Haya ni makosa watu huyafanya na kuwagharimu kwenye ngumi za Mtaani (Street Fights)

Ni mwaka wa 8 now sijapigana na mtu but mpaka nmepigana na wewe ujue nmefika hatua ya mwisho ya uvumilivu.

Ugomvi wangu wa mwisho ulikuwa na mtumishi wa vyombo vyetu hivi,tulichukua mwezi na nusu kuumaliza,maana ilikuwa kila tukikutana zinachapwa upyaa.

Inshort ni mtu ambae ugomvi wangu huwa hauishi hasa ukinionea
 
Kuna muda ukimwa wako watu wanaweza kukuchukulia advantage kama weak point. Hili unalizungumziaje?

Ukimya sasa ndiyo nguvu yako ilipo. Watu wengi huwaogopa sana watu wakimya. Maana hujui anachopanga kufanya. Sasa hali hiyo inawafanya wengi wawaogope. Wale wapiga kelele hamna kitu maana kila anachopanga mtu unakijua.
Teh teh teh
 
Last time kupigana sikumbuk ni lini... mara nyingi Wauni, walevi, vibaka wa mitaani huwa nachapa makofi mawili matatu.. Ngumi situmii kbs ntaua.

Nakumbuka nilirusha ngumi jamaa akaikwepa kwa kubahatisha ikaenda ktk mpapai, ule mpapai uligawanyika katikati jamaa alikimbia mbio ambazo Usain bolt asingefata..

Kuna jamaa mmoja mjinga mjinga wakati tunakua alimchapa kibao kimoja mwanamke mmoja mpaka mimba ikatoka.
Kuanzia hapo hunishawishi kupigana. Licha huwa napenda kujiweka fiti tangu nakua.
 
Last time kupigana sikumbuk ni lini... mara nyingi Wauni, walevi, vibaka wa mitaani huwa nachapa makofi mawili matatu.. Ngumi situmii kbs ntaua.

Nakumbuka nilirusha ngumi jamaa akaikwepa kwa kubahatisha ikaenda ktk mpapai, ule mpapai uligawanyika katikati jamaa alikimbia mbio ambazo Usain bolt asingefata..
Tuhurumie kaka wiki hii tumedanganywa sana humu, usituongezee dozi.
 
Tafuta hela coz ukiwa nazo hakuna wa kukuonea!Machawa na wapambe watakufanyia hiyo kazi vizuri tu! Kwa dunia ya sasa kama unapenda ugomvi wewe bado ni mshamba na limbukeni!

Wanaanza kupigana/kupambana na hela zako kabla ya kukufikia
 
Ulikuwa unajilinda dhidi ya shambulio la mwili. Ila kama hii ni ngumu unaweza acha uzime wewe yeye atafute cha kuwajibu polisi.

Wee bado haujawahi kuwa mikononi mwa polisi, ndiyo maana unaongea hivyo.
 
Last time kupigana sikumbuk ni lini... mara nyingi Wauni, walevi, vibaka wa mitaani huwa nachapa makofi mawili matatu.. Ngumi situmii kbs ntaua.

Nakumbuka nilirusha ngumi jamaa akaikwepa kwa kubahatisha ikaenda ktk mpapai, ule mpapai uligawanyika katikati jamaa alikimbia mbio ambazo Usain bolt asingefata..
Ingekuwa wale wahuni wangesema Chai.
 
Mimi mtaani kabisa nizipange?ananilipa nani!nitasubiri unitusue moja kama ushahidi then chochote kilicho upenuni mwa macho yangu ndiyo kitaamua utaendelea kupigana au utaacha,kupigana mtaani siyo jambo la masihara.

2004 Mabibo nilijaribu huu ujinga wa mtu mbili kumbe jamaa karateka kama siyo jamaa kuheshimu kanuni ya michezo yake alikuwa ananitengua shingo 2011 kipindi naishi Sinza nikaja kujikuta tena katikati ya ujinga wa kujifanya mwanaume sana mbele ya wenzako jamaa alinipa moja ikaniingia kisawa sawa nilikunjua mikono rusha sana mawe nikapiga mpaka wasiohusika.
 
Last time kupigana sikumbuk ni lini... mara nyingi Wauni, walevi, vibaka wa mitaani huwa nachapa makofi mawili matatu.. Ngumi situmii kbs ntaua.

Nakumbuka nilirusha ngumi jamaa akaikwepa kwa kubahatisha ikaenda ktk mpapai, ule mpapai uligawanyika katikati jamaa alikimbia mbio ambazo Usain bolt asingefata..
Wacha we!
Hujatia chumvi kweli?
 
Chai
 
Kuhusu kuiga mapambano ya kwenye filamu napingana na wewe mkuu zile action za kwenye movie zinasaidia sana mi nishajaribu action Moja ya Tony JAA(ongbak) katika ile movie ya Born to fight ikanisaidia kwa namna fulani.
 
Back
Top Bottom