Haya ndo yatakuwa Matokeo ya leo na kesho ya mechi za CAF: Constantine vs Bravos(Bravos atashinda), Yanga vs TP Mazembe(Mazembe atashinda)

Chawi limeweka keka la uongo ili life na wengi.
Una akili kweli kuiua yanga na kumpa TP mazembe
 
Utabiri wa vijana wa mangungu ni taka taka tu, Aya nenda kachukua ujira wako kwa Mangungu, Mazembe kachukua 3 swaaafi!
 
Tunakusubiri huku mtabiri wewe.Hii inatwa GUSA,ACHIA TWENDE KWAO
 
Bado utabiri wako unauamini?
 
Ndio maana mnamaliza pesa zenu kwenye betting, hii ungeliwa kichwa leo balaa.
 
Mayele afuate yule ng'ombe wake
 
We jamaa kama kwenu walikuwa na lengo la kukukabidhi mikoba ya uganga basi wasitishe kabisa hilo suala lao, utatia hasara biashara ya familia yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…