Haya ndo majibu ya Alikiba na Harmonize kwa Diamond Platinumz baada ya kupata mwaliko wake...

Diamond huwa anajifanya innocent sana mbele ya media ila nyuma yake ni mtu hatari kwa wenzie
 
Kwa hiyo mtu akiimba 'muziki wake kwa jinsi yake' hapotei milele? Unamfaham Z Anto? Kwani yeye alikua anaimba mziki wake kwa jinsi ya nani?
 
Ebu tupe ushahidi basi Mzee ayo Matusi
 
Yes hata mimi nimeona hilo
Tatizo mond ni kati ya wale watu wanaona ugumu kuomba samahani
Anataka yaishe juu kwa juu
 
Ebu tupe ushahidi basi Mzee ayo Matusi
1. Remix ya all the way up
2. Mwishoni mwa wimbo wa kokoro
3. Zile freestyle alizotengeneza ambapo moja alikuwa anazungumzia vipensi, iliyopelekea ali kumuita malkia wa nguvu
4. Interview ya mond clouds ambapo alisema kama mziki ni sauti basi wema sepetu angekuwa msanii bora.
5. Fresh remix na fid q
N.k
 
Mimi bado sijaamini kama Ali amejibu hivyo.
Naimani kuwa wamehack na sio yeye alieandika.
Namuheshimu sana Kiba na kama ikiwa ni yeye kweli, nitaanza kumdharau
Ali Kiba siyo mropokaji kabisa. Ukimdharau na usipomdharau atabaki kuwa hivyo.
Nilivyoelewa mimi ni kwamba Ali amemjibu Diamond kwa kutumia fumbo [ wenye misamiati mizuri ya lugha hupenda kufunika mambo kwa kutoa fumbo na anayeliewa ni Diamond pekee kwa hiyo sisi wengine tusijiingize kwenye ligi ambayo hatuielewi.
 
Bahati nzuri muziki was bongofleva naufuatilia vizuri sana katika interviews zote ambazo Ali kiba amewahi kufanyiwa hajawahi kumtaja mond bila kuulizwa hajawahi narudia tena hajawahi hajawahi km IPO iweke hapa pili mind kamtaja Ali kiba Mara nyingi zaidi kuliko kiba alivyomtaja mond
 
Kwani ni uongo kiba ajafeli kimziki?
Kafeli kivipi? Kafeli wapi? Kiba ndio msanii anaeongoza kwa kuingiza mkwanja mrefu kuliko msaniiyoyote nyuma ya diamond alishawahi kupost mkataba wake wa malipo ukionyesha alilipwa million 60 kwa show 4, Ali kiba ndio msanii anayeongoza kwa fanbase ukimtoa daimond, Ali kiba ndio msanii anayefuatia kwa kuandikwa na kuzungumzwa sana na media na magazeti nyuma ya mond, km zipo post hata mbili zinazomzungumzia barnaba zilete pamoja na hayo anatoa nyimbo moja kwa mwaka wakati wenzake wanatoa nyimbo kila wiki na bado hawazUngumziwi? Pili kwanini mond kamtaja kiba na sio barnaba,aslay,Maua sama?
 
Kamdanganye mwenzako asiyeifuatilia bongo fleva,Kiba kuna nyingine makala alikuwa ana Mtaja Diamond bila kuulizwa.

Hivi nikuulize swali kabla jamaa kurudi kwenye game kwa mara ya pili,ushawahi kusikia kuna beef la Kiba na Mondi? au ushawahi kumsikia Mondi akimponda Kiba?

Why baada ya yy kurudi ndio ikawa mada kwake ktk kila interview yake? na media nazo zikashikilia hapo hapo ili wapate wasikilizaji.

Mondi baada ya kuona kila intvw jamaa ana muongelea yy ,yy alianza kumuongelea Kiba kwenye intvw ya Sporah show kwa mara ya kwanza na akatoa sababu (ambayo sababu yenyewe ya kipuuzi)

Najua utakataa ila huyu jamaa kama asingetumia strategy ya kumwongelea Mondi na kumponda angepotea tu.

Na kama yaliyo mkuta Mondi yange mkuta Kiba nina uhakika mziki angeacha.Yy ndiye source ya beef kipindi cha Nyuma Mondi alikuwa anapayuka sana akiulizwa maswali ya siku hizi naye ameamua kuwa mnafiki kama mwenzke Kiba akiulizwa swali anajibu kama hamna kitu.

Press conference zote anazofanya Diamond lazima watamuulizwa maswala ya Kiba vice versa kwa Kiba,sababu watu wa online wanaamini hapo ndipo pa kufanya biashara,exclude intvw anazofanya na Clouds na EA.
 
Hiyo zamani soma huu utafiti uliyofanya na kampuni ya Kenya,8020 utapata picha halisi,wendelea na hisia huo utafiti wa Kisayansi na mwaka jana Mondi hakutoa nyimbo.
Alafu dunia ya sasa hivi msanii anapimwa kwa idadi ya show,idadi deal anazozipata kutoka kwenye kampuni,idadi za mauzo ya kazi online na kwenye mitandao ya simu.Eti kuandikwa,kuandikwa hata Amber Rutty anaandikwa.
 
Kwa hiyo mtu akiimba 'muziki wake kwa jinsi yake' hapotei milele? Unamfaham Z Anto? Kwani yeye alikua anaimba mziki wake kwa jinsi ya nani?
Unajua maana ya kupotea? Mara ya mwisho Z Anto kutoa nyimbo ni lini na Kiba mara ya mwisho ni lini? Tafuta maana ya kupotea kwanza.
 
Kiba hajafeli mziki sema kiba hategemei mziki mondi anategemea mziki n.a. anapenda sifa mond ni mnafiki kweny media anajidai kondoo kumbe mbwa mwitu
Jamani tusidanganyane. Kiba ana Nini? Zaidi mziki. Kinywaji chake kimekataliwa (fire). Kipi kisichoweza kujificha bongo? Mwenzake huyoo na Radio. TV.. Karanga. Ubalozi kibao. Ali Kiba zaidi kumtegemea mhuza unga wa mombasa (JOHO) BASHA LA MOMBASA. zaidi ya hapo NI Nini....
 
Mondi amekomaa kiakili na busara kwake zinazidi kuongezeka.
Jana amejibu vizuri hiyo post ya ali
 
Narudia tena after daimond kiba ndio msanii anayefuatia kwa kila kitu japokuwa Siku hizi za karibuni ile power aliyokuwa nayo miaka kadhaa iliyopita imepungua kwa ujinga wake but still he is number 2 behind mond japokuwa namuona konde akikaimu nafasi yake pili sio lazima kiba apate milion200 km daimond, lazima apige show 30 kwa mwaka km mond as long as anamake na mambo take yanamwendea that's much enough for him
 
He still number 2?Hizo hisia zako lkn kwa waliofanya utafiti nazani umeona ,sasa wewe endelea kubaki na hisia zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…