Vicky Cruz97
Member
- Oct 21, 2019
- 65
- 101
Anaimba ndyo kama kazi ya ziada kukiongeza kipato ndugu sio kama mondi....halaf kiba sio mtu wa kuanika mambo mtandaoni kama huyo mwakitombileKwaiyo unataka kusema kiba anaimba basi tu? Mafii wee
Ndo nakulaUmekula?
Sasa si aliulizwa na mwandishi hao wengine hakuulizwaHayo ya kuroga au kuibiana nyota umesema wewe, kwa nini Kiba huwa hana muda wa kumzungumzia Mondi lakini mondi anapenda kumzungumzia kiaba? Kama alitoa mkono ukakataliwa why asiendelee na namaisha yake? Kwa nini Kiba na sio Barnaba, Ben pol, kina Timbulo Ommya dimpoz, why anataka kufanya tamasha na Kiba? Sasa Kiba kasema amkome, na amkome kweli kama ana nyota na a shine kivyake amuache Kiba kasema KOMA.
We ndo hujui kabisaa hahahahaha alokwambia tv radio ni zake nan pole mkuu kumbe hata hujui nini kinaendelea pole sana hahaha angalia hata hisa anazomiliki pale ni kiduchu yy sio radio yake wala tv yake ila brand yake ndo umetumika ila yy sio owner umeelewa usirudie tena kusema hivo utachekwa sana...halaf kiba nilicho gundua sio mtu wa kuanika mambo mtandaoni kama huyo mondi...na nilisema hategemei mziki namaanisha ndomana anakaa hata mwaka hatoi ngoma kwasab anajua aaah ntakula tu pesa ipoHivi unaposema kiba hategemei mziki na diamond anategemea mziki maana yake nini. Diamond ana biashara kama radio, tv na matangazo kibao. Niamboe kiba anategemea nini
Ss mtu hatoi mziki hata mwaka mzima unasema anategemea mziki huyo Kula??Hategemei muziki!? Sasa anategemea nini? Kulelewa!?
umeuliza kwanini WCB wasitumie njia wanazotumia kuwapata wasanii wengine sio kwenda kwa media kuongelea hilo.Umeelewa swali?
Alikiba amezungukwa na washauri wabovu. In fact Ali Kiba wa sasa hawezi kumfikia hata Harmonize kwa uwezo wa ku handle pressure mbalimbali.Hapa Kiba Kafel, Asingemjibu Mond, Make Mond Alikuwa Anatengeneza Attention, Sasa Kiba Kampa Point Mond Kizembe.
Lile ni tamasha watu wanataka ku-make money, wasanii wote uliowalist hakuna wa kumfikia Kiba kwa Fan-base, Ndio maana mond katoa mfano wa Davido na Wizkid, hata km kuna bifu likija suala la mkwanja lazima washikamane ili wasonge.Kiba analeta ego za kisengerema.[emoji3][emoji3][emoji3]Unajua kwanini kakataa? Unajua kinachoendelea katkati yao? Kwanini kiba tu kwani wasanii wengine hakuna? Kwanini sio ommy dimpoz? Barnanba? Maua sama? Kwanini kiba?
Wanashindwa kukuelewa maana tangu mwanzo hujawaeleza kwamba wewe ndiye Tanasha Donna mwenyewe. Na huyo Diamond wewe unamuelewa kinaga ubagaSs mtu hatoi mziki hata mwaka mzima unasema anategemea mziki huyo Kula??
Ally kazi kulalamika kurogwa tu na mond, mziki wenyewe kwa mwaka single moja, wakati mwenzie mond analala studio.Alikiba amezungukwa na washauri wabovu. In fact Ali Kiba wa sasa hawezi kumfikia hata Harmonize kwa uwezo wa ku handle pressure mbalimbali.
πππππππππππππNarudia tena UNIKOME. Na hiyo michezo yako ya darasa la pili usinileteee[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kama anafanyiwa ubaya aseme na tuujue tofaut na hapo anaendaga kupiga tunguli, ndio maana hasemi kwakua maneno ya mganga hayana ushahidi.Kumgeuzia mkono alikuwa na hili ambalo kasema akisema itakuwa taabu sio kwamba aliogopa nyota kuibiwa, aliona ni unafiki kumpa mkono mbele za watu wakati nyuma ya pazia kuna bifu.
Utabaki na hizo imanai zako, why Mondi anahangaika na Kiba? Si wapo kina Jux jamani?! khaaa! Mondi anajua kabisa alicho fanya na huenda alifanya kwa bahati mbaya au alishauriwa vibaya sasa anataka lipite, aombe radhi tu yaishe, kujizungusha zungusha hakuta maliza hili.Kama anafanyiwa ubaya aseme na tuujue tofaut na hapo anaendaga kupiga tunguli, ndio maana hasemi kwakua maneno ya mganga hayana ushahidi.
Huna lolote...wewe na wenzako hamna hoja ya maana hapo zaidi ya kuwaza ushirikina!!! Na kama sio imani za kipumbavu, mbona hasemi basi hicho alichofanywa?!Hayo ya kuroga au kuibiana nyota umesema wewe, kwa nini Kiba huwa hana muda wa kumzungumzia Mondi lakini mondi anapenda kumzungumzia kiaba? Kama alitoa mkono ukakataliwa why asiendelee na namaisha yake? Kwa nini Kiba na sio Barnaba, Ben pol, kina Timbulo Ommya dimpoz, why anataka kufanya tamasha na Kiba? Sasa Kiba kasema amkome, na amkome kweli kama ana nyota na a shine kivyake amuache Kiba kasema KOMA.
Pole naona povu limekutoka,haya safisha kinywa kwa povu lako, ila ndio hivyo kiba kashasema, kama hutaki na unamuona ni ndala ndefu poa, wewe ndala fupi mbaona hushiriki hilo tamamasha?!Huna lolote...wewe na wenzako hamna hoja ya maana hapo zaidi ya kuwaza ushirikina!!!
Ulitaka awazungumzie akina Ben Pol wakati Mwandishi alimuuliza kuhusu Ali Kiba na Harmonize?!
Halafu bila aibu, eti Kiba kasema "amkome"! Si kauli za kike hizo, tena za wale akina Mwajuma Ndala Ndefu!! Hivi mwanaume mzima unaweza kusema "anikome!"
Kauli zile zile za akina Mwajuma Ndala Ndefu... eti safisha kinywa!!Pole naona povu limekutoka,haya safisha kinywa kwa povu lako, ila ndio hivyo kiba kashasema, kama hutaki na unamuona ni ndala ndefu poa, wewe ndala fupi mbaona hushiriki hilo tamamasha?!