Haya ndiyo matokeo ya serikali kujaribu kuisaidia Yanga ishinde kwa mbinu

Wengine wanapenda sana kutetea upumbavu wa bodi ya Ligi. Kama kuna timu ilifanya makosa kwa kuvunja Sheria walistahili adhabu kulingana na kosa walilotenda na mechi ingeendelea kama ilivyopangwa.
Sasa kuhairisha mechi ni kutoa adhabu kwa mashabiki na wapenzi wa mpira kitu ambacho siyo sahihi.

Hadi leo hii bodi ya Ligi wanajikanyaga tu namna ya kupanga tarehe mechi husika, swali ni kuwa hawajamtambua mwenye makosa aliyesababisha mechi kuhairishwa? Ili apewe adhabu.

Bodi ya Ligi ni hopeless kabisa, hawaumizwi na hasara waliowasababishia wapenzi wa mpira.
 
Sasa...Simba wangefungua mastaka , hata CAS uone nani angepata point 3,
Si refa walikuwepo uwanjani ?
Hivi unajua kanuni za kuendesha Ligi ?

Kwa kukusaidia huwezi kubadili ratiba ya mchezo chini ya saa 24... Sasa Bodi ya Ligi inabadili muda saa 6 mchana, yamebaki saa 4 kufikia mchezo , unafikiri nani angefaidika na alama ?
 
una taarifa taifa stars juzi hawakufanya mazoezi ya mwisho baada ya kunyimwa uwanja lakini mbona mechi ilichezwa?
 
Naona sasa upepo wa kusi umegeuka,zamu yenu Makolo sasa kuanzisha Uzi kila dakika.
 
Mnajitoa ufahamu sio? Bado hamjasema.....
 
Mapovu mengi hoja sifuri....safari hii hili mnalo...Bodi ya ligi iahirishe vipi...nani aliandika Barua ya Kugoma kucheza....halafu mechi imepangwa Saa 10 wewe unaamua iwe Saa 1 Kwa kuiambia timu moja mapema na timu nyingine inashitukizwa tu...
Ungekuwa na akili ungetofautusha kutishia kugoma kucheza na kugoma kucheza.
Ila kwa kuwa wenye akili ni wawili huwezi kutofautisha kati ya hayo mawili.
 
Mwambieni tena huyo Meneja wa Uwanja awakatalie tena Simba kufanya mazoezi.
 
Kwanini watu hamtaki kusema ukweli ?
Ukweli ni kwamba yanga mlichimbia nyoka ,kenge na uchafu mwingine uwanjani.
Simba alitaka kwenda kusafisha uwanja ili Mpanzu afanye mazoezi ya mwisho uwanja huo.

Kwa vile ninyi yanga na meneja wa uwanja lenu moja,mkawazuia Simba kutumia haki yao kufanya mazoezi ya mwisho.Tena polisi wakiwasaidia pia.

Simba hatutaki maskhara kama haya,tukabadili mbinu ili kuwatoa mchezoni,tukatishia kutopeleka timu uwanjani iwapo hatua hazikuchukukiwa dhidi ya wale wahuni.

Bodi ya ligi ikaahirisha mechi kwa ujinga wao ( maana kuishusha Simba daraja haikuwa hoja kwani hata mashabiki tulikuwa tayari kama ingebidi)

Wajinga wakaenda uwanjani na meneja fisadi akawafugulia ili wapate pointi 3.

Wajinga sasa wanahaha wapewe pointi bila kucheza mechi.
Bodi ya ligi na TFF acheni kupendelea timu kwa sababu mmepewa kitu kidogo.
 
Aya yote yanasababishwa na uongozi wa Simba, Wali tahadharishwa wasajili timu imara. Usajili wao mbovu umepelekea uongozi kutoingiza timu kwa kiwewe cha kipigo cha tano mfulululizo.
Usjili mbovu umepelekea viongozi wa Simba kuhangaika na ku honga marefa ili timu ipate matokeo kwa kulazimisha.
Imepelekea timu ya Azam ambayo ilistahili kuwa nafasi ya pili kwasasa kujikuta nafasi ya tatu kutokana na marefa kuipendelea Simba kwa kupata matokeo ambayo hayakustahili katika baadhi ya michezo.
Usajili wa Yanga na uongozi imara hauitaji usaidizi wowote kutwaa mataji.
 
once a kolo alwayz kolo tu
 
Ungekuwa na akili ungetofautusha kutishia kugoma kucheza na kugoma kucheza.
Ila kwa kuwa wenye akili ni wawili huwezi kutofautisha kati ya hayo mawili.
Yani unatishia kugoma kucheza kwa document kabisa!!!?, Ushaidi tunao haikuwa kutishia hiyo mlidhamilia msitufanye watoto na utetezi wenu usio na mbele wala nyuma
 
Ungekuwa na akili ungetofautusha kutishia kugoma kucheza na kugoma kucheza.
Ila kwa kuwa wenye akili ni wawili huwezi kutofautisha kati ya hayo mawili.
Kauli kama hii ya kwako ndiyo inayoonekana kuwa moja ya udhaifu WA Karia ..kwamba wengine ni wajinga, watoto na Hawana akili...kutishia kugoma ndiyo kitu Gani?! Nyie mikia mligoma na wachezaji mkawaruhusu kwenda nyumbani mapema...Bodi ya ligi iliahirisha game kufuatia Barua yenu...Bodi ya ligi Kwa kauli ya Mguto ilihofia kuwa kama isingeahirisha game ingewakata Alama tatu nyingine 15 na pengine kuwashusha daraja...Kwa hiyo ikatumia 'busara' kuahirisha mechi..
Sasa nyie mikia Kwa Sasa mna Kazi ya kuitetea Bodi na Karia...Kazi mnayo Kweli Kweli...
 
Mwanasheria wako anapokea Simu kwa wakati mkuu
 
Timu pekee Afrika mashariki iliyo kimataifa halafu wacheza sinema mnakuja mnataka timu isajili vizuri.
Ni mwendawazimu pekee anahitaji kuambiwa Simba ni timu bora Afrika mashariki na kati kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…