Haya ni baadhi ya matukio muhimu baada ya kupanda mount Kilimanjaro "way back" hakika ilikua safari nzuri na kuvutia sana

Kila hobby ina mateso kwa mengine
Unaweza kulewa unapata hangover, mateso
Unakesha club, unakosa usingizi na kuvuta mimoshi ya sigara, una enjoy lakini mateso
Wengine tunakimbia nusu marathon 21km na kupanda milima, tuna enjoy na kupata adventure, mwengine anaona mateso
Ila Kili Climb kwa wengi ni bucket list, hasa foreigners , ni vile tu resources na awareness kwa wabongo haipo kama ilivyo kutembelea mbugani
Ukipanda mara moja ukatoboa summit hamu ya kurudia haiishi
Hobby ya kunitesa hapana kwakweli.
 
Ukiweza kutembea kwenye vilima kwa Dar kama maeneo ya Makongo au Goba au ukipata nafasi unapiga camp maeneo ya milimani kama Marangu kupata acclimatization itakusaidia
Wazungu wengi inawasaidia sana hali ya hewa ya kwao licha ya mazoezi
Issue kubwa ni pumzi nadhani bado haiko sawa nitafanyia kazi
 
Yes, pumzi na muscle za miguu inajengwa kwenye hills
Ukilinganisha na flat surface, hill walking inakupa nguvu ya miguu (mapaja, makalio) na kufanya moyo na mapafu kufanya kazi zaidi na kuongeza cardio fitness
Inakupa mazoezi ya kupanda na kushuka, ambacho ndicho halisi kwenye mlima
 
Aaaah vipi kwenye kupanda mlimà mnaweza kutans na changamoto ya mvua maybe inakuaje hapo

Kwenye mazoezi najitahidi kufanya vzr
 
Mvua ipo na barafu pia kwa wingi inategemea na msimu ingawa kule naona mvua mara kwa mara inapiga
Mnaendelea kupanda kama hali siyo ya kutisha hasa kama kuna utelezi , makorongo au mawe kuporomoka , kuharibu njia na poor visibility

Kinachowasumbua wengi ni Altitude sickness, kuumwa kichwa, kuishiwa pumzi, unapata kichefuchefu, kutapika na hata kuzima kabisa
Wengine wanapatwa na kiwewe(trauma) kwa mshtuko wa mabadiliko ya hali ya hewa na ile kuona watu wanaumwa
Ila mkiwa na guide wazuri na mkifuata maelekezo mnatoboa summit
 
Mvua ipo na barafu pia kwa wingi inategemea na msimu ingawa kule naona mvua mara kwa mara inapiga
Mnaendelea kupanda kama hali siyo ya kutisha hasa kama kuna utelezi , makorongo au mawe kuporomoka , kuharibu njia na poor visibility

Kinachowasumbua wengi ni Altitude sickness, kuumwa kichwa, kuishiwa pumzi, unapata kichefuchefu, kutapika na hata kuzima kabisa
Wengine wanapatwa na kiwewe(trauma) kwa mshtuko wa mabadiliko ya hali ya hewa na ile kuona watu wanaumwa
Niliona clip sasa sehemu za miamba sjui mawe mvua inanyesha au imekata muda so mrefu na wanarndelea na hiking so sikuelewa na wengine wanapita sehemu ya kukumbatia mwamba hivi ko hali kumbe iko hivyo
 
Back
Top Bottom