Msingekimbia tarehe 8 haya yote yasingekuwepo. Mpira una taratibu zake hao simba mwaka 2021 wadai point kwa kanuni ipi? Mlichukulia poa suala la kukimbia mechi leo mangungu anaongea kama mtu aliyekatwa kichwa. Anasema mechi itachezwa sasa hapo wameitwa kufanya nini? Endeleeni kupiga miluzi hadi mtuambie aliyewaambia mkimbie mechi ni naniKuna mechi iliahirishwa na Bodi ya ligi kutoka kuchezwa saa 10 na kuipeleka saa 1 usiku.
Yanga walienda uwanjani saa 10.
Simba wali itii Bodi ya ligi walienda saa 1 jioni.
Muda ambao timu ya Marefa na Makamisaa walikuwepo.
Pamoja na Yanga kuto kuonekana Simba hawakudai point 3.
Waliacha kama ilivyo wala hawakuenda CAS.
Kwa ukweli Yanga wanaringa sana, na wana chuki kubwa kwa Simba kwakuwa wako chini kwa rank za ubora Afrika.
Machi imeahirishwa na Bodi ya Ligi cha Ajabu wanayanga wanaitaja Simba.
Kama Yanga walienda Uwanjani hizo point tatu kwani wasichukue.
Meneja wa Uwanja wa Taifa anakataa kuwafungulia Simba kwa kusema hana faarifa kuwa kesho kuna mechi.
Cha kushangaza kesho yake anawafungulia Yanga waingie uwanjani huku Bodi ya ligi imeahirisha mechi.
Yanga wanadeka sana kwakuwa tu viongozi wengi wa kisiasa ni washabiki wa Yanga.
Nani alikimbia.Msingekimbia tarehe 8 haya yote yasingekuwepo. Mpira una taratibu zake hao simba mwaka 2021 wadai point kwa kanuni ipi? Mlichukulia poa suala la kukimbia mechi leo mangungu anaongea kama mtu aliyekatwa kichwa. Anasema mechi itachezwa sasa hapo wameitwa kufanya nini? Endeleeni kupiga miluzi hadi mtuambie aliyewaambia mkimbie mechi ni nani
Mapovu mengi hoja sifuri....safari hii hili mnalo...Bodi ya ligi iahirishe vipi...nani aliandika Barua ya Kugoma kucheza....halafu mechi imepangwa Saa 10 wewe unaamua iwe Saa 1 Kwa kuiambia timu moja mapema na timu nyingine inashitukizwa tu...Kuna mechi iliahirishwa na Bodi ya ligi kutoka kuchezwa saa 10 na kuipeleka saa 1 usiku.
Yanga walienda uwanjani saa 10.
Simba wali itii Bodi ya ligi walienda saa 1 jioni.
Muda ambao timu ya Marefa na Makamisaa walikuwepo.
Pamoja na Yanga kuto kuonekana Simba hawakudai point 3.
Waliacha kama ilivyo wala hawakuenda CAS.
Kwa ukweli Yanga wanaringa sana, na wana chuki kubwa kwa Simba kwakuwa wako chini kwa rank za ubora Afrika.
Machi imeahirishwa na Bodi ya Ligi cha Ajabu wanayanga wanaitaja Simba.
Kama Yanga walienda Uwanjani hizo point tatu kwani wasichukue.
Meneja wa Uwanja wa Taifa anakataa kuwafungulia Simba kwa kusema hana faarifa kuwa kesho kuna mechi.
Cha kushangaza kesho yake anawafungulia Yanga waingie uwanjani huku Bodi ya ligi imeahirisha mechi.
Yanga wanadeka sana kwakuwa tu viongozi wengi wa kisiasa ni washabiki wa Yanga.
Kwanini watu hamtaki kusema ukweli ?Serikali ina haha kujaribu kuzima mgomo wa Yanga kucheza mechi ya derby iwapo itapangwa tena.
Ukiangalia chanzo ni serikali kujaribu kuisaidia Yanga ishinde ubingwa kirahisi na kwa mbinu nje ya uwanja.
Kitendo cha meneja wa uwanja kugoma kuwafungulia Simba kufanya mazoezi na kusafisha uwanja,akisaidiwa na makomandoo wa yanga,waliolindwa na polisi,ni dhahiri kabisa serikali ilikuwa inajaribu kuisaidia yanga ishinde mechi kirahisi.
Kama vile haitoshi,meneja wa uwanja kwa kuungana na yanga,alipinga maamuzi ya bodi ya ligi ya kuahirisha mechi,akawafungulia mashabiki mageti ya uwanja waingie,kisha akaruhusu timu ya yanga iingie ingawa jana yake alidai hana taarifa kama kuna mechi ya derby( hii ni maajab!)
Serikali hii hii,kule Mwanza,ilituma polisi kuwakamata viongozi wa Simba wakati wakifanya mazoezi kwa sababu za kitoto kabisa.
Yote hii ni kujaribu kuwaharibu kisaikolojia wachezaji wa Simba, ili Simba ipoteze kirahisi Mwanza na yanga waongoze kwa amani.
Timu hii pendwa ya serikali ,ina mashabiki wanaoilaumu Simba kuhusu Fei Toto.
Hata hivyo kwa kuwa hawana akili,wamesahau kuwa mh Rais ndiye aliyewaomba wasishindane na kijana mdogo snayejitafuta bado kwenye soka kama Faisal.Walimsikia mama na wakaruhusu Fei aende Azam.
Leo pamoja na serikali ,TFF na bodi ya ligi kuwabeba hawa jamaa,wamewagomea na wanawatoa kijasho! Na mimi nasema yanga waendelee kukaza hapo hapo
Anayelia kwamba mechi ipangwe mama awe mgeni rasmi ni nan? Sisi tunasema hatuchezi kama ingekuwa rahisi hivyo ingekuwa imeshapangwa ratiba lakini nyie na vibaraka wenu TFF na bodi mnakunya kunya Mavi. Mnajua mna msala ndio maana munaomba usiku kucha Yanga wakubali kuchezaNani alikimbia.
kama tulikimbia chukueni point tatu na muache kulia lia kila kukicha.
Yaani ni kelele kila mahali si mchukue hizo point tatu tupumzike na mikelele yenyu ya kila kikicha.
Ungekua una akili usinge andika huo utumbo! Yanga wana miliki uwanja wa taifa kiasi kwamba wazuie watu wasifanye mazoezi?Uto, hawanaga akili kabisa, kuzuia timu isifanye mazoezi ni kuamini ushirikina, kitu ambacho sikuzote huwa wanalipa faini...
Nyie wenyewe mliandika barua hamchezi mechi sasa hivi mnalazimisha ili iweje?Serikali ina haha kujaribu kuzima mgomo wa Yanga kucheza mechi ya derby iwapo itapangwa tena.
Ukiangalia chanzo ni serikali kujaribu kuisaidia Yanga ishinde ubingwa kirahisi na kwa mbinu nje ya uwanja.
Kitendo cha meneja wa uwanja kugoma kuwafungulia Simba kufanya mazoezi na kusafisha uwanja,akisaidiwa na makomandoo wa yanga,waliolindwa na polisi,ni dhahiri kabisa serikali ilikuwa inajaribu kuisaidia yanga ishinde mechi kirahisi.
Kama vile haitoshi,meneja wa uwanja kwa kuungana na yanga,alipinga maamuzi ya bodi ya ligi ya kuahirisha mechi,akawafungulia mashabiki mageti ya uwanja waingie,kisha akaruhusu timu ya yanga iingie ingawa jana yake alidai hana taarifa kama kuna mechi ya derby( hii ni maajab!)
Serikali hii hii,kule Mwanza,ilituma polisi kuwakamata viongozi wa Simba wakati wakifanya mazoezi kwa sababu za kitoto kabisa.
Yote hii ni kujaribu kuwaharibu kisaikolojia wachezaji wa Simba, ili Simba ipoteze kirahisi Mwanza na yanga waongoze kwa amani.
Timu hii pendwa ya serikali ,ina mashabiki wanaoilaumu Simba kuhusu Fei Toto.
Hata hivyo kwa kuwa hawana akili,wamesahau kuwa mh Rais ndiye aliyewaomba wasishindane na kijana mdogo snayejitafuta bado kwenye soka kama Faisal.Walimsikia mama na wakaruhusu Fei aende Azam.
Leo pamoja na serikali ,TFF na bodi ya ligi kuwabeba hawa jamaa,wamewagomea na wanawatoa kijasho! Na mimi nasema yanga waendelee kukaza hapo hapo
Mmeshapewa point 3 zenu na magoli?Msingekimbia tarehe 8 haya yote yasingekuwepo. Mpira una taratibu zake hao simba mwaka 2021 wadai point kwa kanuni ipi? Mlichukulia poa suala la kukimbia mechi leo mangungu anaongea kama mtu aliyekatwa kichwa. Anasema mechi itachezwa sasa hapo wameitwa kufanya nini? Endeleeni kupiga miluzi hadi mtuambie aliyewaambia mkimbie mechi ni nani
Ukifatilia mlolongo wa hayo matukio, anayedeka ni Simba tena anajifanya ni rafiki wa bodi ya ligi na TFF. Huo mwaka 2021, Yanga waligoma kwa kufata kanuni ya mpira, huwezi kubadilisha muda wa mchezo ghafla tu siku ya mechi bali sheria inasema timu inatakiwa kujulishwa masaa 24 kabla. Hivyo Yanga wao wakaendelea na taratibu zao kama ilivyokuwa awali muda wa mechi ila Simba kwavile wanajipendekeza na kudeka kwa mamlaka, wakaona jambo poa tu walilofanya bodi ya ligi na kuwaunga mkono. Yanga na Simba wangecheza mpira kwenye huo muda mpya ni kwa kutumia busara tu ila kimsingi kanuni ilishavunjwa.Kuna mechi iliahirishwa na Bodi ya ligi kutoka kuchezwa saa 10 na kuipeleka saa 1 usiku.
Yanga walienda uwanjani saa 10.
Simba wali itii Bodi ya ligi walienda saa 1 jioni.
Muda ambao timu ya Marefa na Makamisaa walikuwepo.
Pamoja na Yanga kuto kuonekana Simba hawakudai point 3.
Waliacha kama ilivyo wala hawakuenda CAS.
Kwa ukweli Yanga wanaringa sana, na wana chuki kubwa kwa Simba kwakuwa wako chini kwa rank za ubora Afrika.
Machi imeahirishwa na Bodi ya Ligi cha Ajabu wanayanga wanaitaja Simba.
Kama Yanga walienda Uwanjani hizo point tatu kwani wasichukue.
Meneja wa Uwanja wa Taifa anakataa kuwafungulia Simba kwa kusema hana faarifa kuwa kesho kuna mechi.
Cha kushangaza kesho yake anawafungulia Yanga waingie uwanjani huku Bodi ya ligi imeahirisha mechi.
Yanga wanadeka sana kwakuwa tu viongozi wengi wa kisiasa ni washabiki wa Yanga.
Ila safarihii Yanga itawapalia kooni kumeza wanashindwa kutema hawawezi, kudadadeqSerikali ina haha kujaribu kuzima mgomo wa Yanga kucheza mechi ya derby iwapo itapangwa tena.
Ukiangalia chanzo ni serikali kujaribu kuisaidia Yanga ishinde ubingwa kirahisi na kwa mbinu nje ya uwanja.
Kitendo cha meneja wa uwanja kugoma kuwafungulia Simba kufanya mazoezi na kusafisha uwanja,akisaidiwa na makomandoo wa yanga,waliolindwa na polisi,ni dhahiri kabisa serikali ilikuwa inajaribu kuisaidia yanga ishinde mechi kirahisi.
Kama vile haitoshi,meneja wa uwanja kwa kuungana na yanga,alipinga maamuzi ya bodi ya ligi ya kuahirisha mechi,akawafungulia mashabiki mageti ya uwanja waingie,kisha akaruhusu timu ya yanga iingie ingawa jana yake alidai hana taarifa kama kuna mechi ya derby( hii ni maajab!)
Serikali hii hii,kule Mwanza,ilituma polisi kuwakamata viongozi wa Simba wakati wakifanya mazoezi kwa sababu za kitoto kabisa.
Yote hii ni kujaribu kuwaharibu kisaikolojia wachezaji wa Simba, ili Simba ipoteze kirahisi Mwanza na yanga waongoze kwa amani.
Timu hii pendwa ya serikali ,ina mashabiki wanaoilaumu Simba kuhusu Fei Toto.
Hata hivyo kwa kuwa hawana akili,wamesahau kuwa mh Rais ndiye aliyewaomba wasishindane na kijana mdogo snayejitafuta bado kwenye soka kama Faisal.Walimsikia mama na wakaruhusu Fei aende Azam.
Leo pamoja na serikali ,TFF na bodi ya ligi kuwabeba hawa jamaa,wamewagomea na wanawatoa kijasho! Na mimi nasema yanga waendelee kukaza hapo hapo
Simba na bodi ya ligi wanapanga tu ratiba wanavyotaka wenyewe. Yanga inabaki kwenye Sheria na kanuni. Busara zibaki huko makolo na tiefuefuKuna mechi iliahirishwa na Bodi ya ligi kutoka kuchezwa saa 10 na kuipeleka saa 1 usiku.
Yanga walienda uwanjani saa 10.
Simba wali itii Bodi ya ligi walienda saa 1 jioni.
Muda ambao timu ya Marefa na Makamisaa walikuwepo.
Pamoja na Yanga kuto kuonekana Simba hawakudai point 3.
Waliacha kama ilivyo wala hawakuenda CAS.
Kwa ukweli Yanga wanaringa sana, na wana chuki kubwa kwa Simba kwakuwa wako chini kwa rank za ubora Afrika.
Machi imeahirishwa na Bodi ya Ligi cha Ajabu wanayanga wanaitaja Simba.
Kama Yanga walienda Uwanjani hizo point tatu kwani wasichukue.
Meneja wa Uwanja wa Taifa anakataa kuwafungulia Simba kwa kusema hana faarifa kuwa kesho kuna mechi.
Cha kushangaza kesho yake anawafungulia Yanga waingie uwanjani huku Bodi ya ligi imeahirisha mechi.
Yanga wanadeka sana kwakuwa tu viongozi wengi wa kisiasa ni washabiki wa Yanga.
Makolo na tiefuefu Yao buanaUkifatilia mlolongo wa hayo matukio, anayedeka ni Simba tena anajifanya ni rafiki wa bodi ya ligi na TFF. Huo mwaka 2021, Yanga waligoma kwa kufata kanuni ya mpira, huwezi kubadilisha muda wa mchezo ghafla tu siku ya mechi bali sheria inasema timu inatakiwa kujulishwa masaa 24 kabla. Hivyo Yanga wao wakaendelea na taratibu zao kama ilivyokuwa awali muda wa mechi ila Simba kwavile wanajipendekeza na kudeka kwa mamlaka, wakaona jambo poa tu walilofanya bodi ya ligi na kuwaunga mkono. Yanga na Simba wangecheza mpira kwenye huo muda mpya ni kwa kutumia busara tu ila kimsingi kanuni ilishavunjwa.