Haya ni baadhi ya matukio muhimu baada ya kupanda mount Kilimanjaro "way back" hakika ilikua safari nzuri na kuvutia sana

Haya ni baadhi ya matukio muhimu baada ya kupanda mount Kilimanjaro "way back" hakika ilikua safari nzuri na kuvutia sana

Red black

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
18,719
Reaction score
60,636
Ilikua safari nzuri na ya kuvutia sana unforgettable moment.

Nilipanda kama mtalii tulipandika njia ya the Northern circuit 10 day tunashukia mweka gate.

Labda nikupe hints kidogo ya zone za mountain kilimanjaro na actually ukipanda mlima kilimanjaro up to Uhuru peak ni sawa na mtu alietembelea mabara matano tofauti kwa siku chache..

Yeah

Hapa kuna kanda hizo 5 ambazo hupitia unapoanza chini hadi kileleni:

1.Ukanda wa Kilimo/Tambarare (Cultivation Zone): Hii ni sehemu ya chini yenye mashamba ya migomba na kahawa, kijani kibichi, na joto la kawaida.

Screenshot_20260420-181344~2.jpg

2.Ukanda wa Msitu wa Mvua (Rainforest Zone): Msitu mnene wenye miti mirefu, unyevunyevu, na wanyama mbalimbali.
Screenshot_20260420-181518~2.jpg

3.Ukanda wa Mbuga na Vichaka (Heather and Moorland Zone): Joto hupungua, miti hupotea na kubaki vichaka maalum na maua ya mlima.
Screenshot_20260420-181828~2.jpg

4.Ukanda wa Jangwa la Mlima (Alpine Desert Zone): Sehemu kame yenye mawe na mchanga, haina mimea mingi, joto la mchana ni kali na usiku hupungua sana.
Screenshot_20260420-182020~2.jpg

5..Ukanda wa Theluji/Arctic (Arctic Summit Zone): Kilele cha juu kabisa (Uhuru Peak) kikiwa na theluji na barafu, hali ya hewa ni ya baridi kali sana.
Screenshot_20260420-182358~2.jpg

Screenshot_20260420-182228~2.jpg
 
Una bahati na pumzi mkuu. Kama ulifanikiwa kufika juu kabisa. Nipo hapa moshi naziona chopa zinapiga trip kushusha wale waliokata moto. (Sio kufa) kuchoka na kuishiwa pumzi.
Wengine wanashushwa hapa kcmc hospital kwa uangalizi.
Hongera mkuu.
 
halafu nilipanda low season baridi kali na mvua inanyesha ile ya barafu
 
Hongera sana
Nimepanda mara mbili
Kama scout Form IV 1989 kupitia Rongai route, tulifuatana na wanajeshi kutoka TMA wakati huo inaitwa CTU Monduli
Tulitumia siku 3 mpaka Uhuru summit na siku 1 kushuka
Mara ya pili na washkaji alumni kutoka nje ya Tz mwaka 2018, nikaishia Gilmans Point, tulipitia Marangu, coca cola route
Hali ya hewa ilikuwa mbaya sana na kulikuwa na avalanche ya barafu
December nataka nipande ile ya mabalozi ila nataka nipitie hiyo ya Machame
Kumbukumbu nzuri na challenge kubwa sana katika maisha
 
Aiseeeeh!! Kwakweli pandeni tu🙌🙌
 
Duuuuh!
Mie hobby ya kunitesa sitaki.
Kila hobby ina mateso kwa mengine
Unaweza kulewa unapata hangover, mateso
Unakesha club, unakosa usingizi na kuvuta mimoshi ya sigara, una enjoy lakini mateso
Wengine tunakimbia nusu marathon 21km na kupanda milima, tuna enjoy na kupata adventure, mwengine anaona mateso
Ila Kili Climb kwa wengi ni bucket list, hasa foreigners , ni vile tu resources na awareness kwa wabongo haipo kama ilivyo kutembelea mbugani
Ukipanda mara moja ukatoboa summit hamu ya kurudia haiishi
 
Back
Top Bottom