Haya Ni Maamuzi Binafsi Ya Harmonize

Huyu sijui Hamonile akili ndogo sana. Wajameni kuna umuhimu wa kuwapeleka watoto wenu shule wakapate maarifa
 
Kweli ktk maisha tupo tofauti katika kufikiria mambo..
Matendo ya mtu yatosha kumfahamu think capacity yake ikoje!
 
Kanikumbusha ya wema na kajala.

Nikiwa kijana niliambiwa na kakangu 'stupidiest thing you should never do is put a permanent tatoo on ypur body. Coz your life is not stagnant, it is spontaneous)
 
Ni haki ya kila mwanadamu kuelezea hisia zake zinazogusa maisha yake kiundani.. so yupo rait..
iwe changamoto ajitaidi zaidi n zaidi
 
Huo mchoro haufanani Diamond amwambie Mchoraji amrudishie hela yake
 
Harmonize yuko wapi hapo, mbona simuoni? Mosi, Huo mguu/Mkono unaweza kuwa ni wa mtu yeyote si lazima ukawa wa Harmonize. Pili, Dogo hana tabia ya kuvaa Culture, huyo wa culture mmemtoa wapi. Achani kupakaziana, kufanya character assassination sio jambo zuri. Mwacheni dogo apambane na maisha yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…