Ya, mvua haizuii hiking unless kuna extremely poor visibility, yaani mbele huoni hata mita 1 na chini miguu huioni unakanyaga wapiNiliona clip sasa sehemu za miamba sjui mawe mvua inanyesha au imekata muda so mrefu na wanarndelea na hiking so sikuelewa na wengine wanapita sehemu ya kukumbatia mwamba hivi ko hali kumbe iko hivyo
Aseeh ko ktk route zako ni ipi favorite one na ugumu gani ulikumbana nao mpl ukasema gari hii basi Tena, vipi kwenye kufurahia utalii napo ulivutiwa na nn zaidi na je msosi mnapika ama ni junk foods mnatumia ??Ya, mvua haizuii hiking unless kuna extremely poor visibility, yaani mbele huoni hata mita 1 na chini miguu huioni unakanyaga wapi
Mwamba hiyo route ya Machame sijapita nasikia kuna hiyo wanaita Baranco wall au Kissing rock nafikiri, hapo kupita lazima upambane na hiyo rock
Njia inayopendwa na wengi ina starehe, utalii wa kutosha na haiumizi sana ni hiyo ya kupitia Marangu.Aseeh ko ktk route zako ni ipi favorite one na ugumu gani ulikumbana nao mpl ukasema gari hii basi Tena, vipi kwenye kufurahia utalii napo ulivutiwa na nn zaidi na je msosi mnapika ama ni junk foods mnatumia ??
Pitia na lemosho. ....njia refu kuliko zote nahcNjia inayopendwa na wengi ina starehe, utalii wa kutosha na haiumizi sana ni hiyo ya kupitia Marangu.
Inaitwa coca cola route kwa utani
Wanatumia ascent siku 6-7, descent siku 2-3
Kuna tents na camps za kutosha za kupumzikia( Mandara, Horombo, Kibo) na chakula mnaweza kupika humo kwenye camps
Wale porter wanabeba mizigo ya chakula na takataka mkishuka, hakuna kutupa kitu mlimani
Wanasema Rongai ni rahisi kutoboa ila inabidi uwe fit hasa na ni fupi, tulipanda siku 3 na kushuka siku 1 kushukia Marangu , tulikuwa ma teenager tunawaiga wajeshi, ilikuwa poa na vibe ya wajeda kila mtu alitoboa
Hiyo ya Mawenzi wanasema ni toughest, sijapita ndiyo nataka kuijaribu Dec
Chakula mnaweza kubeba kilichopikwa mnapasha moto mkipumzika
Kwa hali ya kule kuna watu wanalazimishwa kula kama watoto sometimes
Yeah, ila siku nyingi na gharama inaongezeka kukaa kule juu nako ingawa ina best experiencePitia na lemosho. ....njia refu kuliko zote nahc
Mwaka huu na mimi nataka nipande. Mimi mazoezi yangu ni kucheza mpira wa miguu tu vipi nitatoboa mpaka summit?Ukiweza kutembea kwenye vilima kwa Dar kama maeneo ya Makongo au Goba au ukipata nafasi unapiga camp maeneo ya milimani kama Marangu kupata acclimatization itakusaidia
Wazungu wengi inawasaidia sana hali ya hewa ya kwao licha ya mazoezi
Mlichukua siku ngapi✌️
Zara tour
Roughly dola 1000
Northern circuit.
Mpira hautoshi. Hauko active muda wote unakuwa na short burst of activity na kutembea au kukimbia kidogoMwaka huu na mimi nataka nipande. Mimi mazoezi yangu ni kucheza mpira wa miguu tu vipi nitatoboa mpaka summit?
Uzinzi utafanya ukidrop kutoka summit
Kule mashine haisimami na hata kuishika kukojoa mtiti😀Uzinzi utafanya ukidrop kutoka summit