Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Baba Levo ameiba uchaguzi, hajachaguliwa.Ingawa hatujui kwa unsani Sana wa jambo hili, ni vema watoa huduma au maafisa wanatoa huduma kuwa na utamaduni wa kuwasiliana vizuri.
Kama jambo ni la Siri bado unaweza kumweleza Mteja kwa kiufui Tu bila details.
Ommy Dimpoz ni Mwanannchi wa Baba levo