Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Sawa baada ya mechi uludi hapaKakojoe unaota utajikojolea
Sawa tutaonaKwenye Simba hapo umezingua... Simba anashinda chuma 2-0
Tia mkeka upate faida.Habarini,
Kama nilivyoanza hapo juu haya ndo yatakuwa matokeo ya mechi za Leo za Cafcl na Cafcc za Tarehe 4 January 2025 na kesho 5 January 2025,
(Kesho): Constantine vs Bravos (Bravos atashinda)
(Leo): Yanga vs Tp mazembe (Tp mazembe atashinda)
(Leo): Orlando pirates vs stade abidjan ( itaisha kwa Draw)
(kesho): Sfaxien vs Simba (itaisha kwa Draw)
Mods msiunganishe huu Uzi una faida kubwa sana Nimemaliza.
Malaika wa Misukosuko naona unaendeleza umbumbumbu FC wakoHabarini,
Kama nilivyoanza hapo juu haya ndo yatakuwa matokeo ya mechi za Leo za Cafcl na Cafcc za Tarehe 4 January 2025 na kesho 5 January 2025,
(Kesho): Constantine vs Bravos (Bravos atashinda)
(Leo): Yanga vs Tp mazembe (Tp mazembe atashinda)
(Leo): Orlando pirates vs stade abidjan ( itaisha kwa Draw)
(kesho): Sfaxien vs Simba (itaisha kwa Draw)
Mods msiunganishe huu Uzi una faida kubwa sana Nimemaliza.
umekuwa tambi tambi mkuuHabarini,

Hao Wazembe labda washinde njaa!Habarini,
Kama nilivyoanza hapo juu haya ndo yatakuwa matokeo ya mechi za Leo za Cafcl na Cafcc za Tarehe 4 January 2025 na kesho 5 January 2025,
(Kesho): Constantine vs Bravos (Bravos atashinda)
(Leo): Yanga vs Tp mazembe (Tp mazembe atashinda)
(Leo): Orlando pirates vs stade abidjan ( itaisha kwa Draw)
(kesho): Sfaxien vs Simba (itaisha kwa Draw)
Mods msiunganishe huu Uzi una faida kubwa sana Nimemaliza.
sawa tutaonaEb
Hao Wazembe labda washinde njaa!
Hata mimi naamini hivyo! Japo mi ni mnyama.TP mazembe leo analizwa, hamna namna.
Naona moya moya na nahisi huenda ikaisha hivi hiviTunaifuatilia Hii Thread Kwa Karibu Sana
Ngoja 90 Ziishe Tutaongea Mengi Na Huu UtabiriHapa kwa yanga kama umeongea ukweli hivi
Sawa baada ya mechi uludi hapa ❌
Sawa baada ya mechi urudi hapa ✔️