Haya ndiyo matokeo ya kupeleka wahuni bungeni. Wanajiona wana mamlaka kwenye kila jambo.

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
5,762
Reaction score
21,843
Huyu Baba Levo anafosi apewe sababu ya kukamatwa gari ya Ommy Dimpoz.

Afisa anamuambia hizo ni taarifa za siri kati ya TRA na mteja ambaye tayari tumeshaongea naye.

Cha ajabu mbunge na akili zake kisoda anaendelea kufosi apewe taarifa za kwa nn gari inakamatwa!

View attachment 3678393
Ingawa hatujui kwa undani Sana wa jambo hili, ni vema watoa huduma au maafisa wanatoa huduma kuwa na utamaduni wa kuwasiliana vizuri.
Kama jambo ni la Siri bado unaweza kumweleza Mteja kwa kiufui Tu bila details.
Ommy Dimpoz ni Mwanannchi wa Baba levo
 
Huyu Baba Levo anafosi apewe sababu ya kukamatwa gari ya Ommy Dimpoz.

Afisa anamuambia hizo ni taarifa za siri kati ya TRA na mteja ambaye tayari tumeshaongea naye.

Cha ajabu mbunge na akili zake kisoda anaendelea kufosi apewe taarifa za kwa nn gari inakamatwa!

View attachment 3678393
Alikuja juu akitiririka na kumbananisha ofisa huyu wa TRA ili kumsaidie best wake, akafungulia turbo kabisa, ila aliposikia aina ya msala kuwa ni forgery inayohusiana na umiliki wa gari inayokamatwa, alipiga bonge la U-turn akamtupa best wake mtaroni ukichukulia alishajua kuwa ana record tukio, so akaangalia usalama wake.
Ila kama mwananchi alikuwa sahihi, maana style hiyo ya ufanyaji kazi ndiyo hutumika kuteka na kuua au kupoteza watu
 
Huyu Baba Levo anafosi apewe sababu ya kukamatwa gari ya Ommy Dimpoz.

Afisa anamuambia hizo ni taarifa za siri kati ya TRA na mteja ambaye tayari tumeshaongea naye.

Cha ajabu mbunge na akili zake kisoda anaendelea kufosi apewe taarifa za kwa nn gari inakamatwa!

View attachment 3678393
Zero brain. Hao ndio watu wanatakiwa bungeni ili kutimiza mambo fulani. Zingatia neno FULANI.
 
Ingawa hatujui kwa unsani Sana wa jambo hili, ni vema watoa huduma au maafisa wanatoa huduma kuwa na utamaduni wa kuwasiliana vizuri.
Kama jambo ni la Siri bado unaweza kumweleza Mteja kwa kiufui Tu bila details.
Ommy Dimpoz ni Mwanannchi wa Baba levo
Huyo ofisa yuko sahihi. Hawezi kutoa taarifa za mteja kwa third party. Na kamwambia amuulize Ommy mwenyewe atampa taarifa.
 
Huyu Baba Levo anafosi apewe sababu ya kukamatwa gari ya Ommy Dimpoz.

Afisa anamuambia hizo ni taarifa za siri kati ya TRA na mteja ambaye tayari tumeshaongea naye.

Cha ajabu mbunge na akili zake kisoda anaendelea kufosi apewe taarifa za kwa nn gari inakamatwa!

View attachment 3678393
Mleta Uzi nipo opposite na wewe .baba Revo yupo sahihi kwa asilimia mia Moja
Pamoja ana mapungufu yake
Nampa maua yake

Ipo hiv
Baba Revo yupo kwa ajili ya mwanainchi na mwanainchi ni ommy dimpozy
 
Back
Top Bottom