Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Hahahahaaa tumuulize HarmonizeKwahiyo huyo ndo mondi au.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaa tumuulize HarmonizeKwahiyo huyo ndo mondi au.
Teh teh amebugi huyu. Mwenzio shilole sasa hivi anajutaHahahahaaa tumuulize Harmonize
Acha dharauKwajinsi dogo alivyojieleza nachelea kusema hata diamond akiomba goti atapewa,mjini hapa kuna mambo sana.
Haya basi chei chei Harmonize.
Kujichora tu, huyo hata nyara akiombwa anatoa kiroho safi.Hahahaha umetisha harmonize
Afu kuna wapuuzi wengine humu wana panick utafikiri kampa moyo wake duuuh.. Huyo kajichora tu, ila kuna wengine hamjajichora kitu kuhusu Diamond ila mmemuweka moyoni, kila siku hayapiti masaa kadhaa bila kumuongelea kuliko mnavyomuongelea hata Mungu wenu, unafikiri nani zaidi kati ya harmo na nyinyi? mwenye kimchoro au aliotoa akili na moyo wote?
Punguza ukari wa maneno kijanj au ulitaka akuchore!mmh kama umethubutu kujichora tattoo basi na tako ushampa wewe ,yani vijana wa siku hiz ushoga umewajaa,we si bure utakua side chick wa ndomo, umeacha kuchora tatoo za wazaz wako unachora ya huyo mbwa
Haifanani na "domondo" lakini inafanana na Diamond platinumkwanza hiyo picha haifanani na domondo yaani uharibu mwili kujichora katuni isiyojulikana kama ni sura ya nani ,