Haya Ni Maamuzi Binafsi Ya Harmonize

Haya Ni Maamuzi Binafsi Ya Harmonize

Haina haja ya kucritisize wakati umuhimu kauona na ni yeye kaamua kutokana na msaada na fadhila hajalazimishwa basi ni kitu cha umuhimu kwake apewe tiki kwa kushukuru kwa njia mbadala shukuran ndio kila kitu bana
 
Harmonize yuko wapi hapo, mbona simuoni? Mosi, Huo mguu/Mkono unaweza kuwa ni wa mtu yeyote si lazima ukawa wa Harmonize. Pili, Dogo hana tabia ya kuvaa Culture, huyo wa culture mmemtoa wapi. Achani kupakaziana, kufanya character assassination sio jambo zuri. Mwacheni dogo apambane na maisha yake.

Bila shaka wewe ni Ukawa
 
mmh kama umethubutu kujichora tattoo basi na tako ushampa wewe ,yani vijana wa siku hiz ushoga umewajaa,we si bure utakua side chick wa ndomo, umeacha kuchora tatoo za wazaz wako unachora ya huyo mbwa
 
mwanaume rijali huwezi jichora tatuu ya dume lenzio hata siku moja ...

bilashaka tupo sawa dida utamu
Kwiiii kwiiii nimecheka hapo mwisho,eti Dida Utamu duh yule mtoto ni laana sijawahi kuona wallahi
 
Kumbe aka katoto kanavuta bange..yaani kila anaenisaidia niweke tatoo..basi wetu wengi wangekuwa na tatoo ya Ruge..mbowe..kikwete(hasa ray c) n.k
 
Dida haaaaaah kawa star day moja alintumia text nldata
Dida sio mwanadamu yule aseee yaani mshipa wa aibu umekatika ukitaka namba za hawa wadada wa bongo movie na bei zao yeye ndio fundi bomba haaaa haaaa siku hizi anajiita princess huwezi amini.
 
Dida sio mwanadamu yule aseee yaani mshipa wa aibu umekatika ukitaka namba za hawa wadada wa bongo movie na bei zao yeye ndio fundi bomba haaaa haaaa siku hizi anajiita princess huwezi amini.
Day moja alisema anawatafta wafanyakaz wa casino haaaaaaaaah akawaanawafuata watu inbox day nyngne aljselfie tgo yake akatuma inbox
 
Ni wengi tu wanajichora kuonyesha kumkubali mtu iwe amemsaidia au amezipenda kazi zake mifano hii hapa,lakini wale wanaompondaga DIAMOND sitegemei wamsifie/wakubali kile alichokifanya Harmonize.
images
images
images
upload_2016-1-4_0-44-21.jpeg
upload_2016-1-4_0-44-55.jpeg
images
 
Wana kazi mi siwezi fanya hii ujinga, labda nichore tattoo ya mama angu huyo ndo najua wangu wa milele sio vibushuti wa Kuja na kuishia niwachoree tattoo
yap nakumbuka,hawez kuifuta
 
Kwajinsi dogo alivyojieleza nachelea kusema hata diamond akiomba goti atapewa,mjini hapa kuna mambo sana.
Haya basi chei chei Harmonize.
hahahahahahhaa......long time my best...No see.....ur kinda missed you know....hahahahaha....halla tu you super mbebz
 
hahahahahahhaa......long time my best...No see.....ur kinda missed you know....hahahahaha....halla tu you super mbebz
Miss you more jamani my neighbour.
Happy to see you again....
Happy new year
 
mhhh mkiongelea tatoo namkumbuka nuh mziwanda na shilole sijui mkono wake unaendeleaje
 
Back
Top Bottom