Mshenyentaji
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 2,047
- 2,932
AahaaaaaaKwa nini mlikimbia mechi?
AahaaaaaaKwa nini mlikimbia mechi?
mbuzi na vibabu vifupi vyote vya nini kwenye mazoezi?Uto, hawanaga akili kabisa, kuzuia timu isifanye mazoezi ni kuamini ushirikina, kitu ambacho sikuzote huwa wanalipa faini...
Sasa...Simba wangefungua mastaka , hata CAS uone nani angepata point 3,Kuna mechi iliahirishwa na Bodi ya ligi kutoka kuchezwa saa 10 na kuipeleka saa 1 usiku.
Yanga walienda uwanjani saa 10.
Simba wali itii Bodi ya ligi walienda saa 1 jioni.
Muda ambao timu ya Marefa na Makamisaa walikuwepo.
Pamoja na Yanga kuto kuonekana Simba hawakudai point 3.
Waliacha kama ilivyo wala hawakuenda CAS.
Kwa ukweli Yanga wanaringa sana, na wana chuki kubwa kwa Simba kwakuwa wako chini kwa rank za ubora Afrika.
Machi imeahirishwa na Bodi ya Ligi cha Ajabu wanayanga wanaitaja Simba.
Kama Yanga walienda Uwanjani hizo point tatu kwani wasichukue.
Meneja wa Uwanja wa Taifa anakataa kuwafungulia Simba kwa kusema hana faarifa kuwa kesho kuna mechi.
Cha kushangaza kesho yake anawafungulia Yanga waingie uwanjani huku Bodi ya ligi imeahirisha mechi.
Yanga wanadeka sana kwakuwa tu viongozi wengi wa kisiasa ni washabiki wa Yanga.
una taarifa taifa stars juzi hawakufanya mazoezi ya mwisho baada ya kunyimwa uwanja lakini mbona mechi ilichezwa?Serikali ina haha kujaribu kuzima mgomo wa Yanga kucheza mechi ya derby iwapo itapangwa tena.
Ukiangalia chanzo ni serikali kujaribu kuisaidia Yanga ishinde ubingwa kirahisi na kwa mbinu nje ya uwanja.
Kitendo cha meneja wa uwanja kugoma kuwafungulia Simba kufanya mazoezi na kusafisha uwanja,akisaidiwa na makomandoo wa yanga,waliolindwa na polisi,ni dhahiri kabisa serikali ilikuwa inajaribu kuisaidia yanga ishinde mechi kirahisi.
Kama vile haitoshi,meneja wa uwanja kwa kuungana na yanga,alipinga maamuzi ya bodi ya ligi ya kuahirisha mechi,akawafungulia mashabiki mageti ya uwanja waingie,kisha akaruhusu timu ya yanga iingie ingawa jana yake alidai hana taarifa kama kuna mechi ya derby( hii ni maajab!)
Serikali hii hii,kule Mwanza,ilituma polisi kuwakamata viongozi wa Simba wakati wakifanya mazoezi kwa sababu za kitoto kabisa.
Yote hii ni kujaribu kuwaharibu kisaikolojia wachezaji wa Simba, ili Simba ipoteze kirahisi Mwanza na yanga waongoze kwa amani.
Timu hii pendwa ya serikali ,ina mashabiki wanaoilaumu Simba kuhusu Fei Toto.
Hata hivyo kwa kuwa hawana akili,wamesahau kuwa mh Rais ndiye aliyewaomba wasishindane na kijana mdogo snayejitafuta bado kwenye soka kama Faisal.Walimsikia mama na wakaruhusu Fei aende Azam.
Leo pamoja na serikali ,TFF na bodi ya ligi kuwabeba hawa jamaa,wamewagomea na wanawatoa kijasho! Na mimi nasema yanga waendelee kukaza hapo hapo
Mnajitoa ufahamu sio? Bado hamjasema.....Kuna mechi iliahirishwa na Bodi ya ligi kutoka kuchezwa saa 10 na kuipeleka saa 1 usiku.
Yanga walienda uwanjani saa 10.
Simba wali itii Bodi ya ligi walienda saa 1 jioni.
Muda ambao timu ya Marefa na Makamisaa walikuwepo.
Pamoja na Yanga kuto kuonekana Simba hawakudai point 3.
Waliacha kama ilivyo wala hawakuenda CAS.
Kwa ukweli Yanga wanaringa sana, na wana chuki kubwa kwa Simba kwakuwa wako chini kwa rank za ubora Afrika.
Machi imeahirishwa na Bodi ya Ligi cha Ajabu wanayanga wanaitaja Simba.
Kama Yanga walienda Uwanjani hizo point tatu kwani wasichukue.
Meneja wa Uwanja wa Taifa anakataa kuwafungulia Simba kwa kusema hana faarifa kuwa kesho kuna mechi.
Cha kushangaza kesho yake anawafungulia Yanga waingie uwanjani huku Bodi ya ligi imeahirisha mechi.
Yanga wanadeka sana kwakuwa tu viongozi wengi wa kisiasa ni washabiki wa Yanga.
Ungekuwa na akili ungetofautusha kutishia kugoma kucheza na kugoma kucheza.Mapovu mengi hoja sifuri....safari hii hili mnalo...Bodi ya ligi iahirishe vipi...nani aliandika Barua ya Kugoma kucheza....halafu mechi imepangwa Saa 10 wewe unaamua iwe Saa 1 Kwa kuiambia timu moja mapema na timu nyingine inashitukizwa tu...
Nilikuwa najua una akili kumbe linapokuja swala la Simba na Yanga ndipo utapopima uwezo wa mtu kiakili.Mwambieni tena huyo Meneja wa Uwanja awakatalie tena Simba kufanya mazoezi.
Ukweli ni kwamba yanga mlichimbia nyoka ,kenge na uchafu mwingine uwanjani.Kwanini watu hamtaki kusema ukweli ?
once a kolo alwayz kolo tuSerikali ina haha kujaribu kuzima mgomo wa Yanga kucheza mechi ya derby iwapo itapangwa tena.
Ukiangalia chanzo ni serikali kujaribu kuisaidia Yanga ishinde ubingwa kirahisi na kwa mbinu nje ya uwanja.
Kitendo cha meneja wa uwanja kugoma kuwafungulia Simba kufanya mazoezi na kusafisha uwanja,akisaidiwa na makomandoo wa yanga,waliolindwa na polisi,ni dhahiri kabisa serikali ilikuwa inajaribu kuisaidia yanga ishinde mechi kirahisi.
Kama vile haitoshi,meneja wa uwanja kwa kuungana na yanga,alipinga maamuzi ya bodi ya ligi ya kuahirisha mechi,akawafungulia mashabiki mageti ya uwanja waingie,kisha akaruhusu timu ya yanga iingie ingawa jana yake alidai hana taarifa kama kuna mechi ya derby( hii ni maajab!)
Serikali hii hii,kule Mwanza,ilituma polisi kuwakamata viongozi wa Simba wakati wakifanya mazoezi kwa sababu za kitoto kabisa.
Yote hii ni kujaribu kuwaharibu kisaikolojia wachezaji wa Simba, ili Simba ipoteze kirahisi Mwanza na yanga waongoze kwa amani.
Timu hii pendwa ya serikali ,ina mashabiki wanaoilaumu Simba kuhusu Fei Toto.
Hata hivyo kwa kuwa hawana akili,wamesahau kuwa mh Rais ndiye aliyewaomba wasishindane na kijana mdogo snayejitafuta bado kwenye soka kama Faisal.Walimsikia mama na wakaruhusu Fei aende Azam.
Leo pamoja na serikali ,TFF na bodi ya ligi kuwabeba hawa jamaa,wamewagomea na wanawatoa kijasho! Na mimi nasema yanga waendelee kukaza hapo hapo
Yani unatishia kugoma kucheza kwa document kabisa!!!?, Ushaidi tunao haikuwa kutishia hiyo mlidhamilia msitufanye watoto na utetezi wenu usio na mbele wala nyumaUngekuwa na akili ungetofautusha kutishia kugoma kucheza na kugoma kucheza.
Ila kwa kuwa wenye akili ni wawili huwezi kutofautisha kati ya hayo mawili.
Kauli kama hii ya kwako ndiyo inayoonekana kuwa moja ya udhaifu WA Karia ..kwamba wengine ni wajinga, watoto na Hawana akili...kutishia kugoma ndiyo kitu Gani?! Nyie mikia mligoma na wachezaji mkawaruhusu kwenda nyumbani mapema...Bodi ya ligi iliahirisha game kufuatia Barua yenu...Bodi ya ligi Kwa kauli ya Mguto ilihofia kuwa kama isingeahirisha game ingewakata Alama tatu nyingine 15 na pengine kuwashusha daraja...Kwa hiyo ikatumia 'busara' kuahirisha mechi..Ungekuwa na akili ungetofautusha kutishia kugoma kucheza na kugoma kucheza.
Ila kwa kuwa wenye akili ni wawili huwezi kutofautisha kati ya hayo mawili.
Mwanasheria wako anapokea Simu kwa wakati mkuuSerikali ina haha kujaribu kuzima mgomo wa Yanga kucheza mechi ya derby iwapo itapangwa tena.
Ukiangalia chanzo ni serikali kujaribu kuisaidia Yanga ishinde ubingwa kirahisi na kwa mbinu nje ya uwanja.
Kitendo cha meneja wa uwanja kugoma kuwafungulia Simba kufanya mazoezi na kusafisha uwanja,akisaidiwa na makomandoo wa yanga,waliolindwa na polisi,ni dhahiri kabisa serikali ilikuwa inajaribu kuisaidia yanga ishinde mechi kirahisi.
Kama vile haitoshi,meneja wa uwanja kwa kuungana na yanga,alipinga maamuzi ya bodi ya ligi ya kuahirisha mechi,akawafungulia mashabiki mageti ya uwanja waingie,kisha akaruhusu timu ya yanga iingie ingawa jana yake alidai hana taarifa kama kuna mechi ya derby( hii ni maajab!)
Serikali hii hii,kule Mwanza,ilituma polisi kuwakamata viongozi wa Simba wakati wakifanya mazoezi kwa sababu za kitoto kabisa.
Yote hii ni kujaribu kuwaharibu kisaikolojia wachezaji wa Simba, ili Simba ipoteze kirahisi Mwanza na yanga waongoze kwa amani.
Timu hii pendwa ya serikali ,ina mashabiki wanaoilaumu Simba kuhusu Fei Toto.
Hata hivyo kwa kuwa hawana akili,wamesahau kuwa mh Rais ndiye aliyewaomba wasishindane na kijana mdogo snayejitafuta bado kwenye soka kama Faisal.Walimsikia mama na wakaruhusu Fei aende Azam.
Leo pamoja na serikali ,TFF na bodi ya ligi kuwabeba hawa jamaa,wamewagomea na wanawatoa kijasho! Na mimi nasema yanga waendelee kukaza hapo hapo
Timu pekee Afrika mashariki iliyo kimataifa halafu wacheza sinema mnakuja mnataka timu isajili vizuri.Aya yote yanasababishwa na uongozi wa Simba, Wali tahadharishwa wasajili timu imara. Usajili wao mbovu umepelekea uongozi kutoingiza timu kwa kiwewe cha kipigo cha tano mfulululizo.
Usjili mbovu umepelekea viongozi wa Simba kuhangaika na ku honga marefa ili timu ipate matokeo kwa kulazimisha.
Imepelekea timu ya Azam ambayo ilistahili kuwa nafasi ya pili kwasasa kujikuta nafasi ya tatu kutokana na marefa kuipendelea Simba kwa kupata matokeo ambayo hayakustahili katika baadhi ya michezo.
Usajili wa Yanga na uongozi imara hauitaji usaidizi wowote kutwaa mataji.
mkimbie mechi halafu sisi litupsalie kooni,wewe ndio kiazi namba mojaIla safarihii Yanga itawapalia kooni kumeza wanashindwa kutema hawawezi, kudadadeq