ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Huyu nae alipitishwa na kamati kuu huko CCM kama mgombea 😅😅
Hii kamati tuipe jina gani?
Hii kamati tuipe jina gani?
Kwahiyo hua anachangia kabisa ?Nikionaga anachangia mada bungeni huwa naogopa kumsikiliza, najua hili bomu litalipuka any secomd!.
Wanadai Kashindwa kulinda Mgongo wakeMbona Ommy ana andamwa sana kulikoni?
Endeleeni kuishi kwa mazoeaMleta Uzi nipo opposite na wewe .baba Revo yupo sahihi kwa asilimia mia Moja
Pamoja ana mapungufu yake
Nampa maua yake
Ipo hiv
Baba Revo yupo kwa ajili ya mwanainchi na mwanainchi ni ommy dimpozy
G Wagon yake nini?
Huyu Baba Levo anafosi apewe sababu ya kukamatwa gari ya Ommy Dimpoz.
Afisa anamuambia hizo ni taarifa za siri kati ya TRA na mteja ambaye tayari tumeshaongea naye.
Cha ajabu mbunge na akili zake kisoda anaendelea kufosi apewe taarifa za kwa nn gari inakamatwa!
View attachment 3678393
Ukiliangalia kwa akili ya utulivu jambo hili, unaweza ukakuta hapo watanzania wanatengenezewa picha lingine.Mbona Ommy ana andamwa sana kulikoni?
Shida ni namna ya utekelezaji wa majukumu.Mleta Uzi nipo opposite na wewe .baba Revo yupo sahihi kwa asilimia mia Moja
Pamoja ana mapungufu yake
Nampa maua yake
Ipo hiv
Baba Revo yupo kwa ajili ya mwanainchi na mwanainchi ni ommy dimpozy
Kweli kuhusu kesi ya Tundu Lissu naona kuna Divergences nyingi sana kwenye mitandao ,huyo Ommy hiyo G Wagon yake ina zaidi ya miaka miwili anadunda nayo inakuwaje leo ndiyo ionekane ni Fogery ,hakika Spin Dcotors wanatuchezea.Ukiliangalia kwa akili ya utulivu jambo hili, unaweza ukakuta hapo watanzania wanatengenezewa picha lingine.
Yaani huyo Ommy akamatwe na TRA kwa issue anayojua dhahiri kuwa ana mahgumashi nayo eti akimbolie kwenda kushitaki kwa baba levo? Halafu huyo baba levo akijua yeye ni mbunge na ubunge wake nje ya jinbo lake una apply bungeni, lakini hapa anautumia kwenda kum bstruct mfanyakazi wa TRA, wakati akijua hiyo haitakiwi? Kamwe haiingii akilini, hili jambo wametengeneza picha la kui keep busy mitandao.
Hapo ndipo Mtibeli Robert Heriel Mtibeli anapolalamikia Wamatumbi
Afisa yuko very clear, wasiliana na mwenye gari atakueleza shida ni nini.Endeleeni kuishi kwa mazoea
Huko na connection
Ila ukiona TRA walimspot hilo gari washaona kasoro linalo
Na mmiliki ashaambiwa afisa hawezi ku expose hapo hadharani
Ova
Lakini CRDB walitoa taarifa za transactions za Heche.Huyo ofisa yuko sahihi. Hawezi kutoa taarifa za mteja kwa third party. Na kamwambia amuulize Ommy mwenyewe atampa taarifa.
Umekamata gari, LA mwananchi, unashindwa, kujibu shida ni nini mbele ya mwakilishi wa, mwananchi, na mwananchi mwenyewe yupo hapo,!! Mbunge yupo sahihi, hii kenge ya TRA ilibidi ipigwe makofi, kumbukeni wale TRA walikamata gari LA mfanyabiashara wakakaa nalo mpaka JPM, alipoingilia Kati,Huyu Baba Levo anafosi apewe sababu ya kukamatwa gari ya Ommy Dimpoz.
Afisa anamuambia hizo ni taarifa za siri kati ya TRA na mteja ambaye tayari tumeshaongea naye.
Cha ajabu mbunge na akili zake kisoda anaendelea kufosi apewe taarifa za kwa nn gari inakamatwa!
View attachment 3678393
Hahaha hii nchi ina ujinga snaLakini CRDB walitoa taarifa za transactions za Heche.
Hii nchi hii ina mambo
Yes, anachangia kwa kuunga unga maneno ilimradi tujue nae yupo bungeni.Kwahiyo hua anachangia kabisa ?
Ana mihemko yule mtoto wa diamondi
Nampongeza sana mtumishi wa tra kwa kuwa jasiri na mwenye maadili. Haiwezekani mwenye mali mwenyewe hataki sema shida halafu afisa ndiyo atoe taarifa za mwenye mali. Hapo angesema tatizo ilikuwa imekula kwake maana angebadilishiwa kibao kuwa mbona unatoa siri za mlipakodi. Nakumbuka Baba levo aliwai pia washutumu tra kwa kumlipisha kodi uwanja wa ndege baadaye akaposti na kuomba radhi kuwa hakuwa na elimu na kuwa tra wanafanya kazi kwa mujibu wa sheria sasa leo nimeshangaa anamlaumu afisa kodi tena ambaye anamjibu kwa heshima ila yeye anaongea kama kajibiwa vibaya da aiseeHuyu nae alipitishwa na kamati kuu huko CCM kama mgombea 😅😅
Hii kamati tuipe jina gani?
Mwananchi wa baba levo kupitia jimbo gani?Ingawa hatujui kwa unsani Sana wa jambo hili, ni vema watoa huduma au maafisa wanatoa huduma kuwa na utamaduni wa kuwasiliana vizuri.
Kama jambo ni la Siri bado unaweza kumweleza Mteja kwa kiufui Tu bila details.
Ommy Dimpoz ni Mwanannchi wa Baba levo
Mambo hayako hivyo, Baba levo Yuko n Ommy hapo hapo.Huyo ofisa yuko sahihi. Hawezi kutoa taarifa za mteja kwa third party. Na kamwambia amuulize Ommy mwenyewe atampa taarifa.