Haya Ni Maamuzi Binafsi Ya Harmonize

Haya Ni Maamuzi Binafsi Ya Harmonize

Huyu sijui Hamonile akili ndogo sana. Wajameni kuna umuhimu wa kuwapeleka watoto wenu shule wakapate maarifa
 
Kweli ktk maisha tupo tofauti katika kufikiria mambo..
Matendo ya mtu yatosha kumfahamu think capacity yake ikoje!
 
Kanikumbusha ya wema na kajala.

Nikiwa kijana niliambiwa na kakangu 'stupidiest thing you should never do is put a permanent tatoo on ypur body. Coz your life is not stagnant, it is spontaneous)
Huu uwe mfano kwa wengi kila mtu na maisha yake ya kushukuru atakavyo.

Wivu unajaa wengi kanvile hata sumuni wamaweza toa hata kujiendeleza na kuandika humu ka vile wako vileeee kumbe wanasahau mengine wanapostiga yanatoa uhalisia ulivyo maishani mwao....nacheka...wivu mbaya.
 
Ni haki ya kila mwanadamu kuelezea hisia zake zinazogusa maisha yake kiundani.. so yupo rait..
iwe changamoto ajitaidi zaidi n zaidi
 
Huo mchoro haufanani Diamond amwambie Mchoraji amrudishie hela yake
 
View attachment 314631


Katika Maisha Yangu Sikuwahi Kuwaza Kuwa Itatokea Siku Nikajichora Tatoo But Diamond Nimtu Mwenye Mchango Mkubwa Sanaaaa Katika Maisha Yangu Leo Hii Mimi Ninathaminika Kutoka Kwenye Kunyanyasika Ninaheshimika Kutoka Kwenye Kudhalaulika Nimekuwa Maarufu Na Kupata Uthamani Mkubwa Kupitia Yeye Siotu Kwa Kipaji Nilicho Nacho Kwani Wangapi Wanavipaji...??? Naisaidia Familia Yangu Kwa Kile Nikipatacho Sihaba Akiwa Na Mchango Wake Mkubwa Sana...... Lakini Mwisho Wasiku Haya Ni Maisha Nahii Ni Dunia Inamambo Mengi Sanaa Hasa Sisi Vijana Ambao Niwepesi Wa Kujisahau Kinaweza Tokea Kitu Kidogo Sanaa Ukasahau Wema Na Fadhira Ulizotendewa, Lakini Pia Mungu Ndio Katukutanisha Na Karibia Watu Wengi Wanajua Tumekutanaje Kwamana Nimekuwa Nikiulizwa Katika Vyombo Vya Habari Tofauti Tofauti So Watu Wengi Wanajua Tulivyo Kutana But Hakuna Anaejua Tutaachana Vipi kwamana Sisi Ni Binadamu Kuna Kifo Leo Na kesho Huwezi Jua Yawanadamu Ni Mengi Siamini Kuwa Binadamu Wote Duniani Wanafurahia Mahusiano Na Ukaribu Wetu Na Huwezi Shindana Na Binadamu Ukijua Yambele Wenzio Wanajua Yanyuma Ndio Mana Yakujichora Hiii Picha Yake Amabayo Haitofutika Hadi Naingia Kaburini Hata ikitokea Hatupo Pamoja Nikiitazama Hii Picha Itabaki Kama Kumbu Kumbu Na Heshima Yangu Kwake Hadi Siku Yangu Ya Mwisho Haya Ni Maamuzi Yangu Binafsi.....

Source: Instagram page Yake
Harmonize yuko wapi hapo, mbona simuoni? Mosi, Huo mguu/Mkono unaweza kuwa ni wa mtu yeyote si lazima ukawa wa Harmonize. Pili, Dogo hana tabia ya kuvaa Culture, huyo wa culture mmemtoa wapi. Achani kupakaziana, kufanya character assassination sio jambo zuri. Mwacheni dogo apambane na maisha yake.
 
Back
Top Bottom