

Tunchunguza madeni

Hizi zote ni sababu za kumjibu mtu na akakuelewa na then wewe ofisa unaendelea na mambo yako huku Mhusika ameshatulia na kurelax
Sahihi kabisa.. shida ni kwamba hapa bongo wamezoea kutuburuza kiasi kwamba wameshaamin kuwa huo ndo uwajibikaji
 
Back
Top Bottom