jambo Dunia
JF-Expert Member
- Jun 6, 2026
- 292
- 817
Na ndio michezo wanacheza sasa vituko juu ya vituko wanaleta alafu magazet ,tv,redio,mitandao ya kijamii kwenye peji kubwa .wanapewa maelekezo walipaishee hilo jamboo kwa muda wa wiki au cku kazaa ..wtz tulivyo ss benderaaa fata upepo nasi tunapepeaaaaUkiliangalia kwa akili ya utulivu jambo hili, unaweza ukakuta hapo watanzania wanatengenezewa picha lingine.
Yaani huyo Ommy akamatwe na TRA kwa issue anayojua dhahiri kuwa ana mahgumashi nayo eti akimbolie kwenda kushitaki kwa baba levo? Halafu huyo baba levo akijua yeye ni mbunge na ubunge wake nje ya jinbo lake una apply bungeni, lakini hapa anautumia kwenda kum bstruct mfanyakazi wa TRA, wakati akijua hiyo haitakiwi? Kamwe haiingii akilini, hili jambo wametengeneza picha la kui keep busy mitandao.
Hapo ndipo Mtibeli Robert Heriel Mtibeli anapolalamikia Wamatumbi