Haya ni machache kati ya mengi niliyoyasikia au kuyaona kutoka kwa maustaz, wachungaji na waganga wa kienyeji. Je, na wewe ushashuhudia lipi?

Hasa unapopata ugonjwa wa ukimwi ,wengi huwa hawaamini kama wameupata.
Mara nyingi mtu anapogundua kama ana ukimwi huchanganyikiwa, wengine hukosa nguvu, hamu ya kula, kushindwa kufanya kazi na majukumu mengine aliyokuwa anafanya hapo mwanzo.

Mwisho wa siku huanza kuumwa zaidi kutokana na hofu ya ugonjwa, alafu pia wengi huwa wanafanya siri yani hawawambii ndugu zao kwamba wamekutwa na maambuziki. Ndugu nao kwa kutokosa kujua kama ndugu yao kaukwaa ukimwi. Wengine huanza kuamini kuwa ndugu yao huyo karogwa, katupiwa mapepo nk.

Sasa kinachofata ni kwenda kupigwa mazima na waganga wa kienyeji wakiamini kuwa ndugu yao atapona.
 
Kweli kbs mkuu, ndo kama nilivyosema hapo juu kwamba muda mungine huwa ni ubovu wa vifaa au pengine hospital inakuwa haina vifaa vya kupima ugonjwa husika.

Sasa watu wengine wakiona hivyo fasta wanawahi kwa sangoma kupiga ramli chonganishi, na matokeo yake wanatapeliwa na mganga.
Ivi mnajua kama mwovu amedhamiria kudeal na Mtu anaweza kutupiwa kitu mfano hayo majini then akaenda pima likajigeuza cancer maana kam yenyewe ni roho yanashindwaje ku manipulte vipimo vya hospitali na akili za mdakitari?

Ndio mana Tiba ya msingi kabla ya kwenda popote ni Maombi, na Kung'oa kila kiini kinachoweza kuchipuza ugonjwa au dhambi. Kisha ukienda hospitali kam ni malaria au pressure kweli inonekana lakini baada ya hapo hospitali sio final Descision maker kwa huo ugonjwa wawez jitibu kwa tib mbadala na bahati Madirisha ya miti shamba yako mpk hospitali saa hii.

Nashukuru.

Sent using JamiiForums mobile app
 
Na watu wa miti shamba waache kuuza dawa ghali wakati miti iko hapa kwetu Tanzania tena mingi inakuwa imejiotea. Kina Dr Ndodi, Mwaka, Lupimo na wenzao.. wengi.

Hapana mkuu, kuanza kukimbilia kwenye maombi au dua kabla ya kwenda kwanza hospital kupata vipimo vya kitaalam kujua ugonjwa wa mtu pia ni hatari kwa afya na uhai wa mgonjwa wako. Kwanza unaposema kwamba kitu kinaweza kumuingia mtu na kujigeuza ugonjwa fulan ili kuhadaa vipimo, hilo kisayansi haliwezekani. Hakuna jini au pepo au mzuka unaweza kujigeuza ugonjwa fulan alafu vipimo vya hospital vikasoma, hiyo muulize mtu yoyote mtaalam atakwambia kwamba haliwezekani.

Sana sana vipimo vitashindwa kuonesha ugonjwa wa muhusika. Lakini kutokuonesha ugonjwa wa muhusika haiwezi kuwa sababu ya wewe kuamini kuwa amerogwa, maana kuna ugonjwa mungine huwa unachukua muda mrefu kuonekana mfano kansa ya utumbo, koo nk. Lakini vile vile ugonjwa unaweza kushindwa kuonekana kutokana na vipimo hafifu vya hospital husika. Hivyo unatakiwa ujaribu katika hospital zingine ili kujiridhisha.

Sikatai kwamba Mungu yupo na naamini katika Mungu, pia maombi au dua zipo na zimeruhusiwa kulingana na imani ya mhusika. Lakin sisapoti kwamba mtu akiumwa akimbilie kwanza kwenye maombi au dua kabla ya hospital. Nimekutolea mfano wa watu hapo juu ambao mimi mwenyewe nawafahamu. Afya zao zilikuwa za matatizo, badala ya kukazana na vipimo wao wakakimbilia kwenye maombi, dua nk. Matokeo yake wengine wakafilisika, wengine wakafariki baada ya kuchelewa kwenda kupata tiba za ugonjwa nk. So kwangu mimi ni vizuri kumfanyia maombi huku akiwa tayari anaendelea na tiba ya hospital. Ni vizuri zaidi
 
Watu wanauziwa mpaka majani ya mchongoma. Yanakaushwa vizuri, alafu unaambiwa uoge ili utoe nuksi ya kupata kazi 🤣🤣🤣
 
Umejibu vizuli
 
Back
Top Bottom