Haya ndiyo matokeo ya serikali kujaribu kuisaidia Yanga ishinde kwa mbinu

Kauli kama hii ya kwako ndiyo inayoonekana kuwa moja ya udhaifu WA Karia ..kwamba wengine ni wajinga, watoto na Hawana akili...kutishia kugoma ndiyo kitu Gani?! Nyie mikia mligoma na wachezaji mkawaruhusu kwenda nyumbani mapema...Bodi ya ligi iliahirisha game kufuatia Barua yenu...Bodi ya ligi Kwa kauli ya Mguto ilihofia kuwa kama isingeahirisha game ingewakata Alama tatu nyingine 15 na pengine kuwashusha daraja...Kwa hiyo ikatumia 'busara' kuahirisha mechi..
Sasa nyie mikia Kwa Sasa mna Kazi ya kuitetea Bodi na Karia...Kazi mnayo Kweli Kweli...
Kubishana na watu wenye mtindio wa ubongo unahitaji kuwa na kichaa cha muda
 
Serikali ina haha kujaribu kuzima mgomo wa Yanga kucheza mechi ya derby iwapo itapangwa tena.

Ukiangalia chanzo ni serikali kujaribu kuisaidia Yanga ishinde ubingwa kirahisi na kwa mbinu nje ya uwanja.

Kitendo cha meneja wa uwanja kugoma kuwafungulia Simba kufanya mazoezi na kusafisha uwanja,akisaidiwa na makomandoo wa yanga,waliolindwa na polisi,ni dhahiri kabisa serikali ilikuwa inajaribu kuisaidia yanga ishinde mechi kirahisi.

Kama vile haitoshi,meneja wa uwanja kwa kuungana na yanga,alipinga maamuzi ya bodi ya ligi ya kuahirisha mechi,akawafungulia mashabiki mageti ya uwanja waingie,kisha akaruhusu timu ya yanga iingie ingawa jana yake alidai hana taarifa kama kuna mechi ya derby( hii ni maajab!)

Serikali hii hii,kule Mwanza,ilituma polisi kuwakamata viongozi wa Simba wakati wakifanya mazoezi kwa sababu za kitoto kabisa.

Yote hii ni kujaribu kuwaharibu kisaikolojia wachezaji wa Simba, ili Simba ipoteze kirahisi Mwanza na yanga waongoze kwa amani.

Timu hii pendwa ya serikali ,ina mashabiki wanaoilaumu Simba kuhusu Fei Toto.

Hata hivyo kwa kuwa hawana akili,wamesahau kuwa mh Rais ndiye aliyewaomba wasishindane na kijana mdogo snayejitafuta bado kwenye soka kama Faisal.Walimsikia mama na wakaruhusu Fei aende Azam.

Leo pamoja na serikali ,TFF na bodi ya ligi kuwabeba hawa jamaa,wamewagomea na wanawatoa kijasho! Na mimi nasema yanga waendelee kukaza hapo hapo
Eti kusafisha uwanja! Akumbukwe Rage!!
 
Timu pekee Afrika mashariki iliyo kimataifa halafu wacheza sinema mnakuja mnataka timu isajili vizuri.
Ni mwendawazimu pekee anahitaji kuambiwa Simba ni timu bora Afrika mashariki na kati kwa sasa
timu bora kombe la wamama,,,ingia fainali kombe la wamama upate ujasiri wa kuandika upuuzi wako
 
mkimbie mechi halafu sisi litupsalie kooni,wewe ndio kiazi namba moja
Wewe ndiye kilaza hata huelewi nimeandika nini unakurupuka tu, mada ilikuwa ni serikali kulichukua sakata hili ndiyo nikajibu kuwa Serikali ndiyo itapaliwa na suala la Yanga, jifunze kusoma na kuelewa dogo.
 
Serikali ina haha kujaribu kuzima mgomo wa Yanga kucheza mechi ya derby iwapo itapangwa tena.

Ukiangalia chanzo ni serikali kujaribu kuisaidia Yanga ishinde ubingwa kirahisi na kwa mbinu nje ya uwanja.

Kitendo cha meneja wa uwanja kugoma kuwafungulia Simba kufanya mazoezi na kusafisha uwanja,akisaidiwa na makomandoo wa yanga,waliolindwa na polisi,ni dhahiri kabisa serikali ilikuwa inajaribu kuisaidia yanga ishinde mechi kirahisi.

Kama vile haitoshi,meneja wa uwanja kwa kuungana na yanga,alipinga maamuzi ya bodi ya ligi ya kuahirisha mechi,akawafungulia mashabiki mageti ya uwanja waingie,kisha akaruhusu timu ya yanga iingie ingawa jana yake alidai hana taarifa kama kuna mechi ya derby( hii ni maajab!)

Serikali hii hii,kule Mwanza,ilituma polisi kuwakamata viongozi wa Simba wakati wakifanya mazoezi kwa sababu za kitoto kabisa.

Yote hii ni kujaribu kuwaharibu kisaikolojia wachezaji wa Simba, ili Simba ipoteze kirahisi Mwanza na yanga waongoze kwa amani.

Timu hii pendwa ya serikali ,ina mashabiki wanaoilaumu Simba kuhusu Fei Toto.

Hata hivyo kwa kuwa hawana akili,wamesahau kuwa mh Rais ndiye aliyewaomba wasishindane na kijana mdogo snayejitafuta bado kwenye soka kama Faisal.Walimsikia mama na wakaruhusu Fei aende Azam.

Leo pamoja na serikali ,TFF na bodi ya ligi kuwabeba hawa jamaa,wamewagomea na wanawatoa kijasho! Na mimi nasema yanga waendelee kukaza hapo hapo
Uwanja siyo mali ya Simba wala TFF, ile ni mali ya serikali lazima utoe taarifa kwa meneja wa uwanja akupe muongozo
 
Wewe ndiye kilaza hata huelewi nimeandika nini unakurupuka tu, mada ilikuwa ni serikali kulichukua sakata hili ndiyo nikajibu kuwa Serikali ndiyo itapaliwa na suala la Yanga, jifunze kusoma na kuelewa dogo.
hauna akili na hauwezi kuwa na akili hata siku moja
 
Anayelia kwamba mechi ipangwe mama awe mgeni rasmi ni nan? Sisi tunasema hatuchezi kama ingekuwa rahisi hivyo ingekuwa imeshapangwa ratiba lakini nyie na vibaraka wenu TFF na bodi mnakunya kunya Mavi. Mnajua mna msala ndio maana munaomba usiku kucha Yanga wakubali kucheza
Wewe ni mla mihogo Tu hersi akikubali derby ichezwe wewe unalakupinga? Kiufupi tarehe ishapangwa SASA ni viongozi wenu wapumbavu wanawaza namna ya kuwaingia nyie wala mihogo maana wameshawajaza sumu.
 
Serikali ina haha kujaribu kuzima mgomo wa Yanga kucheza mechi ya derby iwapo itapangwa tena.

Ukiangalia chanzo ni serikali kujaribu kuisaidia Yanga ishinde ubingwa kirahisi na kwa mbinu nje ya uwanja.

Kitendo cha meneja wa uwanja kugoma kuwafungulia Simba kufanya mazoezi na kusafisha uwanja,akisaidiwa na makomandoo wa yanga,waliolindwa na polisi,ni dhahiri kabisa serikali ilikuwa inajaribu kuisaidia yanga ishinde mechi kirahisi.

Kama vile haitoshi,meneja wa uwanja kwa kuungana na yanga,alipinga maamuzi ya bodi ya ligi ya kuahirisha mechi,akawafungulia mashabiki mageti ya uwanja waingie,kisha akaruhusu timu ya yanga iingie ingawa jana yake alidai hana taarifa kama kuna mechi ya derby( hii ni maajab!)

Serikali hii hii,kule Mwanza,ilituma polisi kuwakamata viongozi wa Simba wakati wakifanya mazoezi kwa sababu za kitoto kabisa.

Yote hii ni kujaribu kuwaharibu kisaikolojia wachezaji wa Simba, ili Simba ipoteze kirahisi Mwanza na yanga waongoze kwa amani.

Timu hii pendwa ya serikali ,ina mashabiki wanaoilaumu Simba kuhusu Fei Toto.

Hata hivyo kwa kuwa hawana akili,wamesahau kuwa mh Rais ndiye aliyewaomba wasishindane na kijana mdogo snayejitafuta bado kwenye soka kama Faisal.Walimsikia mama na wakaruhusu Fei aende Azam.

Leo pamoja na serikali ,TFF na bodi ya ligi kuwabeba hawa jamaa,wamewagomea na wanawatoa kijasho! Na mimi nasema yanga waendelee kukaza hapo hapo
Timeshachoshwa na upumbavu wenu
 
Wewe ni mla mihogo Tu hersi akikubali derby ichezwe wewe unalakupinga? Kiufupi tarehe ishapangwa SASA ni viongozi wenu wapumbavu wanawaza namna ya kuwaingia nyie wala mihogo maana wameshawajaza sumu.
Si ipangwe mnasubiri nini sasa?
 
HATUCHEZI.
Bodi ya Ligiwamegeuka watetezi wa Simba badala ya kusimamia sheria na kanuni wanaleta siasa HATUCHEZI TENA HATUCHEZI
 
Msingekimbia tarehe 8 haya yote yasingekuwepo. Mpira una taratibu zake hao simba mwaka 2021 wadai point kwa kanuni ipi? Mlichukulia poa suala la kukimbia mechi leo mangungu anaongea kama mtu aliyekatwa kichwa. Anasema mechi itachezwa sasa hapo wameitwa kufanya nini? Endeleeni kupiga miluzi hadi mtuambie aliyewaambia mkimbie mechi ni nani
Kwanini watu wapumbavu awaoni Simba kuzuiliwa kufanya mazoezi ndiyo chanzo Cha maneno yote ya kike kike yanayoendelea. Swali jepesi Simba isingezuiliwa kufanya mazoezi je mechi si ingechezwa tarehe 8. Na Simba wangekubali kucheza ndiyo ingekuwa ni tabia kila wakitaka kufanya mazoezi wangezuiliwa wamekataa mazoea ya kike kike.
 
Team ina miaka mitano haipiti geti kuu kwenye mechi ya derby hata hyo siku ambayo TFF ilikhairisha mechi waliruka ukuta na ilikuwa wanajua simba haiji uwanjani.
 
Kuna mechi iliahirishwa na Bodi ya ligi kutoka kuchezwa saa 10 na kuipeleka saa 1 usiku.
Yanga walienda uwanjani saa 10.
Simba wali itii Bodi ya ligi walienda saa 1 jioni.
Muda ambao timu ya Marefa na Makamisaa walikuwepo.
Pamoja na Yanga kuto kuonekana Simba hawakudai point 3.
Waliacha kama ilivyo wala hawakuenda CAS.

Kwa ukweli Yanga wanaringa sana, na wana chuki kubwa kwa Simba kwakuwa wako chini kwa rank za ubora Afrika.

Machi imeahirishwa na Bodi ya Ligi cha Ajabu wanayanga wanaitaja Simba.
Kama Yanga walienda Uwanjani hizo point tatu kwani wasichukue.

Meneja wa Uwanja wa Taifa anakataa kuwafungulia Simba kwa kusema hana faarifa kuwa kesho kuna mechi.
Cha kushangaza kesho yake anawafungulia Yanga waingie uwanjani huku Bodi ya ligi imeahirisha mechi.

Yanga wanadeka sana kwakuwa tu viongozi wengi wa kisiasa ni washabiki wa Yanga.
Yanga ni Fisiemu ni dugu moja
 
Kubishana na miwatu ya utopolo ni kupoteza muda hata mwenye akili nae anageuka juha...
Hasa yanayosema Simba ilikimbia mechi ukiwauliza how hayana majibu ya kueleweka...
Simba barua yake ilitaka wale mabaunsa matahira wajue yametumwa na nani na kwanini wawazuie kufanya mazoezi...then wangepata majibu hiyo mechi ingechezwa tuu muda ulikuwa bado unaruhusu....
Baada ya barua bodi ikahairisha mchezo bila kusema yale majitu yalitumwa na nani...
Cha kushangaza mi utopolo haieleweki inahasira na Simba au na bodi...maana Simba hakuna sehemu ilisema haitacheza imesema itacheza wakishajua wale watu walitumwa na nani...
Kwa sbb bodi inawalea lea hao utopolo ndo maana hawakujibu wakahairisha mechi ghafla...
Ni taahira atakaedhani atapata point 3 kwa mechi iliyokwisha kusitishwa...narudia tena ni taahira atakaedhani atapata point 3...
Sasa kama mnataka point 3 kazichukueni kwa yule mwenyekiti wa bodi...
 
Ukifatilia mlolongo wa hayo matukio, anayedeka ni Simba tena anajifanya ni rafiki wa bodi ya ligi na TFF. Huo mwaka 2021, Yanga waligoma kwa kufata kanuni ya mpira, huwezi kubadilisha muda wa mchezo ghafla tu siku ya mechi bali sheria inasema timu inatakiwa kujulishwa masaa 24 kabla. Hivyo Yanga wao wakaendelea na taratibu zao kama ilivyokuwa awali muda wa mechi ila Simba kwavile wanajipendekeza na kudeka kwa mamlaka, wakaona jambo poa tu walilofanya bodi ya ligi na kuwaunga mkono. Yanga na Simba wangecheza mpira kwenye huo muda mpya ni kwa kutumia busara tu ila kimsingi kanuni ilishavunjwa.

Ni kweli kanuni inasema hivyo,
je? ni kanuni gani inayosema ukibadilishiwa muda wa mchezo unahaki ya kugomea mchezo?

Simba alichofanya ni retariation ya uhuni mwingi ambao Yanga amekuwa akiufanya!
 
Yanga hawakugomea kucheza, walienda uwanjani kwa muda uliopangwa awali. Kwasababu muda mpya uliopangwa haukuzingatia kanuni inavyoelekeza. Uliza swali lingine
 
Back
Top Bottom