Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia ukiona mwanaume anajipendekeza kwa mwanaume mwezake ambaye anajua hana shobo naye jua mjingaAlikiba hana jipya na ameishiwa...bila bifu ilo la kutengeneza kiba solo lake ni kama LA mb doggy. Ukiona mwanaume anayependa kuonewa huruma kila siku na kujiweka anaonewa ni mjinga
Kwani kagombana na clouds leo?Mond hajaanza leo kumuomba All ashiriki tamasha la Wasafi
Kati ya kiba na mondi Nani alitangulia kwenye game? Kiumri kiba Ni kibabu anapaswa aimbe nyimbo za shikamoo jazz, kwanza Ali amezubaa jukwaani Kasi za mondi haziwezi Bora kajitoa mapema angeaibikaMpaka Kiba amesimama tena kwenye muziki alihangaika sana nisikiavyo hasa visomo vya Mombasa kwa Joho vimemsaidia sana. Diamond na mama yake walishaizika nyota yake. Kiba hana hamu kabisa.
Diamond hawezi kumchezea Hamo, Chitoholi si mchezo. Aliweza kuwazima walee wa mwanzo sasa atulie.
Acha tu na sisi wa Mwananyamala Kisiwani tufurahie bundleKati ya kiba na mondi Nani alitangulia kwenye game? Kiumri kiba Ni kibabu anapaswa aimbe nyimbo za shikamoo jazz, kwanza Ali amezubaa jukwaani Kasi za mondi haziwezi Bora kajitoa mapema angeaibika
Tabu Ley na Samagwana waliimba mpaka Vifo vimewachukua Kiba bado kinda kabisa kwenye gameKati ya kiba na mondi Nani alitangulia kwenye game? Kiumri kiba Ni kibabu anapaswa aimbe nyimbo za shikamoo jazz, kwanza Ali amezubaa jukwaani Kasi za mondi haziwezi Bora kajitoa mapema angeaibika
Hebu tuambie ushetan wake siyo kuishia kuwaita watu mashetani bila kutuonesha ushetani wao?Kuna mda inabidi mtu aaache unafiki tu.Mondi huwa akiwa kwenye press huwa anajuwa kucheza na akili za watu kwa kujifanya innocent na asiyekuwa na tatizo na wenziwe.Ila yaliyoko moyoni kwake na kamati yake ya ufundi wanayoyafanya ni Ushetani tu.Ila wote ni wasanii wetu tuwasapoti tu.
Kumgeuzia mkono alikuwa na hili ambalo kasema akisema itakuwa taabu sio kwamba aliogopa nyota kuibiwa, aliona ni unafiki kumpa mkono mbele za watu wakati nyuma ya pazia kuna bifu.Mi nakuambia hakuna chochote kibaya ila unganisha dot tokea apewe mkono na Chibu akageuza kuona anaibiwa nyota, Huyu Kiba hana tofauti na Q-Chila, kipindi fulani Chila aliliaga kuwa Mondi kamuibia nyota yake, hayo ndo wanadanganywa na waganga wao....
Yes sahihi kabisa na tena ukiwa underground ukisainiwa kings music umepoteaUkiwa pia msanii usijenge urafiki na alikiba
Unajuaje??Kawaida tu ila sio kesi dogo mondi
anachukiwa na watu wachache kuliko
wanaompenda..komaa dogo hao ni ma snitc
h bichi
Ndio maana anajaribu kumwalika kwenye tamasha kuna njia nyingi za kuomba msamaha kwamwanadamuKuna kitu kibaya Diamond "anaweza takuwa" amemfanyia Kiba ndio maana kila wakati anataka wayamalize, kama ni hivyo bora aombe msamaha yaishe maana kosa halina muda wa kuisha bila kuondoa tofauti, kama anaona muda umepita kosa limepita atakuwa anajidanganya.
Kuomba msamaha ni kukiri kosa sio kujisahaulisha na kutaka mambo yaende tu kwa kuwa umeamua wewe, ni rahisi mtenda kusahau lakini mtendwa anaumia daima.Ndio maana anajaribu kumwalika kwenye tamasha kuna njia nyingi za kuomba msamaha kwamwanadamu
Usimdharau kwanza subilia akanushe kwanza,mpe mudaMimi bado sijaamini Kama Ali amejibu hivyo.
Naimani kuwa wamehack na sio yeye alieandika.
Namuheshimu Sana kiba na Kama ikiwa Ni yeye kweli, nitaanza kumdharau
Mimi walivyovujisha video ya Nandy eti wanamkomoa Ruge ndio niliwaona takataka kabisa.Kuna mda inabidi mtu aaache unafiki tu.Mondi huwa akiwa kwenye press huwa anajuwa kucheza na akili za watu kwa kujifanya innocent na asiyekuwa na tatizo na wenziwe.Ila yaliyoko moyoni kwake na kamati yake ya ufundi wanayoyafanya ni Ushetani tu.Ila wote ni wasanii wetu tuwasapoti tu.