Haya ndo yatakuwa Matokeo ya leo na kesho ya mechi za CAF: Constantine vs Bravos(Bravos atashinda), Yanga vs TP Mazembe(Mazembe atashinda)

Orlando ana ongoza 2 tena huko
 
Sawa mwanetu 😀
 
Tumbavu una faida kwa nani...
 
Hivi kweli mtu unaweza tabiri mechi 5 na ukakosa zote?
Mkuu mbona unaonyesha una uelewa mdogo sana wa mpira
 
Majina mengine muwe mnaangalia, kweli we misuko suko
 
Mtabili Utubusala ujinga hasala
 
[COLOR=var(--IXoxUe)][COLOR=var(--IXoxUe)]Mofokeng 22'
P. Maswanganyi 50'
D. Hotto 85'
[/COLOR]

[/COLOR]
Cape Town City
Cape Town City
Orlando Pirates
Orlando Pirates
Wed, 8 Jan
20:30

[COLOR=var(--bbQxAb)]More matches
[/COLOR]
 
Daah yaani Mc Alger ndiye atamuamulia Yanga!!
 
Malaika wa misukosuko halafu uwe na maono manyoofu takataka kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…