Haya ndo majibu ya Alikiba na Harmonize kwa Diamond Platinumz baada ya kupata mwaliko wake...

Hakuna lolote, wewe kama mlokole basi hao wasanii wanapiga tunguri balaa, usipende kusemea watu wewe baki na imani yako. kama anaonewa na ushahid anao alete kwa umma, sisi siyo wapumbavu tumuhukumu mtu bila ushahid eti tumuone mbaya kisa kiba kasema.
 
Kauli zile zile za akina Mwajuma Ndala Ndefu... eti safisha kinywa!!

Kwamba eti ndo hivyo Kiba kasema, kwahiyo ndo inakuwa nini?! Hivi unaamini kabisa kwamba Diamond anamuhitaji sana Kiba?!
Sasa Kiba ndio kasema jamani KOMA, nimemalizana na wee huyo mwajuma ndala ndefu aweza kuwa hata dada ako kwani wewe umetoka wapi kama si uswahilini? Acha kujifanya wa juu kuleta dharau wewe , uswahilini ndio alikotoka hata huyu Diamond na yeye anawaheshimu haswa kina ndala ndefu ndio walio mfikisha hapo. Byebye wa ushuani...haaahaaahaaaa1
 
Achana na lugha za akina Mwajuma Ndala Ndefu!!!
 
Kama anafanyiwa ubaya aseme na tuujue tofaut na hapo anaendaga kupiga tunguli, ndio maana hasemi kwakua maneno ya mganga hayana ushahidi.
Yeyote atakayekueleza kwa niaba ya Kiba, naomba uni-tag!!! Yaani leo ndo nimeamini kwamba kweli inawezekana Familia ya Kiba ilienda kufukisha matunguri na huko wakaambiwa mke wa Kiba anamroga mtoto wa Kiba aliyezaa na mama mwingine!!

A loser will always be a loser! No wonder aliposaini Sony tuliambiwa ndani ya mwaka mmoja Kiba angetoa Album, lakini miaka 5 inakaribia kwisha lakini hata EP hana... sa sijui ndo karogwa asitoe album! Very stupid.
 
Naaam hii ni akili kubwa sana.
Umeongea point Sana hasa sababu za mziki kuchuja mapema.
 
Unamaanisha kamati ya akina Sallam ambae Kiba huyo huyo aliwahi kumtuhumu kwamba eti alimchomolea waya kwenye show Mombasa ili asisikike, au?!
 
Diamond usipomtaja Ali Kiba unapungukiwa na nini?
Ali kiba hakuwezi na hatokuja kukuweza.
Unahangaika nae WA nini?
Diomaond aliulizwa na mwandishi kuhusu Kiba na Harmonize , mwana akafunguka , upande wa pili ukarudisha mipasho, naheshimu jitihada za Mond na namuombea mafanikio zaidi lakn nadharau uzembe wa Kiba , kuhusu ushirikina wote ni washirikina
 
Mimi bado sijaamini kama Ali amejibu hivyo.
Naimani kuwa wamehack na sio yeye alieandika.
Namuheshimu sana Kiba na kama ikiwa ni yeye kweli, nitaanza kumdharau
Umdharau kwani umeshafaham anayofanyiwa na Mondi? Kiba ni mkimya sana lakini mpaka unaona amaongea ivo ujue kuna mambo Mondi anawafanyia wenzake sio. Huku nje anajifanya mwema kumbe ndani kwa ndani anayoyafanya sio.
 
Tv na radio sio za naseeb yeye kuna share tuu anayopata ila sio biashara yaake inamaana mwenye hio biashara akiaamua Leo hio kumuondoa anamtoa so usisifie vitu usivyovijua

Kwenda zako ww ndoulie waandikisha iyo mikataba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…