African businesses
Member
- Feb 13, 2024
- 80
- 204
Chawi limeweka keka la uongo ili life na wengi.Habarini,
Kama nilivyoanza hapo juu haya ndo yatakuwa matokeo ya mechi za Leo za Cafcl na Cafcc za Tarehe 4 January 2025 na kesho 5 January 2025,
(Kesho): Constantine vs Bravos (Bravos atashinda)
(Leo): Yanga vs Tp mazembe (Tp mazembe atashinda)
(Leo): Orlando pirates vs stade abidjan ( itaisha kwa Draw)
(kesho): Sfaxien vs Simba (itaisha kwa Draw)
Mods msiunganishe huu Uzi una faida kubwa sana Nimemaliza.
Una akili kweli kuiua yanga na kumpa TP mazembe