Haya ndo majibu ya Alikiba na Harmonize kwa Diamond Platinumz baada ya kupata mwaliko wake...

Haya ndo majibu ya Alikiba na Harmonize kwa Diamond Platinumz baada ya kupata mwaliko wake...

Hata ungekuwa wewe lazima ukasirike. Yaan mtu anakufanyia vitu vibaya chini ya pazia ila akija mbele za watu anajofanya yeye hana tatizo ila wewe ndiye mwenye tatizo. Ndiyo maana leo ameamua amtolee uvivu, kama alivyofanya kipindi kile cha kiti na malkia wa nguvu.
Wakati mwingine unaweza kuwa unamtafuta mchawi wakati mchawi ni wewe mwenyewe, Ukawa na hisia ya kulogwa wakati hakuna anayekuloga.
 
Mimi huwa nashangaa kwanini kila Diamond anapotaka kufanya hii festival yake lazima amualike Kiba tena kwenye vyombo vya habari. Kwani hawa wasanii wengine huwa anawapataje na kwa Kiba kwanini asipitie njia hiyo hiyo. Kama huu sio unafiki ni nini? Au ndio hawezi kuishi bila kiki!!!
Kajamaa ka tandale kanafiki sana
 
Kwakweli watu wengi sana hawajaelewa hili suala. Lipo hivi , Hamornez amejiondoa WCB na kuondoka kwake hakuna ishara yakuwa ameondoka vizuri yani niwazi kuwa hakukuwa na maelewano mazuri na WcB. Sasa huyohuyo konde boy leo amekuwa na maelewano mazuri na Clouds mpaka kufanya mahojiano nao. Clouds ni team Kiba. Na nina amini yakuwa Konde na Kiba ni marafiki kwa sasa, kwahiyo hata kama Ali alikuwa anahujumiwa kwa njia ya uchawi na WCB basi siri zote atakuwa anazo kwa sasa. Ila mimi binafsi siamini haya mambo. Kwamana riziki yako kama ipo ipo tu.
 
Naye akaroge kama ni kweli
 
Dah jamaa hawezi kusimama bila uchokozi na msanii au media yaan bila kuwa na upinzani mhuni hawezi but sio mbaya ndio tonge lake lilipo 😂

ILA MWAMBA ANA PLAN ZA KI KOKO KINOMA 😂😂
 
Back
Top Bottom