Haya ndo majibu ya Alikiba na Harmonize kwa Diamond Platinumz baada ya kupata mwaliko wake...

Haya ndo majibu ya Alikiba na Harmonize kwa Diamond Platinumz baada ya kupata mwaliko wake...

Kiba hajafeli mziki sema kiba hategemei mziki mondi anategemea mziki n.a. anapenda sifa mond ni mnafiki kweny media anajidai kondoo kumbe mbwa mwitu
Hivi unaposema kiba hategemei mziki na diamond anategemea mziki maana yake nini. Diamond ana biashara kama radio, tv na matangazo kibao. Niamboe kiba anategemea nini
 
Mimi walivyovujisha video ya Nandy eti wanamkomoa Ruge ndio niliwaona takataka kabisa.

Unamuumiza Billnass na Nandy kwa kuwa una biff zako na Ruge !!


Halafu alivyo mnafiki walipokuwa Dubai akawa anajiweka karibu na Nandy kama vile ni mtu mwema saaana.

Jamaa ni mnafiki sana ndio maana hata mademu zake anawavuruga halafu anajifanya yeye ndo kakosewa.

Yaana yeye siku zote ni INNOCENT
Aliyekuambia wcb ndo walivujisha video ya nandy ni nani? Watu bhana...
 
Back
Top Bottom