Orlando ana ongoza 2 tena hukoHabarini,
Kama nilivyoanza hapo juu haya ndo yatakuwa matokeo ya mechi za Leo za Cafcl na Cafcc za Tarehe 4 January 2025 na kesho 5 January 2025.
(Kesho): Constantine vs Bravos (Bravos atashinda)
(Leo): Yanga vs Tp mazembe (Tp mazembe atashinda)
(Leo): Orlando pirates vs stade abidjan (itaisha kwa Draw)
(kesho): Sfaxien vs Simba (itaisha kwa Draw)
Mods msiunganishe huu Uzi una faida kubwa sana Nimemaliza.