Haya ni madini ya aina gani?

Haya ni madini ya aina gani?

Habari za asubuhi ndugu na marafiki wa Jamiiforums. Nimeletewa aina hii ya mawe na mdogo wangu lakini kati yetu hakuna aliyeweza kuyatambua.

Kwasababu JF ni mkusanyiko wa watu wenye maarifa mbalimbali, nikaona si mbaya nikiuliza ili tuweze kuyatambua. HAYA NI MADINI AINA GANI na thamani yake ikoje?
Bufa
Mpwayungu Village
new gal
Financial Analyst
National Anthem
financial services
Intelligent businessman Arushaone

SiOβ‚‚
 
Niwe chawa wako kaka
 
Mikoa mingi ina ofisi za Madini nenda kuna maabara wakupimie
 
Habari za asubuhi ndugu na marafiki wa Jamiiforums. Nimeletewa aina hii ya mawe na mdogo wangu lakini kati yetu hakuna aliyeweza kuyatambua.

Kwasababu JF ni mkusanyiko wa watu wenye maarifa mbalimbali, nikaona si mbaya nikiuliza ili tuweze kuyatambua. HAYA NI MADINI AINA GANI na thamani yake ikoje?
Bufa
Mpwayungu Village
new gal
Financial Analyst
National Anthem
financial services
Intelligent businessman Arushaone

Gauda hili.
 
Hayanaga ishu hayo. Yanauzwa Kwa tani
 
Attachments

  • Screenshot_20230705-185715.png
    Screenshot_20230705-185715.png
    63.2 KB · Views: 3
Back
Top Bottom