Haya ndo majibu ya Alikiba na Harmonize kwa Diamond Platinumz baada ya kupata mwaliko wake...

Haya ndo majibu ya Alikiba na Harmonize kwa Diamond Platinumz baada ya kupata mwaliko wake...

Kiboko ya diamond ni harmonize, kwa sababu wote ni wachawi wakubwa na harmonize kamzidi diamond, diamond kamzidi ali kiba, wote wanga hawa
 
Wakati mwingine unaweza kuwa unamtafuta mchawi wakati mchawi ni wewe mwenyewe, Ukawa na hisia A kulogwa wakati hakuna anakuloga.
Hakuna kitu kama hicho. Hivi unaweza kuniambiaje, mtu ametoa nyimbo zaidi ya nne kwa vipindi tofauti na kila wimbo unapotoka unapata views za kutosha.

Ila wakati watu wengi wanapoanza kuuangalia ghafla views zinasimama kwa siku nzima na views zikianza kusoma zinapungua kwanza ndipo zinaendelea na mwisho wa siku wimbo haufikishi views nyingi.

Sasa hapo mchawi wa alikiba anakuwaje alikiba mwenyewe?
 
Kwakweli watu wengi sana hawajaelewa hili suala. Lipo hivi , Hamornez amejiondoa WCB na kuondoka kwake hakuna ishara yakuwa ameondoka vizuri yani niwazi kuwa hakukuwa na maelewano mazuri na WcB. Sasa huyohuyo konde boy leo amekuwa na maelewano mazuri na Clouds mpaka kufanya mahojiano nao. Clouds ni team Kiba. Na nina amini yakuwa Konde na Kiba ni marafiki kwa sasa, kwahiyo hata kama Ali alikuwa anahujumiwa kwa njia ya uchawi na WCB basi siri zote atakuwa anazo kwa sasa. Ila mimi binafsi siamini haya mambo. Kwamana riziki yako kama ipo ipo tu.
Hapo kwenye harmo kutoa siri za wcb dhidi ya kiba panaweza kuwa na ukweli fulani
 
Diamond ni moja kati ya watu wanafiki n waswahili sana. Anaweza kufanya jambo la kishenzi kisha akatoka mbele ya watu akadiss sana then kesho atakuja kuomba sympathy ahurumiwe.
 
Kazi zao zinaruhusu ata Marekani si unaona kila siku kuna drama.mpya , ni ngumu kutenganisha usanii na kiki , mara nyingi vinakwenda pamoja
hamna yoweee acha tuone kid alie mtengeneza akimpiga bila huruma
 
Saa chache baada ya msanii, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz kuwaalika Harmonize na Ali Kiba katika tamasha la Wasafi, wawili hao wameibuka na kumjibu.




Wakati Ali Kiba akimtaka Diamond kutomfuatilia akitumia neno “unikome”, Harmonize amesema hataki kuongea kuhusu jambo hilo.




Leo mchana Jumatano Oktoba 30, 2019 Diamond wakati akizungumzia tamasha hilo litakalofanyika Novemba 9, 2019 jijini Dar es Salaam alisema ana imani Harmonize atashiriki na kwamba amepeleka mwaliko kwa uongozi wa Ali Kiba, ili msanii huyo naye ashiriki tamasha hilo.




"Wenzetu (wasanii) Nigeria ndio maana wanaendelea kwenye muziki kwani kunapokuwa na matamasha kama haya wanaweka tofauti zao pembeni, kumkuta jukwaa moja Wizkid na Davido ambao walikuwa na bifu kwao ni jambo la kawaida.”




“Kwa nini tung’ang’anie bifu hata sehemu ambayo ni ya kutengeneza pesa na kutuleta Watanzania pamoja,” amesema Diamond katika mkutano wake huo na waandishi wa habari.




Baada ya Diamond kueleza hayo, Mwananchi lilimtafuta Ali Kiba kujua kama ataweza kushiriki katika tamasha hilo na msanii huyo alisema hawezi kulizungumzia hili.




Baada ya muda Ali Kiba alimjibu Diamond kupitia ukurasa wa mtandao wake wa kijamii wa Instagram, “usiniletee mambo ya darasa la pili unaniibia penseli halafu unanisaidia kutafuta unikome.”




“Mwanaume huwa anaongea mara moja tu sasa ukitaka nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia hata kwenye hilo tamasha hatokuja mtu sasa tuishie hapo nakutakia tamasha njema.”




Wakati Ali Kiba akieleza hayo, Harmonize alipoulizwa na Mwananchi amesema, “achana na hayo mambo ya Diamond, tuongee mambo mengine.”
View attachment 1249233
huyu alikiba huaga anatabia fulani ya kujifanya yeye nod anataka kisujudiwa halafu ana element za kike kama ni mwanaume hakua anataka kwenda kwenye tamasha hilo angesema tuu siwezi kwenda..ila ni kawaida ukiwa unasifiwa ana na mademu na wewe unakuwa na akili za umbea walimsifia king sasa ana kinyongo na msela...menge tuu i hate this nigga from day one that nigga aint real..no wonder her bi,tch left his ass bitchhing ass
 
[emoji23][emoji23][emoji23]futuhi kweli ni futuhi..harmonize kamzidi diamond



Izi bhangi mna vutiaga wapi

Kamzidi kiuchawi brother...wewe ndio futuhi huwezi kuchambua na kuelewa hata kilichoandikwa, dumb you

Bangi leo nnavutia hapa watumishi house magomeni usalama, floor ya nne [emoji23][emoji23]
 
Kuna mda inabidi mtu aaache unafiki tu.Mondi huwa akiwa kwenye press huwa anajuwa kucheza na akili za watu kwa kujifanya innocent na asiyekuwa na tatizo na wenziwe.Ila yaliyoko moyoni kwake na kamati yake ya ufundi wanayoyafanya ni Ushetani tu.Ila wote ni wasanii wetu tuwasapoti tu.
mimi mwenyewe sipendezwi na hiyo tabia.....
 
Nikweli
Unachotakiwa kujua ni kwamba Mondi ameanza kujifanya anataka kumaloza bifu na kiba, mara baada ya kuvurugana na clouds ambako saiv ali ndiye msanii wao. So mond anamtaka kiba kwa ajili ya kuishusha clouds na amegundua harmo pia anaweza chukuliwa na hao clouds ndio maana anajifanya kuwasogeza karibu harmo na kiba.

Ila anachosahau ni kwamba anawafanyia au amewahi kuwafanyia vitu vibaya kiba na harmo directly. So ni mnafiki tu, hakuna cha kumaliza bifu wala nini.
Pumba
 
Mi nakuambia hakuna chochote kibaya ila unganisha dot tokea apewe mkono na Chibu akageuza kuona anaibiwa nyota, Huyu Kiba hana tofauti na Q-Chila, kipindi fulani Chila aliliaga kuwa Mondi kamuibia nyota yake, hayo ndo wanadanganywa na waganga wao....
Lete ushahidi
 
Back
Top Bottom