sawa usisahau kumpa na kiboga pia
Ushatoa kiboga kwa wangapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa usisahau kumpa na kiboga pia
Harmonize yuko wapi hapo, mbona simuoni? Mosi, Huo mguu/Mkono unaweza kuwa ni wa mtu yeyote si lazima ukawa wa Harmonize. Pili, Dogo hana tabia ya kuvaa Culture, huyo wa culture mmemtoa wapi. Achani kupakaziana, kufanya character assassination sio jambo zuri. Mwacheni dogo apambane na maisha yake.
mwanaume rijali huwezi jichora tatuu ya dume lenzio hata siku moja ...Ushatoa kiboga kwa wangapi?
Kwiiii kwiiii nimecheka hapo mwisho,eti Dida Utamu duh yule mtoto ni laana sijawahi kuona wallahimwanaume rijali huwezi jichora tatuu ya dume lenzio hata siku moja ...
bilashaka tupo sawa dida utamu
Dida haaaaaah kawa star day moja alintumia text nldataKwiiii kwiiii nimecheka hapo mwisho,eti Dida Utamu duh yule mtoto ni laana sijawahi kuona wallahi
Dida sio mwanadamu yule aseee yaani mshipa wa aibu umekatika ukitaka namba za hawa wadada wa bongo movie na bei zao yeye ndio fundi bomba haaaa haaaa siku hizi anajiita princess huwezi amini.Dida haaaaaah kawa star day moja alintumia text nldata
Day moja alisema anawatafta wafanyakaz wa casino haaaaaaaaah akawaanawafuata watu inbox day nyngne aljselfie tgo yake akatuma inboxDida sio mwanadamu yule aseee yaani mshipa wa aibu umekatika ukitaka namba za hawa wadada wa bongo movie na bei zao yeye ndio fundi bomba haaaa haaaa siku hizi anajiita princess huwezi amini.
yap nakumbuka,hawez kuifutaHata kajala alichora ya wema sijui Badoo anayo au vepe
yap nakumbuka,hawez kuifuta
hahahahahahhaa......long time my best...No see.....ur kinda missed you know....hahahahaha....halla tu you super mbebzKwajinsi dogo alivyojieleza nachelea kusema hata diamond akiomba goti atapewa,mjini hapa kuna mambo sana.
Haya basi chei chei Harmonize.
Miss you more jamani my neighbour.hahahahahahhaa......long time my best...No see.....ur kinda missed you know....hahahahaha....halla tu you super mbebz