Kwakweli watu wengi sana hawajaelewa hili suala. Lipo hivi , Hamornez amejiondoa WCB na kuondoka kwake hakuna ishara yakuwa ameondoka vizuri yani niwazi kuwa hakukuwa na maelewano mazuri na WcB. Sasa huyohuyo konde boy leo amekuwa na maelewano mazuri na Clouds mpaka kufanya mahojiano nao. Clouds ni team Kiba. Na nina amini yakuwa Konde na Kiba ni marafiki kwa sasa, kwahiyo hata kama Ali alikuwa anahujumiwa kwa njia ya uchawi na WCB basi siri zote atakuwa anazo kwa sasa. Ila mimi binafsi siamini haya mambo. Kwamana riziki yako kama ipo ipo tu.