Haya Ni Maamuzi Binafsi Ya Harmonize

Heeeeee mleta thread kwani huyo aliyechorwa kwa tattoo ni nani?
 
ni uzumbu kuku maamuzi ya kijinga...
 
Kujichora tu, huyo hata nyara akiombwa anatoa kiroho safi.
 
mmh kama umethubutu kujichora tattoo basi na tako ushampa wewe ,yani vijana wa siku hiz ushoga umewajaa,we si bure utakua side chick wa ndomo, umeacha kuchora tatoo za wazaz wako unachora ya huyo mbwa
Punguza ukari wa maneno kijanj au ulitaka akuchore!
 
kwanza hiyo picha haifanani na domondo yaani uharibu mwili kujichora katuni isiyojulikana kama ni sura ya nani ,
Haifanani na "domondo" lakini inafanana na Diamond platinum
 
Ulimbukeni wa maisha....upuuzi diamond kawa mungu mtu....amchore na kwenye nyeti zake sasa...apige pic tuone...shenzi type.
 
Angejichora kwenye kalio ndio ingekuwa nzuri zaidi
 
Mwenzie kajala alisemaga hicvyo hivyo na akamchora bibi bomba( wema) hivyo hivyo!
 
Si angemchora hata mama yake aliyemleta duniani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…