Associate Professa
JF-Expert Member
- Jan 8, 2026
- 561
- 811
-Show off kwenye mitandao kumbe gari Lina changamoto na tra
Huyu Baba Levo anafosi apewe sababu ya kukamatwa gari ya Ommy Dimpoz.
Afisa anamuambia hizo ni taarifa za siri kati ya TRA na mteja ambaye tayari tumeshaongea naye.
Cha ajabu mbunge na akili zake kisoda anaendelea kufosi apewe taarifa za kwa nn gari inakamatwa!
View attachment 3678393
View attachment 3678648
Bongo watu wanaishi kimazoea sana kiasi kwamba kuna mambo kibao yanaonekana ya kawaida lakini kiuhalisia yanavunja sheria. Siku agency zote zikiamua kutekeleza majukumu yao kwa asilimia 100, kutakuwa na vilio nchi nzima.Wala haihitaji kuwa na degree kujua haya. Nashangaa watu wanaomlaumu huyo ofisa na kumtrtea baba levo.
Lini alikuwa nayo?Babalevo kajishushia heshima.
Ndio umkamate usiku usikuHuyo ofisa yuko sahihi. Hawezi kutoa taarifa za mteja kwa third party. Na kamwambia amuulize Ommy mwenyewe atampa taarifa.
Ofisa wa TRA yupo sahihi mno na ndio miongoni mwa ethics za kazi yake ila baba levo anatumia mihemko kutaka kujua taarifa binafsi za mtu mwingine kwa kisingizio cha ubunge. Baba levo kajidhalilisha sana.Huyo ofisa yuko sahihi. Hawezi kutoa taarifa za mteja kwa third party. Na kamwambia amuulize Ommy mwenyewe atampa taarifa.
Jamaa ni mweupe sana kichwani.Eti niambie nika liongelee bungeni 😆
Mkuu tunafanya kazi na TRA kila siku. Utaratibu wao haupo hivyo nna imani mteja wao ameshapewa sababu.Mambo hayako hivyo, Baba levo Yuko n Ommy hapo hapo.
Kuna tatizo l a communication kwa Watumishi wengi has Sisi waafrika.
Mfano angesema:
Gari hii tunaikamt kwa sababu tuna operesheni maalum ya kukagua magari
Tunaangalia kama imetimiza vigezo vyote vy usajiri na Kodi
Tunaangalia na kuthibitisha usajiri wake kama ulizingatia Sheria
Tunchunguza madeni
Hizi zote ni sababu za kumjibu mtu na akakuelewa na then wewe ofisa unaendelea na mambo yako huku Mhusika ameshatulia na kurelax
Hapa baba levo alikosea. Mtu anekwambia Mimi siruhusiwi kutoa taarifa za mteja. Muulize mteja mwenyewe akwambie then unaendeleaje kumuuliza mtu wakati ameshakueleza namna ya kupata taarifa.Huyu Baba Levo anafosi apewe sababu ya kukamatwa gari ya Ommy Dimpoz.
Afisa anamuambia hizo ni taarifa za siri kati ya TRA na mteja ambaye tayari tumeshaongea naye.
Cha ajabu mbunge na akili zake kisoda anaendelea kufosi apewe taarifa za kwa nn gari inakamatwa!
View attachment 3678393
View attachment 3678648
Kwahio ukivunja sheria huwezi kukamatwa kwasababu ni usiku?Ndio umkamate usiku usiku
Hii ni shida Kwa kweli ingekuwa ni Mimi Sasa hivi tayari nipo kolokoloni huwezi ongea na Mimi kama mtoto wako namna hio Tena huku unanionyeshea na vidole. Shenzi kabisa alafu analalamika kuvunjiwa adabu yeye haoni kama amemvunjua mwenzie adabu pia.Nampongeza sana mtumishi wa tra kwa kuwa jasiri na mwenye maadili. Haiwezekani mwenye mali mwenyewe hataki sema shida halafu afisa ndiyo atoe taarifa za mwenye mali. Hapo angesema tatizo ilikuwa imekula kwake maana angebadilishiwa kibao kuwa mbona unatoa siri za mlipakodi. Nakumbuka Baba levo aliwai pia washutumu tra kwa kumlipisha kodi uwanja wa ndege baadaye akaposti na kuomba radhi kuwa hakuwa na elimu na kuwa tra wanafanya kazi kwa mujibu wa sheria sasa leo nimeshangaa anamlaumu afisa kodi tena ambaye anamjibu kwa heshima ila yeye anaongea kama kajibiwa vibaya da aisee
Wengi wanatumia hisia. Kwasababu wanawachukia TRA basi kila wanachifanya wanalaumu tu.Naona tatizo la watu wengi kutokujua sheria na utendaji kazi. Mbaya zaidi hadi viongozi wamo
Wakiweka chuki pembeni alichokifanya TRA ni sawa. Hii ishu naona inaenda kuitikisa maofisa wa customs.Wengi wanatumia hisia. Kwasababu wanawachukia TRA basi kila wanachifanya wanalaumu tu.
Ofisa wa TRA yupo sawa kabisa. Then yeye ni mbunge akiwa jimboni kwake Au akiwa bungeni. Sasa unanileteaje ubunge wako kwenye kazi yangu Tena sio jimboni kwako.Wakiweka chuki pembeni alichokifanya TRA ni sawa. Hii ishu naona inaenda kuitikisa maofisa wa customs.
Anadhani wadhifa wake unambeba kila mahali afanye kila anachokitaka. Huko TRA kuna hadi wale wazee wa teethOfisa wa TRA yupo sawa kabisa. Then yeye ni mbunge akiwa jimboni kwake Au akiwa bungeni. Sasa unanileteaje ubunge wako kwenye kazi yangu Tena sio jimboni kwako.
Inakera sana.
Muache aendelee atafurahishwa na kuchekeshwaAnadhani wadhifa wake unambeba kila mahali afanye kila anachokitaka. Huko TRA kuna hadi wale wazee wa teeth
Ukiliangalia kwa akili ya utulivu jambo hili, unaweza ukakuta hapo watanzania wanatengenezewa picha lingine.
Yaani huyo Ommy akamatwe na TRA kwa issue anayojua dhahiri kuwa ana mahgumashi nayo eti akimbolie kwenda kushitaki kwa baba levo? Halafu huyo baba levo akijua yeye ni mbunge na ubunge wake nje ya jinbo lake una apply bungeni, lakini hapa anautumia kwenda kum bstruct mfanyakazi wa TRA, wakati akijua hiyo haitakiwi? Kamwe haiingii akilini, hili jambo wametengeneza picha la kui keep busy mitandao.
Hapo ndipo Mtibeli Robert Heriel Mtibeli anapolalamikia Wamatumbi
View: https://youtu.be/gPQMqI_ge2A?si=9eHLwwk4LN_Ow0_e
Jipitishe hapa angalau itakusaidia kuongeza uelewa
Robert Heriel Mtibeli