Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Diamond huwa anajifanya innocent sana mbele ya media ila nyuma yake ni mtu hatari kwa wenzie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mtu akiimba 'muziki wake kwa jinsi yake' hapotei milele? Unamfaham Z Anto? Kwani yeye alikua anaimba mziki wake kwa jinsi ya nani?Hakuna kitu kama Kiba kupotea, Kiba anaimba music wake kwa jinsi yake kama Mondi anavyo imba muziki wake kwa jinsi yake, Kiba hakuja kuchuana na Mondi anafanya music kwa kuwa ni fani yake, kuhusu mziki kuchuja kama kweli ni mpenzi wa muziki hakuna muziki unaochuja haraka kama wa Mondi unatoka una hit sana lakini unapotea haraka sana, na hii ndio style ya muziki wa wasanii wengi sasa, hakuna muziki unao ishi, hakuna ni heat na kutoweka.
Ukiielewa hii sentensi "unaniibia pencil harafu unanisaidia kuitafuta" na
"ukitaka nikuweke uchi watu watu wajue unachonifanyia, basi hilo tamasha hatokuja hata mtu mmoja"
Ukizielewa hizi sentesi utagundua Ali ana kitu kikubwa alichofanyiwa na Mondi (mawazo yangu ni views za youtube n.k), na Ali hataki kusamehe.
Pia nia ya Mondi ni kuiangusha Clouds, hivyo anajifanya kumaliza bifu na Kiba ili awashinde clouds. Pia Mondi anajifanya hataki bifu mbele ya watu huku akifanya mambo ya ajabu nyuma ya pazia. Leo hii anamtaka Harmonize, wakati kwenye show ya Iringa alimtukana mbele ya watu na hata kwenye sherehe ya juzi kati hapo kamdiss sana harmo.
Mnafiki awakome Harmo na Kiba. Afanye mwenyewe kwani kuna kitu kimewahi kuharibika kwenye hizi festival ambazo Kiba na Harmo hawaja perform.
Yes hata mimi nimeona hiloKuna kitu kibaya Diamond "anaweza takuwa" amemfanyia Kiba ndio maana kila wakati anataka wayamalize, kama ni hivyo bora aombe msamaha yaishe maana kosa halina muda wa kuisha bila kuondoa tofauti, kama anaona muda umepita kosa limepita atakuwa anajidanganya.
1. Remix ya all the way upEbu tupe ushahidi basi Mzee ayo Matusi
Nimependa username tu hahhaa mtaka helaAli nae kazidi kujimwambafai
Ali Kiba siyo mropokaji kabisa. Ukimdharau na usipomdharau atabaki kuwa hivyo.Mimi bado sijaamini kama Ali amejibu hivyo.
Naimani kuwa wamehack na sio yeye alieandika.
Namuheshimu sana Kiba na kama ikiwa ni yeye kweli, nitaanza kumdharau
Bahati nzuri muziki was bongofleva naufuatilia vizuri sana katika interviews zote ambazo Ali kiba amewahi kufanyiwa hajawahi kumtaja mond bila kuulizwa hajawahi narudia tena hajawahi hajawahi km IPO iweke hapa pili mind kamtaja Ali kiba Mara nyingi zaidi kuliko kiba alivyomtaja mondKipindi kile Kiba anarudi kwenye game,mtu ambaye alikuwa mdomoni kwake ni Diamond,katafuta kiki kwa Mondi ,kila akihojiwa mara hoo dogo aniheshimu,mara dogo amefuta verse yangu mara sijui nini,kila interview yake alikuwa akimponda Mondi alikaa kimya.Nakumbuka alijibu issue ya hiyo kufuta verse ya kiba ktk nyimbo ya lala salama,baada ya kiba kufuta verse yake ktk single boy(kwa sababu hii kwangu mimi beef lao naona ni la kitoto).Kaendelea kumwongelea mwenzake -ve kweli akafanikiwa kusimama tena kwenye game.
Zikaja kampeni za KILI MUSIC AWARDS baadhi ya media plus team, team Wema,Team Jokate na Team Kiba (Team ndipo zilipozalikwa kwenye mziki) zikaaungana ktk tuzo za KILI,kweli Diamond kuna baadhi ya tuzo wakambania,Mungu si Athuman mwaka huo huo MTV MAMA wakampa tuzo ya Best entertainer.
Jamaa baada zile team,chuki zilizosambazwa na Kiba na team za ma-ex wake ,Diamond akazomewa Fiesta.Mungu si Athumani akapambana we ,mwaka 2015 kwa mujibu wa EMC Kenya ,Mondi akaendeleza record ya kuwa msanii anayesikilizwa sana kwenye Radio na TV,hii ilimfanya apate zaidi ya mil 600.Mpaka sasa jama ana utitiri wa show,ubalozi kwenye kampuni mbalimbali na kila anachogusa kinakuwa almasi kama jina lake.
Ukiyaangalia haya matukio utakuja kugundua,alieanza maswala ya kumungelea mwenzie kwa kumpaka matope ni Kiba na hali kama hii iliyomkuta Mondi kama ingemkuta kiba nahisi angedata.
Zamani Mondi alikuwa akipayuka akiulizwa maswala ya kiba,ila siku hizi anavyo react kama hakuna kitu.Ila WCB wana kauli yao mbiu,kama ukijaribu kutengeza beef ,wao lile BEEF wanaligeuza linakuwa BIASHARA kwao.WCB hapa wanacheza mind game.
Kafeli kivipi? Kafeli wapi? Kiba ndio msanii anaeongoza kwa kuingiza mkwanja mrefu kuliko msaniiyoyote nyuma ya diamond alishawahi kupost mkataba wake wa malipo ukionyesha alilipwa million 60 kwa show 4, Ali kiba ndio msanii anayeongoza kwa fanbase ukimtoa daimond, Ali kiba ndio msanii anayefuatia kwa kuandikwa na kuzungumzwa sana na media na magazeti nyuma ya mond, km zipo post hata mbili zinazomzungumzia barnaba zilete pamoja na hayo anatoa nyimbo moja kwa mwaka wakati wenzake wanatoa nyimbo kila wiki na bado hawazUngumziwi? Pili kwanini mond kamtaja kiba na sio barnaba,aslay,Maua sama?Kwani ni uongo kiba ajafeli kimziki?
Kamdanganye mwenzako asiyeifuatilia bongo fleva,Kiba kuna nyingine makala alikuwa ana Mtaja Diamond bila kuulizwa.Bahati nzuri muziki was bongofleva naufuatilia vizuri sana katika interviews zote ambazo Ali kiba amewahi kufanyiwa hajawahi kumtaja mond bila kuulizwa hajawahi narudia tena hajawahi hajawahi km IPO iweke hapa pili mind kamtaja Ali kiba Mara nyingi zaidi kuliko kiba alivyomtaja mond
Hiyo zamani soma huu utafiti uliyofanya na kampuni ya Kenya,8020 utapata picha halisi,wendelea na hisia huo utafiti wa Kisayansi na mwaka jana Mondi hakutoa nyimbo.Kafeli kivipi? Kafeli wapi? Kiba ndio msanii anaeongoza kwa kuingiza mkwanja mrefu kuliko msaniiyoyote nyuma ya diamond alishawahi kupost mkataba wake wa malipo ukionyesha alilipwa million 60 kwa show 4, Ali kiba ndio msanii anayeongoza kwa fanbase ukimtoa daimond, Ali kiba ndio msanii anayefuatia kwa kuandikwa na kuzungumzwa sana na media na magazeti nyuma ya mond, km zipo post hata mbili zinazomzungumzia barnaba zilete pamoja na hayo anatoa nyimbo moja kwa mwaka wakati wenzake wanatoa nyimbo kila wiki na bado hawazUngumziwi? Pili kwanini mond kamtaja kiba na sio barnaba,aslay,Maua sama?
Unajua maana ya kupotea? Mara ya mwisho Z Anto kutoa nyimbo ni lini na Kiba mara ya mwisho ni lini? Tafuta maana ya kupotea kwanza.Kwa hiyo mtu akiimba 'muziki wake kwa jinsi yake' hapotei milele? Unamfaham Z Anto? Kwani yeye alikua anaimba mziki wake kwa jinsi ya nani?
Jamani tusidanganyane. Kiba ana Nini? Zaidi mziki. Kinywaji chake kimekataliwa (fire). Kipi kisichoweza kujificha bongo? Mwenzake huyoo na Radio. TV.. Karanga. Ubalozi kibao. Ali Kiba zaidi kumtegemea mhuza unga wa mombasa (JOHO) BASHA LA MOMBASA. zaidi ya hapo NI Nini....Kiba hajafeli mziki sema kiba hategemei mziki mondi anategemea mziki n.a. anapenda sifa mond ni mnafiki kweny media anajidai kondoo kumbe mbwa mwitu
Wanaume wote wako hivyo. Uwezi kuwa Kama dadakoDiamond huwa anajifanya innocent sana mbele ya media ila nyuma yake ni mtu hatari kwa wenzie
Sidhani . NI kwamba watu wanapenda wawe hivyo. Jukwani. Ali kaishaKama Kiba angekua amefeli angealikwa kwenye fiesta? Hataki kabisa dogo wa Tandale amzoee huo ni uamuzi wakewna uheshimiwe.
[emoji3]Jamani tusidanganyane. Kiba ana Nini? Zaidi mziki. Kinywaji chake kimekataliwa (fire). Kipi kisichoweza kujificha bongo? Mwenzake huyoo na Radio. TV.. Karanga. Ubalozi kibao. Ali Kiba zaidi kumtegemea mhuza unga wa mombasa (JOHO) BASHA LA MOMBASA. zaidi ya hapo NI Nini....
Huyu dogo kiba atakuwa choko poa,mwanaume huwezi sema "UNIKOME"
Narudia tena after daimond kiba ndio msanii anayefuatia kwa kila kitu japokuwa Siku hizi za karibuni ile power aliyokuwa nayo miaka kadhaa iliyopita imepungua kwa ujinga wake but still he is number 2 behind mond japokuwa namuona konde akikaimu nafasi yake pili sio lazima kiba apate milion200 km daimond, lazima apige show 30 kwa mwaka km mond as long as anamake na mambo take yanamwendea that's much enough for himHiyo zamani soma huu utafiti uliyofanya na kampuni ya Kenya,8020 utapata picha halisi,wendelea na hisia huo utafiti wa Kisayansi na mwaka jana Mondi hakutoa nyimbo.
Alafu dunia ya sasa hivi msanii anapimwa kwa idadi ya show,idadi deal anazozipata kutoka kwenye kampuni,idadi za mauzo ya kazi online na kwenye mitandao ya simu.Eti kuandikwa,kuandikwa hata Amber Rutty anaandikwa.![]()
Diamond Platnumz Named Most Popular Tanzanian Artist In Kenya - KenyanVibe
Diamond Platnumz is the most popular Tanzanian artist in Kenya according to a new research ...www.kenyanvibe.com
He still number 2?Hizo hisia zako lkn kwa waliofanya utafiti nazani umeona ,sasa wewe endelea kubaki na hisia zako.Narudia tena after daimond kiba ndio msanii anayefuatia kwa kila kitu japokuwa Siku hizi za karibuni ile power aliyokuwa nayo miaka kadhaa iliyopita imepungua kwa ujinga wake but still he is number 2 behind mond japokuwa namuona konde akikaimu nafasi yake pili sio lazima kiba apate milion200 km daimond, lazima apige show 30 kwa mwaka km mond as long as anamake na mambo take yanamwendea that's much enough for him