Haya ni baadhi ya mambo mengine yaliyomo kwenye kitabu cha Erick Kabendera

Hizi ni salamu kwa Samia Suluhu Hassan ajue naye anajiandikia kitabu cha kwake na tayari wino unaotumika ni mwekundu,kazi kwake. Hawa panya wake kina Lucas Mwashambwa hawataonekana tena wakati kikianza kusomwa na kujadiliwa.
Acha mikwara huyo mama hana haja ya kutumia nguvu wala kufanya huo upuuzi kama wa magu na skendo kama hizo hata haziendani nae
 
Mwamba alifanya nini ambacho wengine Wameshindwa?

Mtoa mada amenukuu taarifa za kitabu zinazomhusu huyo Godfather wako Sasa mapovu ya nini?
 
Mkuu hizo sio za Kabendera hizo ni za mtu wangu wa Ndani
Huvi kwanini wote ushahidi wenu ni mtu wa ndani, mtu wa karibu, mtu wa ikulu ila hamtaji majina, kazi zao, rekodi zao, ni watu wa aina gani, mazingira, maandishi ya wakati huo, video, picha ushahidi usio na shaka, motive, content, context, all collaborative evidence to go with accusations of such serious nature? Watu waandika vitu
willy-nilly.

Kuna huyu Remigius Celestine Mjumbe wa Secretarieti CHADEMA Makao Makuu anamtuhumu Mbowe kwa mambo mengi huwa anaweka ushahidi usio na shaka, anataja majina, sehemu, motive, context and content ana ushahidi wa documents maandishi na wengine waliokuwepo anawataja na anawaomba mkawaulize. Unaweza kujiridhisha kama madai yake ni ya kweli au uongo. Na nyie mfanye hivyo.
 


Yaani na yeyote yule ambae amepinga ,anapinga sera za Hayati J.P. Magufuli. Asichaguliwe.

CHADEMA na Mamluki wenzao wote.

Hawachaguliki.
 
Acha mikwara huyo mama hana haja ya kutumia nguvu wala kufanya huo upuuzi kama wa magu na skendo kama hizo hata haziendani nae
JPM alibugi sana stepu kuendekeza siasa za ubabe haswa akipambana na uongozi wa juu wa CHADEMA unaotokea kaskazini.

Namuelewa Samia kumpelekea Makonda Arusha, anajenga siasa za kushirikisha watu na zilizojaa uungwana.
 
Hana lolote huyo.
Angeanza kwa kujisafisha juu ya kupokea pesa k,utoka nje ili kulipa watu wanaokosaoa na kutukana serikali. He is just another noise maker.
 
Makamu wa raisi wakati huo si yupo? Aulizwe kama kuna ukweli, kama haupo basi huyo mwandishi ana la kujibu.
 
halali alifukuzwa missionari kweli alienda kuomba utelezi kwa bibi au alipiga
 
Ernest Sungura (wa Media Council of Tanzania, kwa sasa) alihusika kwenye kikao na Dr Bashiru kumuhoji Kabendera, wakamwambia yuko Salama baadaye yakamkuta ya kumkuta, walikuwa wanajua nini kinaendelea.
Wakamatwe.
 
Kwamba mama yake(magufuli) alivoambiwa mwanao ameteuliwa kuwa mgombea urais kupitia sisiemu akacheka sana akawaambia atawaumiza sana hamumjui vizuri.
Hiyo inawezekana au siyo, maana mama yake ndiye alimjua kwa undani, lakini kuvamia kwa makamo wa Rais, hesabu zinakataa/zimegoma.
 
Reactions: al1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…