Haya ndo majibu ya Alikiba na Harmonize kwa Diamond Platinumz baada ya kupata mwaliko wake...

Haya ndo majibu ya Alikiba na Harmonize kwa Diamond Platinumz baada ya kupata mwaliko wake...

Ndio Ilalaaaaaaaaaa
IMG-20191030-WA0057.jpeg
 
Alikiba hana jipya na ameishiwa...bila bifu ilo la kutengeneza kiba solo lake ni kama LA mb doggy. Ukiona mwanaume anayependa kuonewa huruma kila siku na kujiweka anaonewa ni mjinga
Pia ukiona mwanaume anajipendekeza kwa mwanaume mwezake ambaye anajua hana shobo naye jua mjinga
 
Mpaka Kiba amesimama tena kwenye muziki alihangaika sana nisikiavyo hasa visomo vya Mombasa kwa Joho vimemsaidia sana. Diamond na mama yake walishaizika nyota yake. Kiba hana hamu kabisa.

Diamond hawezi kumchezea Hamo, Chitoholi si mchezo. Aliweza kuwazima walee wa mwanzo sasa atulie.
Kati ya kiba na mondi Nani alitangulia kwenye game? Kiumri kiba Ni kibabu anapaswa aimbe nyimbo za shikamoo jazz, kwanza Ali amezubaa jukwaani Kasi za mondi haziwezi Bora kajitoa mapema angeaibika
 
Kati ya kiba na mondi Nani alitangulia kwenye game? Kiumri kiba Ni kibabu anapaswa aimbe nyimbo za shikamoo jazz, kwanza Ali amezubaa jukwaani Kasi za mondi haziwezi Bora kajitoa mapema angeaibika
Acha tu na sisi wa Mwananyamala Kisiwani tufurahie bundle
 
Kati ya kiba na mondi Nani alitangulia kwenye game? Kiumri kiba Ni kibabu anapaswa aimbe nyimbo za shikamoo jazz, kwanza Ali amezubaa jukwaani Kasi za mondi haziwezi Bora kajitoa mapema angeaibika
Tabu Ley na Samagwana waliimba mpaka Vifo vimewachukua Kiba bado kinda kabisa kwenye game
 
Kuna mda inabidi mtu aaache unafiki tu.Mondi huwa akiwa kwenye press huwa anajuwa kucheza na akili za watu kwa kujifanya innocent na asiyekuwa na tatizo na wenziwe.Ila yaliyoko moyoni kwake na kamati yake ya ufundi wanayoyafanya ni Ushetani tu.Ila wote ni wasanii wetu tuwasapoti tu.
Hebu tuambie ushetan wake siyo kuishia kuwaita watu mashetani bila kutuonesha ushetani wao?
 
Mi nakuambia hakuna chochote kibaya ila unganisha dot tokea apewe mkono na Chibu akageuza kuona anaibiwa nyota, Huyu Kiba hana tofauti na Q-Chila, kipindi fulani Chila aliliaga kuwa Mondi kamuibia nyota yake, hayo ndo wanadanganywa na waganga wao....
Kumgeuzia mkono alikuwa na hili ambalo kasema akisema itakuwa taabu sio kwamba aliogopa nyota kuibiwa, aliona ni unafiki kumpa mkono mbele za watu wakati nyuma ya pazia kuna bifu.
 
Kuna kitu kibaya Diamond "anaweza takuwa" amemfanyia Kiba ndio maana kila wakati anataka wayamalize, kama ni hivyo bora aombe msamaha yaishe maana kosa halina muda wa kuisha bila kuondoa tofauti, kama anaona muda umepita kosa limepita atakuwa anajidanganya.
Ndio maana anajaribu kumwalika kwenye tamasha kuna njia nyingi za kuomba msamaha kwamwanadamu
 
Ndio maana anajaribu kumwalika kwenye tamasha kuna njia nyingi za kuomba msamaha kwamwanadamu
Kuomba msamaha ni kukiri kosa sio kujisahaulisha na kutaka mambo yaende tu kwa kuwa umeamua wewe, ni rahisi mtenda kusahau lakini mtendwa anaumia daima.
 
Mimi bado sijaamini Kama Ali amejibu hivyo.
Naimani kuwa wamehack na sio yeye alieandika.
Namuheshimu Sana kiba na Kama ikiwa Ni yeye kweli, nitaanza kumdharau
Usimdharau kwanza subilia akanushe kwanza,mpe muda
 
Kuna mda inabidi mtu aaache unafiki tu.Mondi huwa akiwa kwenye press huwa anajuwa kucheza na akili za watu kwa kujifanya innocent na asiyekuwa na tatizo na wenziwe.Ila yaliyoko moyoni kwake na kamati yake ya ufundi wanayoyafanya ni Ushetani tu.Ila wote ni wasanii wetu tuwasapoti tu.
Mimi walivyovujisha video ya Nandy eti wanamkomoa Ruge ndio niliwaona takataka kabisa.

Unamuumiza Billnass na Nandy kwa kuwa una biff zako na Ruge !!

Halafu alivyo mnafiki walipokuwa Dubai akawa anajiweka karibu na Nandy kama vile ni mtu mwema saaana.

Jamaa ni mnafiki sana ndio maana hata mademu zake anawavuruga halafu anajifanya yeye ndo kakosewa.

Yaana yeye siku zote ni INNOCENT
 
Back
Top Bottom